Pamoja na kuhujumiwa CHADEMA yafika Hospitali ya Mkoa na kusalimia Majeruhi. Yachangia pesa

Pamoja na kuhujumiwa CHADEMA yafika Hospitali ya Mkoa na kusalimia Majeruhi. Yachangia pesa

Taarifa zinaeleza kwamba baadhi ya Majeruhi baada ya kuwaona viongozi wa Chadema wamefurahi sana kiasi cha kupata nafuu ghafla , na wengine kuanza kutembea wenyewe pamoja na kwamba hapo awali walikuwa wanabebwa! kilichotokea ni kama vile ndani ya Hospitali hiyo umeingia ujumbe kutoka kwa Mungu kwa ajili ya Uponyaji

Hii ni comedy 😂

Ila ww jamaa hapana aisee 🙌 ila mimba ya Mbowe utajifungua tuu
 
Taarifa zinaeleza kwamba baadhi ya Majeruhi baada ya kuwaona viongozi wa Chadema wamefurahi sana kiasi cha kupata nafuu ghafla , na wengine kuanza kutembea wenyewe pamoja na kwamba hapo awali walikuwa wanabebwa! kilichotokea ni kama vile ndani ya Hospitali hiyo umeingia ujumbe kutoka kwa Mungu kwa ajili ya Uponyaji .

View attachment 2835884View attachment 2835885View attachment 2835886View attachment 2835888View attachment 2835889View attachment 2835890View attachment 2835891
Acha kumuiga Lucas Mwashambwa kwenye uandishi. Tafuta identity yako. Huu uzi ni kama vile umeandikiwa na Mwashambwa
 
Pomoja na utitiri wa hujuma, ambazo ni hujuma za kijinga zilizojaa wivu wa kipumbavu , Chadema imefanikiwa kuingia kwenye Hospitali ya Mkoa wa Manyara kuwaona Majeruhi na kutoa msaada wa mamilioni ya shilingi zikiwemo pesa taslimu

Ukitaja kiasi cha fedha kilichotolewa na chadema, naacha kutumia JF
 
Sasa Mbowe hayo magwanda na hako kakofia ka m4c vya nini?[emoji41][emoji16]

Mbona hujalalamika mawaziri wameenda na maV8 yameandikwa Waziri au Naibu Waziri, na bendera zinapepea?

Kwani **** ubaya gani mtu kwenda na identity yake? Kuna ubaya gani Askofu akienda kumwona mgonjwa na kanzu yake, au shekhe na balagashia yake?
 
Acha kumuiga Lucas Mwashambwa kwenye uandishi. Tafuta identity yako. Huu uzi ni kama vile umeandikiwa na Mwashambwa
Lucas Mwashamba amejiunga mwaka Jana hapa jukwaani, huyu Yuko miaka dahari hapa jf na huo ndio uandishi wake. Tazama post zake kabla ya huyo Lucas kujiunga ndio utajua nani anamuiga mwenzake.
 
Binafsi sio mfuasi wa CCM ila napenda harakati za vyama vya upinzani

Ila hapa karibuni naona kama CHADEMA wanaleta siasa za kitoto na mbaya zaidi uelewa wa watanzania baadhi umekua sio kama zamani

Hivi kulikua na haja gani kulazimisha kwenda kutoa misaada yao siku ambayo raisi wa nchi anakwenda

Hivi hawakuona kama kumshushia heshima na hadhi yake raisi maana ilikua siku yake rasmi ya kwenda kuona madhara na kutoa misaada mikubwa ikiwemo kuwajengea makazi

Hivi wangechagua siku nyingine baada au kabla ya raisi kufika wangepungukiwa nini!?

Kwa hili CHADEMA mmefeli mjirekebishe hizi ni siasa za kitoto kwenye mambo ya msingi

HIVI MSAADA WA RAISI WA NCHI NA WA CHADEMA VINAWEZA KUFANANA KWELI!?

MJITAFAKARI CHADEMA MAMBO MADOGO KAMA HAYA YANAWASHUSHIA HESHIMA YENU BADO MNAISHI KWA SERA NA HARAKATI ZA KIZAMANI
 
Lucas Mwashamba amejiunga mwaka Jana hapa juu, huyu Yuko miaka dahari hapa jf na huo ndio uandishi wake. Tazama post zake kabla ya huyo Lucas kujiunga ndio utajua nani anamuiga mwenzake.
Kujiunga mwaka jana sio tatizo. Huyu jamaa kaanza kumuiga Lucas Mwashambwa kwenye uandishi. Inakera sana
 
Back
Top Bottom