Padri William Ntengi Wa Jimbo Katoliki Geita Aondolewa Daraja La Upadri(Ukasisi)

Unaweza kama huna watoto kwa kuzingatia sheria za kanisa.
Jamani kutoka maisha ya ndoa inabidi aeleze kwel kweli kwa maana lazima ndoa itenguliwe au ionekane ni batili kama labda alilazimishwa hivi. Au ruhusa ya mke wake halali wa ndoa.

Labda awe shemasi wa kudumu sawa kitu ambacho Tanzania hakija ingia bado.
 
Bora huyu kaamua njia sahihi ,mishangazi inayoimbaga kwaya Ile moja lazima AOE na ndilo limemchanganya
Aligundua amewakosea mizimu yake inayomtaka awe na mke. Dini imevuruga mila zetu, karibu baba ili uimarishe jadi yako.
 
Yeye aliandika barua kwa Papa kuomba aondolewe kwenye upadri, Papa ameridhia ombi lake.
 
Maisha ya kupata wet dreams kuchafua mashuka kayachoka
 
Bora huyu kafanya hivyo ila kuna Padri anawatoto amezaa na nesi mmoja hivi,bahati mbaya yule nesi amefariki......watoto aliwapa majina ya viongozi mmoja anaitwa Putin......

Pia kuna Padri mmoja wa kanisa moja hapo tabata anakula sana bata na binti mmoja hapa mjini Club zote za mjini anaenda na anakula sana mtungi.....ila hata akeshe Kanisani hakosei kwa wale anao wahudumia huko tabata
 
Nimeirudia vyema hii video clip askofu haoneshi kuhuzunishwa sana na kuondolewa hadhi ya upadre kwa Bwana William Ntengi, haoneshi mavuno ni meng n watendakazi wachache.
 
Ndio yule wa shirika sasa jimbo?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…