Mayu
JF-Expert Member
- May 11, 2010
- 7,621
- 12,505
Tu assume haya madai yako ni kweli1. Israel wamepoteza wanajeshi zaidi ya 20,000+ wakiwemo na majeruhi Hii inafichwafichwa na majeshi
2. Mifumo ya ulinzi imeharibiwa kiasi kwamba anga liko uchi kama sio Marekani makombora yote yangekuwa yanashenyeta tu
3. Biashara zaidi ya 80,000 elfu zimefungwa
4. Bandari yao kubwa haifanyi kazi hakuna meli inayohusiana na Israel inakatiza mbele ya mtu mbadi Houth
5. Kimataifa hakuna anayethamini muisraeli refer kichapo cha uholanzi tuu
6. Hakuna mwanajeshi waisrael aliyehuru kusafiri nje ya Israel maana wanakamatwa sehem mbali mbali kwa uhalifu wa kivita na kufunguliwa mashtaka wengine wanapigwa tu wananchi
7. Oparation nyingi za kujitoa mhanga zimeongezeka tofauti na mwanzo hivyo watalii wamepungua kwa hofu
8. Ongezeko la wanajeshi kujinyonga na magonjwa ya akili
9.Miundo mbinu ya jeshi na kambi zimechakazwa sana hivyo gharama zake sio ndogo. Refer hizbollah na Houth na Iran wao walishusha kwenye Makambi tuu
10. Waisrael 2.5+ waliondoka kwa hofu ya vita huku wengine 300k + wakihama upande wa kaskazini wa Hizbollah
11. Viongozi wa Israel wako mashakani kuuawa na Hizbollah kwa special operations
12. Wanajeshi wengi wa akiba waligoma kuingia vitani hivyo morali ya upiganaji ni ndogo kwa majeshi yao ushindi itakua ngumu kwa siku zijazo kwa tabia hizo
13. Watu 1500+ waliuawa kwa makosa yao wenyewe kuanzia okt7
List goes on
Je Hamas wame gain nini haswa?