Ni sahihi unayoyaongea ila tatizo ni kwamba kuna wahuni walijibana kona kusubiri rais atakuwepo lini eneo husika ili na wao wakapate attention.Sasa wewe ukisikitishwa au kuamua kulia wiki nzima itasaidia nini? Kikubwa ni kwamba Mhe rais kafika na Chadema nao wamefika kuwafariji wahanga, na pengine Mhe Rais ndiye aliyefutilia mbali zuio la kijinga la Police au uongozi wa mkoa. Msiba au janga likitokea halichagui nani aende lini na saa ngapi, ila nyie vilaza ambao kila kitu mnakipolitisize ndiyo wenye shida but this time imekula kwenu.
😆😆😆😆😆Namshukuru sana Samia kwa tope la Hanang
HakikaKamanda Magoma...
Mji umekuwa na furaha na machozi KUFUTIKA.....hiki chama kimo mioyoni sio Tumboni
Naona mke mwenzako Erythrocyte anagonga like Kwenye comment zinazomuunga mkono tuu lkn zile comment za kuambiwa ukweli anaziona kama konyagi ile ambayo ilimvunja mguu mume wenu Mbowe mpaka mkawa mnakosa huduma ya ndoa 😂Alivyokutoa usichana wako kisha akakupiga kibuti ndiyo hasira zote hizi,kila ukilala unamuota yeye tu. Tulia kwa mumeo mzae dada yangu
Wanasiasa wote Mungu anawaona na maisha ya kuigizaViongozi wa Chadema Kanda ya Kaskazini wakiongozwa na Mwenyekiti wa Taifa wa Chama chao , Mwamba wa siasa za kisasa kwenye eneo la Maziwa Makuu, Laingwanan, Mtemi Isike ama Ustaadh Aboubakar Mbowe , baada ya Vuta Nikuvute, hatimaye wamefanikiwa kukagua uharibifu uliosababishwa na maporomoko ya udongo .
Katika Msafara huo uliokuwa ukishangiliwa na Wananchi kote ulikofanya Ukaguzi umepita kata za Katesh , Ganana na Jorodon
Katika kuhitimisha Ukaguzi, chama hicho kimekiri kuona Uharibifu Mkubwa uliotokea , kimetoa pole kwa Wahanga wote na kinatarajiwa kutoa Mwongozo .
View attachment 2836039View attachment 2836040View attachment 2836041View attachment 2836043View attachment 2836044View attachment 2836046View attachment 2836049View attachment 2836052View attachment 2836053
Iondoe Chademawanasiasa wote Mungu anawaona na maisha ya kuigiza
Hawa vichwa maji wanaongea ujinga utafikiri ni tanzania peke yake ndiyo yenye rais duniani.Eneo lililopata madhara ni eneo kubwa na sio kusema labda ni kachumba kamoja,hivyo kama Rais yupo Kinondoni anatoa misaada,na hawa kina Mbowe wakiwa Sinza wanatoa misaada shida ni nini??mbona vitu vidogo havihitaji hata Elimu ya darasa la Saba kufikiri?
Haya wameenda Hospital kuwaona majeruhi,ni Heshima gani waliyomvunjia Rais? Akili nyingine shida sana,kwamba unataka kusema Rais akiwa anahutubia Taifa basi Keko nzima huwa inajaa Taifa na shughuli zote huwa zinasimama?
Tumia akili ya kichwani na sio nyuma huko
Kutafuta attention tu hawana lolote haoKwa hiyo baada ya kukagua ninini kinafuata? Nyie kenge kweli
Joined 2022 augustKwa hiyo baada ya kukagua ninini kinafuata? Nyie kenge kweli
Samia yeye alikuwa natafuta nini ?
Samia ni mtumishi wa serikali,misaada yote lazima isimamiwa na serikali, nye mlipoenda na magwanda mliambiwa kuna paredi kule?Samia yeye alikuwa natafuta nini ?
Kama Waziri Mkuu alikuwepo , kulikuwa na haja gani Hangaya kwenda ?Samia ni mtumishi wa serikali,misaada yote lazima isimamiwa na serikali, nye mlipoenda na magwanda mliambiwa kuna paredi kule?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni jambo muhimu la kitaifa kuhudhuria, Majaliwa aliwahi kuwajulia hali maana mama bado alikuwa safarini ,mbona hamkwenda siku ile majaliwa yupo? Mnasubiri Rais aende na nye mchomeke agenda zenu,siasa za kitoto hizoKama Waziri Mkuu alikuwepo , kulikuwa na haja gani Hangaya kwenda ?
Kupiga pichaKwa hiyo baada ya kukagua ninini kinafuata? Nyie kenge kweli