Wakati anasema hayo, uchaguzi ulikuwa umeshapita?Utawezaje kuiondoa serikali ya CCM madarakani bila kushiriki uchaguzi?.
Huyu kijana tangu atoke Nairobi alikokua kafichwa na maria sarung kichwa yake imeharibika kabisa aise🐒Hebu tutafakari kidogo tu. Chadema walisusa kushiriki uchaguzi wa 2025. Pambalu kwenye hotuba yake kasema kuwa nia yao chadema ni kuiondoa serikali ya CCM madarakani ili wapate mabadiliko ya kweli.
Utawezaje kuiondoa serikali ya CCM madarakani bila kushiriki uchaguzi?. Pambalu anayo njia gani nyingine ya kuiwezesha chadema kuiondoa serikali ya CCM madarakani ili walete mabadiliko ya kweli?
Je, Ni njia gani nyingine (badala ya kushiriki uchaguzi) walikusudia kuitumia ili kuiondoa serikali ya CCM madarakani?
Je, hotuba yake hii hapa haikutosha kuitishia serikali ya CCM kuanguka?
Je, vurugu za October 29, 2025 ndio njia yao madhubuti mbadala (kuliko uchaguzi) ya kuiondoa serikali ya CCM madarakani?
Je, Kukamatwa na kufunguliwa mashitaka ili akajieleze mbele ya chombo cha haki ameonewa?
View: https://youtu.be/I4aMQbJJoO4?si=zUH3Wxdc3rLVTIpU
View: https://youtu.be/IFI32sm3uK4?si=_Tl8ib4x9iws0-YC
Si unajua Pumbalu mfuasi wa "Mackenzie" wa ukonga? Anachoongea hakitoki akilini mwakeHuyu kijana tangu atoke Nairobi alikokua kafichwa na mari sarung kichwa yake imeharibika kabisa aise🐒
asanti kwa kuwafungua akili wadau wa jf kwa code makini sana gentlemanSi unajua Pumbalu mfuasi wa "Mackenzie" wa ukonga? Anachoongea hakitoki akilini mwake
Tumemfuatilia kwa karibu kule Kenya. Kazi kubwa ilikuwa kusajili vijana na kuendesha mafunzo ya namna ya kufanya vurugu za kuiangusha serikali ya CCM ama siku ya Oct29, 2026 au siku ya hukumu. Nani hajui kama ziara za Heche ni kuandaa vurugu kubwa zaidi kuliko zile?Wakati anasema hayo, uchaguzi ulikuwa umeshapita?
alaa! kumbe?ALikuwa anasajili na kuratibu mafunzo ya Mungiki, wako tayari kwa mapambano.
Kuwa mpole we kada hakuna uhaini paleHebu tutafakari kidogo tu. Chadema walisusa kushiriki uchaguzi wa 2025. Pambalu kwenye hotuba yake kasema kuwa nia yao chadema ni kuiondoa serikali ya CCM madarakani ili wapate mabadiliko ya kweli.
Utawezaje kuiondoa serikali ya CCM madarakani bila kushiriki uchaguzi?. Pambalu anayo njia gani nyingine ya kuiwezesha chadema kuiondoa serikali ya CCM madarakani ili walete mabadiliko ya kweli?
Je, Ni njia gani nyingine (badala ya kushiriki uchaguzi) walikusudia kuitumia ili kuiondoa serikali ya CCM madarakani?
Je, hotuba yake hii hapa haikutosha kuitishia serikali ya CCM kuanguka?
Je, vurugu za October 29, 2025 ndio njia yao madhubuti mbadala (kuliko uchaguzi) ya kuiondoa serikali ya CCM madarakani?
Je, Kukamatwa na kufunguliwa mashitaka ili akajieleze mbele ya chombo cha haki ameonewa?
View: https://youtu.be/I4aMQbJJoO4?si=zUH3Wxdc3rLVTIpU
View: https://youtu.be/IFI32sm3uK4?si=_Tl8ib4x9iws0-YC
Yaani intellegensia yoooote taifa iliyonayo ishindwe kugundua Pambalu, chadema na wale wengine wanawaza na kupanga nini. Unadhani taifa linaongozwa na vilaza kama nyie?Vilaza hamjawahi kuwa na akili
Kama kungekuwa na matumizi mabaya shule, hospitali, mikopo ya wanafunzi, reli, barabara, madaraja, mabwawa, umeme nchi nzima, kulipa watumishi, askari, mahakama, majaji, wabunge, maji, meli, viwanja vya mpira, pembejeo kwa wakulima, nk vingegharamiwa na nini? Hayo wadanganye wavuta bangi wenzako kijiweni kuwa hakuna lolote serikali imefanya hela zinaliwa tu. Unadhani watz wote ni wavuta misuba hawajui serikali yao inafanya nini na kodi zetu?Nchi hii imejaa upumbuvu mwingi,matumizi mabaya ya rasilimali za nchi over nothing!
Huyu maama yuko so insecure,ni kubambikizia watu kesi za ugaidi/Uhaini!