Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,234
- 28,473
Upo fact sana,maana shule kila upande imezungukwa na changamoto,uhuru,shauri moyo,msimbazi,gerezani, FYAGIA PALE POTE.Najiulizaga wale watoto mule wanasomaje somaje na makelele yake ya kariakoo mara utasikia ya moto moto, mara shanga shanga , mara dawa za nguvu za kiume zinatangazwa yaani fujo tu ..wangeziamisha zile shule pale..
Acha kuzingua boss, 90% ya maghorofa kkoo ni ya juzi tu.Magorofa ya kariakoo yalijengwa miaka ya nyuma sana 1950s
Wakati wewe unawaza kuvunja hizo shule. Mimi ninawaza kwa maeneo au barabara zote ambazo zinaingiza magari madogo na daladala zipigwe pin, waruhusiwe wafanyabiashara wanaokuja Kariakoo kufanya bulk procurement tu.Natoa mawazo kwa serikali na wananchi wa Dar es salaam , Pale kariakoo shule ya Benjamin mkapa na Uhuru mchanganyiko pavunjwe liwe eneo la Parking , jiji la Dar es salaam limekuwa sana idadi ya Magari na watu imeongezeka sasahivi ukienda kariakoo kufanya shopping ni kazi sana kupata sehemu ya kuegesha gari , ukiangalia pembeni kuna eneo kubwa sana limechukuliwa na shule za Benjamin mkapa na uhuru mchanganyiko . Shule hizi tuzihamishe eneo lile liwe special kwa parking za magari , shule ni nyingi wanafunzi hawawezi kukosa shule ila parking na maeneo ni machache . Ni ushauri na mtazamo wangu .
Jiji la dar na tz kwa ujumla mchawi ni siasa tu na rushwa,Ila jiji la Dar likipata master planner mzuri na mzalendo, litatengeneza uchumi mkubwa mno.
Naunga mkono hoja.Ile shule pale kiukweli haijakaa sehemu nzuri sio mazingira mazuri ya mwanafunzi KUSOMA
😂😂😂Najiulizaga wale watoto mule wanasomaje somaje na makelele yake ya kariakoo mara utasikia ya moto moto, mara shanga shanga , mara dawa za nguvu za kiume zinatangazwa yaani fujo tu ..wangeziamisha zile shule pale..
Hapana sio kila bidhaa ni delivery kuna zengine unatakiwa uende ujiridhishe ubora kabla ya kutoa pesa
Siasa na rushwa ni tatizo.Jiji la dar na tz kwa ujumla mchawi ni siasa tu na rushwa,
Nafikiri Mamlaka itakuwa imesikiaKabisa , ile shule kwa sasa haifai kuwepo pale
Sio lazima mkuu. Ila hii reasoning haitatui changamoto na hata viongozi wetu wanapenda kutukata kauli kwa maelezo kama uliyouliza swali.Kwani ni lazima uende Kariakoo na gari yako?
Umiza kichwa kidogo basi.Hapana sio kila bidhaa ni delivery kuna zengine unatakiwa uende ujiridhishe ubora kabla ya kutoa pesa
Wewe umechukulia hilo swali simplistic. Nchi zote wanazojitambua wana discourage watu kwenda na magari binafsi CBD. Watu wengi wanaojitambua hawaendi shopping Kariakoo na magari kama wataemda nayo wanapark nje ya Kariakoo. Wewe unaona kuvunja shule na kuweka maegesho ni jambo la maana? Mtavunja shule ngapi ili muweze kuegesha magari yeu yote? BTW hakuna sehemu nimemzuia kutoa hoja yake au alichopemdekeza,nimemuuliza swali. Labda na wewe ungesaidia kujibu maana inaonekana unajua vingi.Sio lazima mkuu. Ila hii reasoning haitatui changamoto na hata viongozi wetu wanapenda kutukata kauli kwa maelezo kama uliyouliza swali.
Mtu anapaswa kufurahia maisha na mazingira bila kuvunja sheria. Jamaa ametoa wazo la kupatikana kwa parking na ametoa pendekezo, solution sio kumzuia kwenda na gari mjini, bali ni kujadili hoja yake na pendekezo lake, sio kuzuia kabisa alichokipendekeza.
Maghorofa ya NHC hapohapo karikaoo yanabomolewa na kujengwa upya yakianzia chini (basement / underground), hata hizo shule zinaweza kubomolewa na yakajengwa maghorofa yatayokuwa na floor kadhaa za parking na pia kukawa na hizo shule pia. Ndio mipango makini
watataka TBL iondolowe pale kwamba sio eneo la viwanda.Kwahiyo hilo eneo nalo likizidiwa, mtavunja nini?
Wazo la kipuuzi kuvunja shule ujenge parking.Wazo Zuri watapita nalo ingefaa uandae hii kama project
Hapana mkuu,bado nafasi itakuwa finyu sana pale pale mkapa na uhuru mchanganyiko ndipo pake haswa,then unapiga marufuku gari kusimama/ kupaki ndani ya kariakoo kwa zaidi ya dk 15,kariakoo itakuwa safi wanunuzi watanunua vitu kwa furaha,matoroli ya chuma yale ya mizigo yatawapelekea bidhaa pale uhuru mchanganyiko,kwenye magari yao!,ajira zitapatikana hapo kwa makuli.Ivunjwe club ya Simba, Yanga, Pan Africa na red Star zijengwe parking za magari