Upo stand gari zenye seat ni nyingi tu, ila kwasababu ya uzee wako unakuja kwenye gari iliyojaza (inayotaka kuondoka) ukitarajia kuna mtu atakupisha (aliyewahi seat).Umesema kweli hilo nani nimeliona. Hiki ni kizazi cha laana na ndio maana wengi wao hawafikii uzee. Amri inasema waheshimu wazazi wako upate gari na miaka mingi. Wazazi sio wale tu waliokuzaa hata wa umri wao
Watoto mliozaliwa kwa mimba za guest huwa hamfichi upumbavu wenu.Hakukuwa na gari lingine lenye nafasi?
Watoto mliozaliwa kwa mimba za guest huwa hamfichi upumbavu wenu.
Hata wewe?Upo stand gari zenye seat ni nyingi tu, ila kwasababu ya uzee wako unakuja kwenye gari iliyojaza (inayotaka kuondoka) ukitarajia kuna mtu atakupisha (aliyewahi seat).
Hata mimi sikupishi.
Mimi niko 20+ ila sikupishi kwa daladala hata iweje mkuu, yaani wewe unaona daladala imejaa unajipandisha huko kwenda kutegemea Huruma? Aisee hapana utasimama hadi ujute kwenye gari sote ni abiria hakuna kijana wala mzee ndio maana nauli tunalipia sawa, ila mwanafunzi sawa apishe wazee maana yeye analipa nusu nauli.
Kuna mambo ukisikia kuhusu vijana wa sasa unaweza usiamini ila kwa comments zao kwa kweli kuna shida.Mkuu punguza hasira, wazee mim nimepambania hadi nimepata siti wewe uje uninyanyue tu kirahisi hapana aisee, tena kama nimekaa ya dirishan ndio kabisa nafunga macho kujifanya nimelala kabisa
Mkuu hawa vijana wa sasa wana shida mahali.Hata wewe?
Na ndiyo maana 65% yao Wanasukuma sana Ukuta Mkuu na Wataisukuma mno tu mpaka Wakome na Wabadilike.Mkuu hawa vijana wa sasa wana shida mahali.
Nimetoka kumhamsha kijana wangu Sasa hivi SAA 4 hii asubuhi ndio aamke, tena nimemuamsha Mimi.Mkuu hawa vijana wa sasa wana shida mahali.
Vijana wanauliza inatakiwa wapewe majibu wajifunze badala ya kuwashambulia, wanataka kujua faida za kupisha watu seat ni zipi, zinathibitika au ni myths tu?Mkuu hawa vijana wa sasa wana shida mahali.
Asiejua maana haambiwi maana. Sijashambulia mtu mkuu. Una uhuru wa kupisha au kutokupisha ni utashi tu. Haya niliyosema ni maoni yangu tu yanaweza kuwa potofu.Vijana wanauliza inatakiwa wapewe majibu wajifunze badala ya kuwashambulia, wanataka kujua faida za kupisha watu seat ni zipi, zinathibitika au ni myths tu?
Zingatia mukutadha huu:-
Mpo stand, gari ni nyingi tu ambazo zina nafasi. Kijana kafika stand kaingia kwenye gari lenye nafasi kisha kapoteza muda wake kusubiri gari lijaze ili liondoke, halafu ghafula mzee mmoja anaacha gari zote zenye seat anakuja kwenye hii iliyojaza (kwa kigezo cha kuwa itawahi kuondoka), kitegemea kupishwa na huyu kijana.
Maswali:
1. Huyu kijana ashuke kwenye hiyo gari (kumpisha mzee) arudi kwenye nyingine ambazo hazina watu ili asubiri mpaka zijaze tena? Akitokea mzee mwingine vipi, ashuke tena?
2. Kuna ugumu upi ambao huyo mzee ataupata akiamua kupanda gari ya nyuma (hapo stand) ambayo ina seat, badala ya kufanya makusudi akitarajia huruma? Maana kimsingi binadamu wote tuna haraka.
