Pamoja na hasara kubwa waliyoipata Hamas lakini Israel imeukosa ushindi

Tu assume haya madai yako ni kweli
Je Hamas wame gain nini haswa?
 
Ww jamaaa muongo izo esabu zako pia uwongo GAZA sio yote imepigwa Izipo nyumba nyingi sana azijaguswa lkn pia ukisema watu 2milion awana pakukaa jamaaa muongo sana .ana wakazi wote wa gaza ndio milion2 nyumba zipo ukioneshwa mji umealibika apo centre ndio imepiga zaid lkn usidanganye watu sio kuwa wapalestina wote wanakaa pale wanamiji mingi tu kuusu asala ayo majumba pesa za kujengea sio za wapalestina miaka yote ufadhili kutoka nnje ndio wanaijenga iyo GAZA kama ilivo Israel nayo inategemea msaada kujenga maeneo yao yaliopitiwa na vita viongozi waliokufa ni wawili tu ukisema viongoz wote unadhidi kuonekana muo ngo mnunua udongo sasa vip wawe viongozi wote iyo aman kias cha kubadilishana mateka wamejadiliana nanani!!!! Wapalestina kufa vitani sio ishu wanapigania ardhi yao niwakombozi ndio mana wapo na furaaaha kubwa wao na sio waisrael unaosema wewe wameshinda lkn nyie wanunua udongo ndio mnataka kuwashindisha vita Waisrael lkn uko kwenyewe Israel ni vilio tupu wanajiona wameshinda njaaa sio vita!!!! Azimio la HAMAS ndio limemaliza vita sio azimio la Netanyau maazimio yalikuwa mawili tu HAMAS waliutangazia umma na dunia kuwa wao awataki vita wanataka tu mateka wapalestina wanaoshikiliwa na magaid wa israel ili nawao wawachie mateka waisrael ,,,, iyo ni 7octb azimio la HAMAS ni ilo mnunua udongo,, Azimio la Netanyahu la siku anatangaza vita lilikuwa ili atutajadiliana na magaid wa HAMAS tutakwenda GAZA kuchukua mateka wetu na kuiyangamiza HAMAS kwanzia sasa HAMAS yoyote anaetaka kubaki hai anapaswa tu kujisalimisha kwa majesh ya ISRAEL vita ikaanzia apo leo msindi wa vita ni HAMAS sababu azimio lake ndio linatumika kumaliza vita sio la Netanyau na ndio mana uko Palestina kuna sheheeee kubwa furaaaha kubwa kushangilia usindi wao ktk vita zote hii ndio vita ya kwanza waisrael kupoteza vijana wao wengi zaid mkakati waisrael ulikuwa kuizingira kabisa Palestina kuakikisha awapati silaha mpya ndio mana vita imechukua muda mlefu waisrael na IDF lengo la kuishiwa silaha HAMAS alikufanikiwa pamoja na vita kwenya mwaka na nusu IDF awakuweza kujua silaha zinapitia wapi kuwafikia HAMAS aiwezekani wawe na akiba ya silaha za kupigana kwa mwaka na miez5 wanajesh wake Netanyau walikuwa wakilegwa sana apo GAZA lkn pia Mwiba mwengine ulikuwa Yemen jamaaa kila siku walikuwa wanapiga miji ya Israel tena wanachagua pakupiga zile seem muimu tu ndio wanatwanga, marekani na Nato wakaitaka Israel ichutame tu mana uwezo wa kuzuiya ayo makombora ya Yemen awana si marekani wala Ulaya awana. Kwanini wasirushe taulo uwanjani!!!!
kelele Nyingi hoooo akija TRAMP uyo Tramp tangu kakoswakoswa na shaba ya sikio tangu apo ataki fujo za kijinga anataka aman!! Waisrael na marekani adi Ulaya kwasasa awatoweza shinda vita ktk eneo ilo bila wao kuivamia IRAN. Kama wanaiyogopa IRAN basi wasitegemee kupata ushindi!!!!!
 
Tu assume haya madai yako ni kweli
Je Hamas wame gain nini haswa?
Hakuna cha kuassume hapa kama vita vinafaida wangeendelea kuchapana tu. Hasara wote wamepata hamas kuna mateka wataachiwa huru, hamas wanaungwa mkono saivi gaza nzima na dunian hio ni hatua, sasa wamejifunza zaidi namna ya kukabiliana na Zayuni, vifo kwao si changamoto kubwa kwani wanazaa kwa rate kubwa kuliko mazayuni
 
Hilo ni funzo alilopewa yahudi
 
Hamas imepata Ushindi Gani!?
Ama imepata faida Gani!?
Ukijiuliza kama hivyo kwa Israel jawabu ndio hakuna kabisa.
Imeua watu karibu 50000 na kuangusha majengo karibu yote ya Gaza na imepoteza askari wake wengi na kujaza vilema mitaani.Miongoni mwa askari wake waliouliwa ni makomandoo wenye sifa kubwa.
Mwisho wa yote imekosa kutimiza malengo yote iliyojiwekea na imewaona Hamas wakirudi mitaani.
 
Wamewapunguza sana itachukua miaka mingi wapalestina kurudi kwenye maisha ya kawaida, Syria imeanguka nk.
Kimsingi matokeo ya hii vita itaonekana for yrs.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…