Sio kosa lake hata sura yake haifanani na ya Padre, inafanana na mtumishi wa umaView attachment 3306436
Papa Francis ameridhia ombi kutoka kwa padri William Ntengi wa jimbo katoliki Geita la kuondolewa daraja takatifu la upadri.
Barua ya uamuzi huo imesomwa kanisani na askofu Flavian Matindi Kassala wa jimbo katoliki Geita, kufuatia ombi binafsi la padri huyo.
Mungu ambariki katika yake mapya kama muumini wakawaida.
Video ya barua ikisomwa
View: https://youtu.be/XeaX46pYGOw?si=MSVJV4QGI9Gni8uX
Oohoooo, tayariNipe namba yako
Kitu kimesemwa wazi.. wewe unataka kujifanya ni mtaalam wa conspiracies na nadharia fikirika.
Unaweza kuchagua hizo nadharia zako binafsi nipo karibu na kanisa mahalia na kama muumini na pia nina ukaribu wa urafiki na muhusika tangu utoto wetu tumesoma pamoja makoko seminary. Yeye akaenda malangali advance mimi galanos.
Ndio kusema hakuna jambo lolote la siri ndani ya kanisa ktk nia yake hiyo
Tumsifu yesu kristo.
KIpengele 1 hapo juu kinamruhusu kuanzisha kanisa lake jipya lisilo na mizigo mingi kwa waumini lakini lenye sura ya kikatolicβͺπ?Bahati mbaya sana watz sio wadadisi na hupokea habari kama zinavyotolewa bila tafakuri wala kuhoji ukweli, nia na madhumuni.
1. Sheria ya Kanisa Katoliki no 290 inasema hivi a person ordained into priesthood never becomes invalid. Ndio kusema Pd Ntengi anaendelea kuwa padre wa kanisa katoliki mpaka kifo chake. Upadre unampa muhusika an indelible mark - chapa isiyofutika milele.
2. Kilichofanyika huyo padre amekuwa laiced, amepewa hadhi ya ulei, kusudi apate haki wanazokuwa nazo walei, kwa sbb hataki tena kuendelea kuwa padre wa huduma. Hadhi hii amewahi pia kupewa marehemu pd Karugendo wa jimbo la Rulenge ambaye hatimaye alifunga ndoa. Pd Dr Slaa yeye hajapewa hadhi hii, maana inapaswa kuombwa na padre mwenyewe kupitia kwa askofu wake.
3. Majimbo mengi hapa Tz yana mapadre wengi ambao hawatoi huduma lkn maaskofu wao wamekataa kuthibitisha maombi yao kwa Vatican kwa kuwakomoa au kuendelea kufaidika na posho zao, maana wakipungua nanposho upungua pia!
4. Hata katika hadhi aliyonayo sasa Bwana Ntengi ana ruhusa ya kanisa ya kuhadhimisha baadhi ya sakramenti ktk hali ya hatari ya kifo
Amekua mkweli na kaona hatatimiza wajibu wa daraja lake ipasavyoAnataka Kuloweka Naye Apate Yote Ya Duniani Na Mbinguni
Yamemshinda na anechukua uamuzi sahihiView attachment 3306436
Papa Francis ameridhia ombi kutoka kwa padri William Ntengi wa jimbo katoliki Geita la kuondolewa daraja takatifu la upadri.
Barua ya uamuzi huo imesomwa kanisani na askofu Flavian Matindi Kassala wa jimbo katoliki Geita, kufuatia ombi binafsi la padri huyo.
Mungu ambariki katika yake mapya kama muumini wakawaida.
Video ya barua ikisomwa
View: https://youtu.be/XeaX46pYGOw?si=MSVJV4QGI9Gni8uX
Nani kakuaibisha hapa? Unajistukia wee. LolMambo yakuiabishana ndio sitaki wala sipendi..
Lazima usapoti maana unavyopenda ngono πKwa kweli.
Sio kivilee, πππππLazima usapoti maana unavyopenda ngono π
Kamdanganye kengeSio kivilee, πππππ
Ngono sio kipaumbele changu, ndo nakusanua sasa.Kamdanganye kenge
Labda kama umebadilika ila ulikuwa unapenda kipengele wewe πNgono sio kipaumbele changu, ndo nakusanua sasa.
Chizii wee, uliwahi kuwa kwenye dating na mie?Labda kama umebadilika ila ulikuwa unapenda kipengele wewe π
Labda dating application, si naona tu content zako humu.Chizii wee, uliwahi kuwa kwenye dating na mie?
Acha uongo, Lol ππππ
Nimecheka hatarii, sema nn au bas.Labda dating application, si naona tu content zako humu.
Lazima ucheke unajua ujinga uliokuwa ukifanya.Nimecheka hatarii, sema nn au bas.
πππππ
Wee Takadini em niache kwani, LolLazima ucheke unajua ujinga uliokuwa ukifanya.
Aaah mkuu tuishue hapo ππNdio yule wa shirika sasa jimbo?!