Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Haya si ndio mapumbavu yanayopiga magoti Kwa mwanamke kumvalisha Pete ya engagement? akili wazitowe wapi?Mkuu hawa vijana wa sasa wana shida mahali.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya si ndio mapumbavu yanayopiga magoti Kwa mwanamke kumvalisha Pete ya engagement? akili wazitowe wapi?Mkuu hawa vijana wa sasa wana shida mahali.
Hawana adabu kabisaNa ndiyo maana 65% yao Wanasukuma sana Ukuta Mkuu na Wataisukuma mno tu mpaka Wakome na Wabadilike.
Punguzeni chips mayai aisee, enzi zetu unasafiri toka Arusha mpaka Tanga au Dar huku umesimama kwenye Bus. Yaani wewe ni kubadilisha tuu staili ya kusimama, sembuse Mbagala to Kawe?Imagine uko mbagara unaenda kawe kuingia tu ni kwakugombania afu fikilia io safari ilivo ndefu mara upo zakiemu unamuona mzee kasimama inabid ukaze kichwa[emoji23][emoji23][emoji23]
Yale yale ya ile tafiti ya vijana 9 kati ya 10 hawana maadili.. [emoji23]yani unatoka masaki unaitafuta Gongo la Mboto.. Kutokana na uchovu wa kazi nzito na kupigika kazini unaona hapa nijisogeze kidogo kituo cha nyuma nizunguke na gari, unatulia zako kweny siti unanyosha kiuno unawaza ya kwako. Mbele kidgo baada ya gari kugeuka anakuja mzee mweny kanguvu zake anakusimamia kwenye siti yako kihuruma.. Dah wazee embu mtusamehe muda mwingine maana mtatupa laana za bure.
Binafsi huwa nawapisha watu wazima ila napima na utu uzima wao na namna ya upatikanaji wa gari haiwezekan gari zipo za siti haupandi uje upande lile limejaa kwa advantage ya uzee nitakupisha siti, aisee sifumbi macho wala sivai earphone ndo kwanza nakukodolea macho unavoteseka kwa kusimama.
Ndiyo maana mnaishia tu Kuvuta Bangi, Kupewa hovyo Mimba, mnafeli hovyo Mashuleni, Akili hamna huku wengine mkipenda kuwa kama Dada zenu wakati ni Watoto wa Kiume.
Nidhamu ni Ufunguo wa kila Jambo na chanzo cha Baraka Maishani hasa ikionyeshwa na Mtoto / Kijana mbele ya Wakubwa zake hata kama siyo Wazazi wake.
Haiwezekani GENTAMYCINE nimepanda DalaDala ambalo lina Vijana wa Kiume na Like wengi ( tena Wanafunzi ) tena nimekaa Siti ya Nyuma halafu anapanda Bibi na Wanamchunia kabisa hadi Mimi wa nyuma nikampisha akakaa na nikasimama hadi mwisho wa Safari.
Halafu kila Ijumaa, Jumamosi na Jumapili mnaenda Kuswali / Kusali kwa Mungu. Hivi mnadhani Mwenyezi Mungu ni Mwendawazimu na Juha kama mlivyo kwa Nidhamu zenu hii mbaya na Unafiki kabisa awapeni Baraka zake na mfanikiwe?
Hovyo kabisa......!!!!!!
Mimi ni kijana ila huu upumbavu wa vijana wapumbavu kupiga magoti eti kumvisha mwanamke pete ya uchumba ni ujinga uliopitiliza.Haya si ndio mapumbavu yanayopiga magoti Kwa mwanamke kumvalisha Pete ya engagement? akili wazitowe wapi?
Unamaanisha Humphrey Polepole na Stive Nyerere?We unaona gari imekajaa na hakuna siti halafu unaingia.
Kuna wazee wengine wanabagua siti, ukimuachia anaiangalia kwanza, anaitikisa aone kama imetulia. 😁
But, tuwaachieni wazee siti! 😀🙌
Sema kuna sura zingine zinachangaja, unakuwa humuelewi ni mzee au kijana.
Si umehitimu SAUT miaka kumi tu iliyopita, uzee wa 60 unautoa wapi?Ndiyo maana mnaishia tu Kuvuta Bangi, Kupewa hovyo Mimba, mnafeli hovyo Mashuleni, Akili hamna huku wengine mkipenda kuwa kama Dada zenu wakati ni Watoto wa Kiume.
Nidhamu ni Ufunguo wa kila Jambo na chanzo cha Baraka Maishani hasa ikionyeshwa na Mtoto / Kijana mbele ya Wakubwa zake hata kama siyo Wazazi wake.
Haiwezekani GENTAMYCINE nimepanda DalaDala ambalo lina Vijana wa Kiume na Like wengi ( tena Wanafunzi ) tena nimekaa Siti ya Nyuma halafu anapanda Bibi na Wanamchunia kabisa hadi Mimi wa nyuma nikampisha akakaa na nikasimama hadi mwisho wa Safari.
Halafu kila Ijumaa, Jumamosi na Jumapili mnaenda Kuswali / Kusali kwa Mungu. Hivi mnadhani Mwenyezi Mungu ni Mwendawazimu na Juha kama mlivyo kwa Nidhamu zenu hii mbaya na Unafiki kabisa awapeni Baraka zake na mfanikiwe?
Hovyo kabisa......!!!!!!
Ilinikuta hii, ubungo mbagala enzi hizo stendi ya daladala ipo ubungo palipokuwa na mzani karibu na jengo la tanesco, tumepanda libasi lireeefu tupo level seat kapanda bibi wa 70+ tukaanza tegeana kumpisha, ilikuwa mtihani kwangu na bahati mbaya nilifeliImagine uko mbagara unaenda kawe kuingia tu ni kwakugombania afu fikilia io safari ilivo ndefu mara upo zakiemu unamuona mzee kasimama inabid ukaze kichwa😂😂😂
Dunia inabadilika sio lazima na sisi tusimame ivo kama nyiePunguzeni chips mayai aisee, enzi zetu unasafiri toka Arusha mpaka Tanga au Dar huku umesimama kwenye Bus. Yaani wewe ni kubadilisha tuu staili ya kusimama, sembuse Mbagala to Kawe?
Mzee wangu Hutumii blue pill(viagra)?Uzee sio umri ni kujitunza. Nina 63 na sijisikii kabisa kama mzee. Na napanda daladala. Na mbususu nakula.
Sema na mbususu unagonga!Uzee sio umri ni kujitunza. Nina 63 na sijisikii kabisa kama mzee. Na napanda daladala. Na mbususu nakula.
😁😁 Kwa kweli zinakanganya!Unamaanisha Humphrey Polepole na Stive Nyerere?