Haukuelewa hoja. Uliza uelimishwe. Mapadre wengi wapo mitaani lkn hawapewi hiyo ruhusa baadhi ya maaskofu hutaka kuwakomoa na wengine hawataki idadi ionekane kupungua na hivyo quota from Rome kupungua!Kwel kabisa namba 3 uongo mkubwa uliokithiri, kwa kuhakikisha nidhamu ya mapadri inakua njema askofu/mkuu wa shirika aweza kumpa adhabu ya kutoadhimisha sakramenti mbalimbali kwa lengo la kusahihisha makosa yake ni kama suspension fulani. Kuhusu posho hapana kabisa sio sababu ya kumfanya askofu kushindwa kutenda kazi zake, maana lazima kujiuliza posho zenyewe zapatikana vipi?
Sasa kwa sbb unabisha siwezi kukulazimisha lkn huo ndio ukweli. Na hawa maaskofu wote unaowaona wanapokea ruzuku kutoka Propaganda Fide, idara ya VaticanHakuna kitu kama hicho.
Cc. Ludoby
Ni uongo kwamba majimbo yanapata ruzuku toka rome..Haukuelewa hoja. Uliza uelimishwe. Mapadre wengi wapo mitaani lkn hawapewi hiyo ruhusa baadhi ya maaskofu hutaka kuwakomoa na wengine hawataki idadi ionekane kupungua na hivyo quota from Rome kupungua!
Hivyo ndivyo mnavyo ambiwa na kwa sbb hamna elimu ya utambuzi mnayashikilia kama amri za Mungu. Fanya utafiti. Idara hiyo iliongozwa na Mtanzania cardinals protease,na majimbo ya tz yalifaidika sana!Ni uongo kwamba majimbo yanapata ruzuku toka rome..
Majimbo siku hizi yanajitegemea na vyanzo binafsi kama msaada upo ni wa kirafiki mahusiano ya majimbo na sio ulazima.
Sijapinga mapadri kuwapo mtaani.. nilichopinga kwamba majimbo yanapokea ruzukuHivyo ndivyo mnavyo ambiwa na kwa sbb hamna elimu ya utambuzi mnayashikilia kama amri za Mungu. Fanya utafiti. Idara hiyo iliongozwa na Mtanzania cardinals protease,na majimbo ya tz yalifaidika sana!
Jimbo kuu la Dar lina mapadre 4 wako mtaani kwa zaidi ya miaka 10 lkn hadi leo wapo kwenye orodha ya mapadre. Dr Slaa mpaka leo yupo kwenye orodha ya mapadre wa Mbulu. Ingia katika website Vatican udadavue hizo taarifa
Sasa kuanzia leo uelewe hivyo. Kila jimbo linapewa ruzuku na roma na jimbo kuu linapewa mgao mkubwa zaidiSijapinga mapadri kuwapo mtaani.. nilichopinga kwamba majimbo yanapokea ruzuku
Mapadri wa Kanisa Katoliki hawaruhusiwi kuoa kwa sababu ya kiapo cha useja wa kitawa (celibacy). Hii siyo amri ya Mungu moja kwa moja, bali ni agizo la Kanisa linalotokana na mafundisho ya Biblia na mapokeo ya Kanisa.View attachment 3306436
Papa Francis ameridhia ombi kutoka kwa padri William Ntengi wa jimbo katoliki Geita la kuondolewa daraja takatifu la upadri.
Barua ya uamuzi huo imesomwa kanisani na askofu Flavian Matindi Kassala wa jimbo katoliki Geita, kufuatia ombi binafsi la padri huyo.
Mungu ambariki katika yake mapya kama muumini wakawaida.
Video ya barua ikisomwa
View: https://youtu.be/XeaX46pYGOw?si=MSVJV4QGI9Gni8uX
“Kuna wengine ambao wamejitenga na ndoa kwa ajili ya Ufalme wa mbinguni. Mwenye kuweza kulipokea, na alipokee.”
Maana yake:“Ningependa ninyi msiwe na mahangaiko. Asiyeoa hujishughulisha na mambo ya Bwana, jinsi ya kumpendeza Bwana. Aliyeoa hujishughulisha na mambo ya dunia hii, jinsi ya kumpendeza mkewe.”
Ndie huyu kwani?Huyu ndo yule aliyehusika kutafuta pesa kupitia kumwua Albino mtoto.
Anaonekana siyo Mtanzania PUMBAVU zake.
Anapaswa ANYONGWE
Je akiamua kuchumbia na kuoa ataruhusiwa kufunga ndoa kanisani
madhara ya vitoto vya 2000+ ndo haya, kwa ufupi tu 😀 😀 😀View attachment 3306436
Papa Francis ameridhia ombi kutoka kwa padri William Ntengi wa jimbo katoliki Geita la kuondolewa daraja takatifu la upadri.
