Pamoja na kuhujumiwa CHADEMA yafika Hospitali ya Mkoa na kusalimia Majeruhi. Yachangia pesa

Pamoja na kuhujumiwa CHADEMA yafika Hospitali ya Mkoa na kusalimia Majeruhi. Yachangia pesa

Alivyokutoa usichana wako kisha akakupiga kibuti ndiyo hasira zote hizi,kila ukilala unamuota yeye tu. Tulia kwa mumeo mzae dada yangu
Mara ya kwanza nimesema mkisema chadema wametoa kiasi gani cha fedha nitaacha kutumia JF, wewe ukasema labla niache ushoga nimekubali sawa naacha ushoga kama nkitaja pesa zilizotolewa, lkn mpaka sasa unanizungusha tuu hutaji pesa Zilizotolewa 😂
Bro, stuka. Hakuna chama kitakachokuletea chakula wala mahitaji yako.
 
Binafsi sio mfuasi wa CCM ila napenda harakati za vyama vya upinzani

Ila hapa karibuni naona kama CHADEMA wanaleta siasa za kitoto na mbaya zaidi uelewa wa watanzania baadhi umekua sio kama zamani

Hivi kulikua na haja gani kulazimisha kwenda kutoa misaada yao siku ambayo raisi wa nchi anakwenda

Hivi hawakuona kama kumshushia heshima na hadhi yake raisi maana ilikua siku yake rasmi ya kwenda kuona madhara na kutoa misaada mikubwa ikiwemo kuwajengea makazi

Hivi wangechagua siku nyingine baada au kabla ya raisi kufika wangepungukiwa nini!?

Kwa hili CHADEMA mmeferi mjirekebishe hizi ni siasa za kitoto kwenye mambo ya msingi

HIVI MSAADA WA RAISI WA NCHI NA WA CHADEMA VINAWEZA KUFANANA KWELI!?

MJITAFAKARI CHADEMA MAMBO MADOGO KAMA HAYA YANAWASHUSHIA HESHIMA YENU BADO MNAISHI KWA SERA NA HARAKATI ZA KIZAMANI
MTOTO UTAKUWA WEWE

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Viongozi wa Chadema Kanda ya Kaskazini wakiongozwa na Mwenyekiti wa Taifa wa Chama chao , Mwamba wa siasa za kisasa kwenye eneo la Maziwa Makuu, Laingwanan, Mtemi Isike ama Ustaadh Aboubakar Mbowe , baada ya Vuta Nikuvute, hatimaye wamefanikiwa kukagua uharibifu uliosababishwa na maporomoko ya udongo .

Katika Msafara huo uliokuwa ukishangiliwa na Wananchi kote ulikofanya Ukaguzi umepita kata za Katesh , Ganana na Jorodon

Katika kuhitimisha Ukaguzi, chama hicho kimekiri kuona Uharibifu Mkubwa uliotokea , kimetoa pole kwa Wahanga wote na kinatarajiwa kutoa Mwongozo .

Screenshot_2023-12-07-22-17-17-1.png
Screenshot_2023-12-07-22-18-44-1.png
Screenshot_2023-12-07-22-17-02-1.png
Screenshot_2023-12-07-22-16-38-1.png
Screenshot_2023-12-07-22-16-50-1.png
Screenshot_2023-12-07-22-11-27-1.png
Screenshot_2023-12-07-22-11-18-1.png
Screenshot_2023-12-07-22-10-23-1.png
Screenshot_2023-12-07-22-10-44-1.png
 
lengo sio msaada,lengo ni marketing.
ndio maana unaona magwanda na kofia kama kawaida.

lakink dr morel akivaa zake za kijani anasimangwa kwamba hajui tofauti ya sehemu yenye msiba na ya kampeni.

tofauti ya chadema na ccm kwenye aina yao ya mienendo,ndiyo inaninyima imani kwamba kunawezakuwa na tofauti iwapo watashika wao madaraka.
Sent from my Redmi Note 8 using JamiiForums mobile app