3. Kijana asimame kwenye safari yenye umbali wa 20KM, kwasababu kuna mzee fulani hakutaka kupanda gari za nyuma zenye seat hapo stand? Haiingii akili hata kidogo.
NB: Binafsi naona kuna mazingira ambayo hatupaswi kuendekeza uzee ili kuwakandamiza vijana.
Asiejua maana haambiwi maana. Sijashambulia mtu mkuu. Una uhuru wa kupisha au kutokupisha ni utashi tu. Haya niliyosema ni maoni yangu tu yanaweza kuwa potofu.
Uwe na weekend njema.
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha.Kwanza kabisa hakuna maana yoyote uliyoisema.
Lakini pia , ni vizuri umetambua kuwa mawazao yako yanaweza kuwa potofu, kama ambavyo mnahisi vijana wamepotoka kwa kutokuwapisha seats.
Uwe na weekend njema pia.
Wewe ni mtu wa hovyo kabisa, unataka mtiririko upi? Labda wakuelekea nchonyoni kwako.Kama wazee ndio nyinyi, wenye midomo michafu kama hii, sioni ulazima wa hao vijana kuwapisha seat.
Kuna faida gani kijana atapata ambazo zinaweza kuthibitika , kwa kupisha mzee mjinga na TUTUSA kama wewe?
Unaulizwa swali badala ya kujibu ili kuleta mtiririko mziru wa mada, wewe unaleta matusi.
Wewe ni mtu wa hovyo kabisa, unataka mtiririko upi? Labda wakuelekea nchonyoni kwako.
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha.Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha.
Wazee mnasumbua sana maisha magumu bado na siti tuwaachie.Mkuu hawa vijana wa sasa wana shida mahali.
Suala sio kuwahi kuamka suala ni unawahi kuamka uende wapiNimetoka kumhamsha kijana wangu Sasa hivi SAA 4 hii asubuhi ndio aamke, tena nimemuamsha Mimi.
Mama zao wanakwambia usisumbuwe Watoto, tumekwisha.
Vichwa maji hawawezi kukuelewaVijana wanauliza inatakiwa wapewe majibu wajifunze badala ya kuwashambulia, wanataka kujua faida za kupisha watu seat ni zipi, zinathibitika au ni myths tu?
Zingatia mukutadha huu:-
Mpo stand, gari ni nyingi tu ambazo zina nafasi. Kijana kafika stand kaingia kwenye gari lenye nafasi kisha kapoteza muda wake kusubiri gari lijaze ili liondoke, halafu ghafula mzee mmoja anaacha gari zote zenye seat anakuja kwenye hii iliyojaza (kwa kigezo cha kuwa itawahi kuondoka), kitegemea kupishwa na huyu kijana.
Maswali:
1. Huyu kijana ashuke kwenye hiyo gari (kumpisha mzee) arudi kwenye nyingine ambazo hazina watu ili asubiri mpaka zijaze tena? Akitokea mzee mwingine vipi, ashuke tena?
2. Kuna ugumu upi ambao huyo mzee ataupata akiamua kupanda gari ya nyuma (hapo stand) ambayo ina seat, badala ya kufanya makusudi akitarajia huruma? Maana kimsingi binadamu wote tuna haraka.
3. Kijana asimame kwenye safari yenye umbali wa 20KM, kwasababu kuna mzee fulani hakutaka kupanda gari za nyuma zenye seat hapo stand? Haiingii akili hata kidogo.
NB: Binafsi naona kuna mazingira ambayo hatupaswi kuendekeza uzee ili kuwakandamiza vijana.
Hata kama huendi popote mtoto wa kiume huwezi kulala hovyo, ni lazima uamke bora ukimbie ufanye mazoezi, au Usafi wa mazingira, mazoea hujenga tabia.Suala sio kuwahi kuamka suala ni unawahi kuamka uende wapi