Barua ya uamuzi huo imesomwa kanisani na askofu Flavian Matindi Kassala wa jimbo katoliki Geita, kufuatia ombi binafsi la padri huyo.
Mungu ambariki katika yake mapya kama muumini wakawaida.
Video ya barua ikisomwa
View: https://youtu.be/XeaX46pYGOw?si=MSVJV4QGI9Gni8uX
🙏Mchakato wa Padri Kuacha Upadri na Kufunga Ndoa Kanisani
Hatua:
- Kuandika barua rasmi kwa Askofu wake
- Akiomba kuondolewa huduma na ruhusa ya kuoa (dispensation ya useja)
- Barua hiyo hupelekwa Vatican (Ofisi ya Kipapa)
- Papa huchunguza sababu— kwa mfano:
- Kushindwa kuishi maisha ya useja
- Kupenda maisha ya ndoa
- Sababu za kiimani au za kiafya
- Vatican ikiridhia:
- Hutoa hati rasmi ya dispensation
- Padri huyo anaruhusiwa kufunga ndoa kanisani, kwa taratibu kama waumini wengine wa kawaida.
NB: Bila hati hiyo, hata akiiacha huduma na kufunga ndoa — ndoa hiyo haihesabiwi kuwa halali mbele ya Kanisa.
Vifungu vya Sheria ya Kanisa (Canon Law) — Tafsiri ya Kiswahili
Canon 290⁰
Mtu aliyepokea daraja takatifu hawezi kupoteza hadhi hiyo kabisa, hata hivyo anaweza kupunguziwa wajibu wa kutekeleza huduma hiyo kwa ruhusa ya Papa.
Canon 291
Wajibu wa useja uliowekwa pamoja na daraja takatifu unaweza kuondolewa na Papa peke yake.
Canon 292
Padri akipewa ruhusa hiyo (dispensation), anapoteza haki zote za kiutendaji kama padri, ila anabaki kuwa padri kiroho milele.
Canon 293
Baada ya kupunguziwa huduma, hawezi tena kujitambulisha kama padri wala kufanya huduma za kichungaji bila kibali maalum.
Hitimisho
Katika Kanisa Katoliki:
- Padri anaweza kuacha upadri kwa kibali cha Papa
- Dispensation ya useja hutolewa rasmi na Vatican
- Bila dispensation, ndoa yake haitatambuliwa na Kanisa.
Ruzuku kwa ajili ya kuwalipa posho mapadri au vipi? Unafahamu inavyofanya kazi hyo propaganda fide?Sasa kwa sbb unabisha siwezi kukulazimisha lkn huo ndio ukweli. Na hawa maaskofu wote unaowaona wanapokea ruzuku kutoka Propaganda Fide, idara ya Vatican
Ruzuku kwa ajili ya kuwalipa posho mapadri au vipi? Unafahamu inavyofanya kazi hyo propagand
Sasa huyo philos asome vizuri pia hiyo dicastery ya propaganda fide siyo inamwaga ruzuku kwa kila jimbo bila maombi wala kufanya kitu haipo hivo aangalie na posho zatokea wapi aelewe zaidi maana anafanya kama yeye ni encyclopaedia ya propaganda fide kuzidi hata uhalisia wake. Halafu jiulize kwa nini pia hao mapadri hawaja pata hizo dispensation letter ili waruhusiwe kuoa yapo mambo mengi na taratibu zapaswa kufuatwa.Majimbo hupata ruzuku kutoka Vatican
Ndiyo, lakini si kwa kila jambo wala kila wakati.
Majimbo ya Kanisa Katoliki duniani yana uhuru wa kifedha, na majimbo mengi yanajitegemea kwa mapato ya ndani: sadaka, zaka, michango ya waumini, miradi, shule, hospitali, na misaada ya mashirika ya kimataifa.
Ruzuku kutoka Vatican huja katika hali zifuatazo:
- Ujenzi au ukarabati wa makanisa na seminari
- Shughuli za kijamii kama afya, elimu, wakimbizi
- Misaada kwa majimbo masikini au yaliyo kwenye shida
- Msaada kwa waathirika wa majanga
Idara Husika na Ruzuku Vatican
Ruzuku na misaada hutolewa na idara kuu mbili:
i. Congregation for the Evangelization of Peoples (Propaganda Fide)
- Idara hii inasimamia majimbo yote ya kimisionari (Afrika, Asia, Amerika ya Kusini)
- Ndiyo inayotuma ruzuku kwa majimbo yenye uhitaji maalum
ii. Dicastery for Promoting Integral Human Development
- Inashughulika na misaada ya kibinadamu, maendeleo, elimu, afya na miradi ya kijamii duniani kote
Idara hizi ziko chini ya
Papa mwenyewe, kupitia Katibu wa Vatican (Secretariat of State).