Binafsi nimesikitishwa sanaa wanavyo taka huruma kwa wananchi kwa jambo la kipuuzi walilo fanya
 
Binafsi sio mfuasi wa CCM ila napenda harakati za vyama vya upinzani

Ila hapa karibuni naona kama CHADEMA wanaleta siasa za kitoto na mbaya zaidi uelewa wa watanzania baadhi umekua sio kama zamani

Hivi kulikua na haja gani kulazimisha kwenda kutoa misaada yao siku ambayo raisi wa nchi anakwenda

Hivi hawakuona kama kumshushia heshima na hadhi yake raisi maana ilikua siku yake rasmi ya kwenda kuona madhara na kutoa misaada mikubwa ikiwemo kuwajengea makazi

Hivi wangechagua siku nyingine baada au kabla ya raisi kufika wangepungukiwa nini!?

Kwa hili CHADEMA mmeferi mjirekebishe hizi ni siasa za kitoto kwenye mambo ya msingi

HIVI MSAADA WA RAISI WA NCHI NA WA CHADEMA VINAWEZA KUFANANA KWELI!?

MJITAFAKARI CHADEMA MAMBO MADOGO KAMA HAYA YANAWASHUSHIA HESHIMA YENU BADO MNAISHI KWA SERA NA HARAKATI ZA KIZAMANI
Makamanda uchwara hawatakuelewa😎
 
Eneo lililopata madhara ni eneo kubwa na sio kusema labda ni kachumba kamoja,hivyo kama Rais yupo Kinondoni anatoa misaada,na hawa kina Mbowe wakiwa Sinza wanatoa misaada shida ni nini??mbona vitu vidogo havihitaji hata Elimu ya darasa la Saba kufikiri??haya wameenda Hospital kuwaona majeruhi,ni Heshima gani waliyomvunjia Rais??akili nyingine shida sana,kwamba unataka kusema Rais akiwa anahutubia Taifa basi Keko nzima huwa inajaa Taifa na shughuli zote huwa zinasimama??tumia akili ya kichwani na sio nyuma huko

Lakini wahanga wanetengwa sehemu moja na sehemu moja ya hospital raisi ako na heshima kubwa sanaa na ulinzi mkubwa tofauti na mtu baki….

Ki heshima na hekima hamjafanya vyema sema ndio hivyo wǎfuasi wa hivi vyama ni sawa na wafuasi wa dini
 
Kuna vya maana basi unaweza kuta yanga au simba wametoa vikubwa kuliko chadema

Raisi anakuja na hatima ya wana hanang kwa kuwajengea nyumba na vitu vingine vya muhimu

Wao wanataka kujitia kimbele mbele kuondoa utulivu
Box tano za sabuni za kufuria na sukani 200kgs
Haiwezekani bhana, acheni unafiki bhana nyie ccm 😂 kwa jinsi navowajua chadema wanavopenda watanzania hawawezi kufanya hivyo.

Mbona katibu wa itikadi na uenezi wa chadema ndugu yangu wa damu kabisa Erythrocyte amejitamba na kusema chama chake kimetoa mamilioni ila hajataja ni mamilioni mangapi (nadhani walichoka kuhesabu 😎)
 
Binafsi nimesikitishwa sanaa wanavyo taka huruma kwa wananchi kwa jambo la kipuuzi walilo fanya
Sasa wewe ukisikitishwa au kuamua kulia wiki nzima itasaidia nini? Kikubwa ni kwamba Mhe rais kafika na Chadema nao wamefika kuwafariji wahanga, na pengine Mhe Rais ndiye aliyefutilia mbali zuio la kijinga la Police au uongozi wa mkoa. Msiba au janga likitokea halichagui nani aende lini na saa ngapi, ila nyie vilaza ambao kila kitu mnakipolitisize ndiyo wenye shida but this time imekula kwenu.
 
Back
Top Bottom