Pamoja na kuhujumiwa CHADEMA yafika Hospitali ya Mkoa na kusalimia Majeruhi. Yachangia pesa

Alivyokutoa usichana wako kisha akakupiga kibuti ndiyo hasira zote hizi,kila ukilala unamuota yeye tu. Tulia kwa mumeo mzae dada yangu
Mara ya kwanza nimesema mkisema chadema wametoa kiasi gani cha fedha nitaacha kutumia JF, wewe ukasema labla niache ushoga nimekubali sawa naacha ushoga kama nkitaja pesa zilizotolewa, lkn mpaka sasa unanizungusha tuu hutaji pesa Zilizotolewa 😂
Bro, stuka. Hakuna chama kitakachokuletea chakula wala mahitaji yako.
 
MTOTO UTAKUWA WEWE

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Viongozi wa Chadema Kanda ya Kaskazini wakiongozwa na Mwenyekiti wa Taifa wa Chama chao , Mwamba wa siasa za kisasa kwenye eneo la Maziwa Makuu, Laingwanan, Mtemi Isike ama Ustaadh Aboubakar Mbowe , baada ya Vuta Nikuvute, hatimaye wamefanikiwa kukagua uharibifu uliosababishwa na maporomoko ya udongo .

Katika Msafara huo uliokuwa ukishangiliwa na Wananchi kote ulikofanya Ukaguzi umepita kata za Katesh , Ganana na Jorodon

Katika kuhitimisha Ukaguzi, chama hicho kimekiri kuona Uharibifu Mkubwa uliotokea , kimetoa pole kwa Wahanga wote na kinatarajiwa kutoa Mwongozo .

 

Binafsi nimesikitishwa sanaa wanavyo taka huruma kwa wananchi kwa jambo la kipuuzi walilo fanya
 
Makamanda uchwara hawatakuelewa😎
 

Lakini wahanga wanetengwa sehemu moja na sehemu moja ya hospital raisi ako na heshima kubwa sanaa na ulinzi mkubwa tofauti na mtu baki….

Ki heshima na hekima hamjafanya vyema sema ndio hivyo wǎfuasi wa hivi vyama ni sawa na wafuasi wa dini
 
Kuna vya maana basi unaweza kuta yanga au simba wametoa vikubwa kuliko chadema

Raisi anakuja na hatima ya wana hanang kwa kuwajengea nyumba na vitu vingine vya muhimu

Wao wanataka kujitia kimbele mbele kuondoa utulivu
Box tano za sabuni za kufuria na sukani 200kgs
Haiwezekani bhana, acheni unafiki bhana nyie ccm 😂 kwa jinsi navowajua chadema wanavopenda watanzania hawawezi kufanya hivyo.

Mbona katibu wa itikadi na uenezi wa chadema ndugu yangu wa damu kabisa Erythrocyte amejitamba na kusema chama chake kimetoa mamilioni ila hajataja ni mamilioni mangapi (nadhani walichoka kuhesabu 😎)
 
Binafsi nimesikitishwa sanaa wanavyo taka huruma kwa wananchi kwa jambo la kipuuzi walilo fanya
Sasa wewe ukisikitishwa au kuamua kulia wiki nzima itasaidia nini? Kikubwa ni kwamba Mhe rais kafika na Chadema nao wamefika kuwafariji wahanga, na pengine Mhe Rais ndiye aliyefutilia mbali zuio la kijinga la Police au uongozi wa mkoa. Msiba au janga likitokea halichagui nani aende lini na saa ngapi, ila nyie vilaza ambao kila kitu mnakipolitisize ndiyo wenye shida but this time imekula kwenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…