Vigezo vya Kupata Ruzuku
Majimbo huandika maombi rasmi:
Majimbo yenye changamoto kubwa ya kifedha au yaliyopo kwenye mazingira magumu hupatiwa kipaumbele.
- Kueleza mahitaji na changamoto
- Kuambatanisha bajeti na mipango
- Kuthibitisha uwezo wa kutekeleza
- Kupitia Askofu wa jimbo husika
- Kupelekwa kwa Nuncio (Balozi wa Vatican) wa nchi husika
Mapadri na Posho Zao
Katika Kanisa Katoliki:
- Mapadri hawana mishahara ya kiserikali
- Hupata posho kutoka jimbo wanapofanya huduma
Posho zinatokana na:
- Sadaka ya waumini
- Mapato ya parokia au taasisi wanazohudumia
- Michango kutoka jimbo
- Wakati mwingine misaada binafsi
Kiwango cha Posho (Mfano wa Majimbo Afrika Mashariki)
NB:
- Mapadri wa kawaida: TZS 150,000–350,000 kwa mwezi
- Mapadri wakuu wa parokia: zaidi kidogo
- Viongozi wa dayosisi (wakuu wa seminari, wakurugenzi) hulipwa zaidi
Mapadri wanaishi maisha ya unyenyekevu — hawafanyi kazi kwa malipo, bali kwa wito.
Hitimisho
- Majimbo huweza kupata ruzuku kutoka Vatican kwa vigezo maalum
- Idara kuu ni Propaganda Fide na Dicastery for Human Development
- Mapadri hupata posho kutoka mapato ya parokia au jimbo — si mishahara ya moja kwa moja
- Papa na Vatican husimamia kwa karibu kupitia Nuncio na Baraza la Maaskofu.
Je kwa Mimi muumini wa kawaida naweza kutoka maisha ya ndoa nikawa mtawa? (Padre)Mchakato wa Padri Kuacha Upadri na Kufunga Ndoa Kanisani
Hatua:
- Kuandika barua rasmi kwa Askofu wake
- Akiomba kuondolewa huduma na ruhusa ya kuoa (dispensation ya useja)
- Barua hiyo hupelekwa Vatican (Ofisi ya Kipapa)
- Papa huchunguza sababu— kwa mfano:
- Kushindwa kuishi maisha ya useja
- Kupenda maisha ya ndoa
- Sababu za kiimani au za kiafya
- Vatican ikiridhia:
- Hutoa hati rasmi ya dispensation
- Padri huyo anaruhusiwa kufunga ndoa kanisani, kwa taratibu kama waumini wengine wa kawaida.
NB: Bila hati hiyo, hata akiiacha huduma na kufunga ndoa — ndoa hiyo haihesabiwi kuwa halali mbele ya Kanisa.
Vifungu vya Sheria ya Kanisa (Canon Law) — Tafsiri ya Kiswahili
Canon 290⁰
Mtu aliyepokea daraja takatifu hawezi kupoteza hadhi hiyo kabisa, hata hivyo anaweza kupunguziwa wajibu wa kutekeleza huduma hiyo kwa ruhusa ya Papa.
Canon 291
Wajibu wa useja uliowekwa pamoja na daraja takatifu unaweza kuondolewa na Papa peke yake.
Canon 292
Padri akipewa ruhusa hiyo (dispensation), anapoteza haki zote za kiutendaji kama padri, ila anabaki kuwa padri kiroho milele.
Canon 293
Baada ya kupunguziwa huduma, hawezi tena kujitambulisha kama padri wala kufanya huduma za kichungaji bila kibali maalum.
Hitimisho
Katika Kanisa Katoliki:
- Padri anaweza kuacha upadri kwa kibali cha Papa
- Dispensation ya useja hutolewa rasmi na Vatican
- Bila dispensation, ndoa yake haitatambuliwa na Kanisa.
Sio kwelAmekumbuka shuka kumeshakucha.
Hiyo ngumu ndo waliokuwa wanaipigania wale wakazi wa misitu ya Amazoni katika sinodi zao n ujumbe wao kwa Baba Mtakatifu.Je kwa Mimi muumini wa kawaida naweza kutoka maisha ya ndoa nikawa mtawa? (Padre)
Amekumbuka MBUSUSU wakati Age go? Alivyokuwa damu inachemka alikuwa MTUMISHI.Sio kwel
Mwache na maamuzi yake 😂🤣Amekumbuka MBUSUSU wakati Age go? Alivyokuwa damu inachemka alikuwa MTUMISHI.