Pamoja na kuhujumiwa CHADEMA yafika Hospitali ya Mkoa na kusalimia Majeruhi. Yachangia pesa

Pamoja na kuhujumiwa CHADEMA yafika Hospitali ya Mkoa na kusalimia Majeruhi. Yachangia pesa

Mkuu Erythrocyte bado tuu hujafanikiwa kujua chama chetu cha kishupavu kimefanikiwa kutoa msaada wa mamilioni mangapi.?
Au mlichoka kuhesabu mkaamua kuyabeba hvy hvy.?
Ety mkuu unaendaje hapo.!
 
Sasa wewe ukisikitishwa au kuamua kulia wiki nzima itasaidia nini? Kikubwa ni kwamba Mhe rais kafika na Chadema nao wamefika kuwafariji wahanga, na pengine Mhe Rais ndiye aliyefutilia mbali zuio la kijinga la Police au uongozi wa mkoa. Msiba au janga likitokea halichagui nani aende lini na saa ngapi, ila nyie vilaza ambao kila kitu mnakipolitisize ndiyo wenye shida but this time imekula kwenu.
Ni sahihi unayoyaongea ila tatizo ni kwamba kuna wahuni walijibana kona kusubiri rais atakuwepo lini eneo husika ili na wao wakapate attention.

Si unakumbuka kuna kiongozi wa chama flan nimekisahau jina akiwa mbunge kipindi kile cha Ndugai, alikunywa konyagi mpaka kuvunjika mguu na kusema n serikali wametuma watu ili wamjeruhi, unadhani alifanya vile ili iweje c ili kutafuta attention kwa umma
 
Alivyokutoa usichana wako kisha akakupiga kibuti ndiyo hasira zote hizi,kila ukilala unamuota yeye tu. Tulia kwa mumeo mzae dada yangu
Naona mke mwenzako Erythrocyte anagonga like Kwenye comment zinazomuunga mkono tuu lkn zile comment za kuambiwa ukweli anaziona kama konyagi ile ambayo ilimvunja mguu mume wenu Mbowe mpaka mkawa mnakosa huduma ya ndoa 😂

SAGAI GALGANO pamoja na ndugu yangu wa damu kabisa Erythrocyte najua mnaelewa sana nachoongea ila tatizo ni upande ambao tayari mmeamua kuishi napo mnajua kabisa ni pabovu ila mtafanyaje sasa na ndoa ni ya kikristo na hakuna kuachana.

Nawakumbusha tuu, hakuna chama chcht cha siasa sio CCM sio CHADEMA sio TLP wala sio chama chcht kile kitakachowaletea maendeleo, kila mtu anaangalia tumbo lake na ndugu zake.

NB: Kama nyie mpo kwenye system ya ulaji wa chadema bc hongereni maana kazi ya kuwatetea mnaifanya kwa juhudi kubwa mno.
 
Viongozi wa Chadema Kanda ya Kaskazini wakiongozwa na Mwenyekiti wa Taifa wa Chama chao , Mwamba wa siasa za kisasa kwenye eneo la Maziwa Makuu, Laingwanan, Mtemi Isike ama Ustaadh Aboubakar Mbowe , baada ya Vuta Nikuvute, hatimaye wamefanikiwa kukagua uharibifu uliosababishwa na maporomoko ya udongo .

Katika Msafara huo uliokuwa ukishangiliwa na Wananchi kote ulikofanya Ukaguzi umepita kata za Katesh , Ganana na Jorodon

Katika kuhitimisha Ukaguzi, chama hicho kimekiri kuona Uharibifu Mkubwa uliotokea , kimetoa pole kwa Wahanga wote na kinatarajiwa kutoa Mwongozo .

View attachment 2836039View attachment 2836040View attachment 2836041View attachment 2836043View attachment 2836044View attachment 2836046View attachment 2836049View attachment 2836052View attachment 2836053
Wanasiasa wote Mungu anawaona na maisha ya kuigiza
 
Eneo lililopata madhara ni eneo kubwa na sio kusema labda ni kachumba kamoja,hivyo kama Rais yupo Kinondoni anatoa misaada,na hawa kina Mbowe wakiwa Sinza wanatoa misaada shida ni nini??mbona vitu vidogo havihitaji hata Elimu ya darasa la Saba kufikiri?

Haya wameenda Hospital kuwaona majeruhi,ni Heshima gani waliyomvunjia Rais? Akili nyingine shida sana,kwamba unataka kusema Rais akiwa anahutubia Taifa basi Keko nzima huwa inajaa Taifa na shughuli zote huwa zinasimama?

Tumia akili ya kichwani na sio nyuma huko
Hawa vichwa maji wanaongea ujinga utafikiri ni tanzania peke yake ndiyo yenye rais duniani.
 
Watanzania tujifunze kuwa na Solidality bila kujali vyama pale ambapo kumetokea Majanga, Maafa, nk
Tanzania kwanza Vyama baadaye!
Kwa hiyo Watanzania wote tuungane na Mheshimiwa Rais Dr.Samia Suhuhu kuona namna gani Serikali inaweza kuwasaidia wananchi wenzetu wa Manyara!
Hongera CDM kwa kuonyesha Solidality!
 
Naunga mkono!

Nadhani Vyama vyote vingekabidhi misaada yote kwa Serikali ili kuonyesha Solidality na mheshimiwa Rais katika kupambana na janga hili.

"Tanzania kwanza siasa za Vyama baadaye."
 
Back
Top Bottom