Pamoja na kuitafuta miaka yangu hii ya 60 bado nikipanda Dala Dala nawapisha Wazee, ila Vijana 'mnauchuna' tu Vitini

Imagine uko mbagara unaenda kawe kuingia tu ni kwakugombania afu fikilia io safari ilivo ndefu mara upo zakiemu unamuona mzee kasimama inabid ukaze kichwa[emoji23][emoji23][emoji23]
Punguzeni chips mayai aisee, enzi zetu unasafiri toka Arusha mpaka Tanga au Dar huku umesimama kwenye Bus. Yaani wewe ni kubadilisha tuu staili ya kusimama, sembuse Mbagala to Kawe?
 
Yale yale ya ile tafiti ya vijana 9 kati ya 10 hawana maadili.. [emoji23]
 
We unaona gari imejaa na hakuna siti halafu unaingia.

Kuna wazee wengine wanabagua siti, ukimuachia anaiangalia kwanza, anaitikisa aone kama imetulia. 😁

But, tuwaachieni wazee siti! 😀🙌
Sema kuna sura zingine zinachanganya, unakuwa humuelewi ni mzee au kijana.
 

Sema Vijana wa siku hizi akili zao zinamrundikano wa uchafu.
 
Haya si ndio mapumbavu yanayopiga magoti Kwa mwanamke kumvalisha Pete ya engagement? akili wazitowe wapi?
Mimi ni kijana ila huu upumbavu wa vijana wapumbavu kupiga magoti eti kumvisha mwanamke pete ya uchumba ni ujinga uliopitiliza.

Tena unakuta limepiga magoti huku linalia.

NB: Mimi huwa nawapisha siti ili wazee, wamama wenye watoto ama wajawazito wakae.

Hata kama mtu amenizidi umri tu sio lazima awe mzee nampisha.
 
Unamaanisha Humphrey Polepole na Stive Nyerere?
 
Si umehitimu SAUT miaka kumi tu iliyopita, uzee wa 60 unautoa wapi?
 
Imagine uko mbagara unaenda kawe kuingia tu ni kwakugombania afu fikilia io safari ilivo ndefu mara upo zakiemu unamuona mzee kasimama inabid ukaze kichwa😂😂😂
Ilinikuta hii, ubungo mbagala enzi hizo stendi ya daladala ipo ubungo palipokuwa na mzani karibu na jengo la tanesco, tumepanda libasi lireeefu tupo level seat kapanda bibi wa 70+ tukaanza tegeana kumpisha, ilikuwa mtihani kwangu na bahati mbaya nilifeli
 
huna gari mzee? uliendekeza mademu ujanani ee? Basi pambana🤣🤣.kusema kweli wazee wengi msinge endekeza ujinga mngekuwa mnamiliki vitu vizuri vingi.mimi Nampa lifti mbibi tuu.wakiume wapambane🤣.kwanza wanashindana na sisi kugombania madem shenzii😕
 
Punguzeni chips mayai aisee, enzi zetu unasafiri toka Arusha mpaka Tanga au Dar huku umesimama kwenye Bus. Yaani wewe ni kubadilisha tuu staili ya kusimama, sembuse Mbagala to Kawe?
Dunia inabadilika sio lazima na sisi tusimame ivo kama nyie
 
Uzee sio umri ni kujitunza. Nina 63 na sijisikii kabisa kama mzee. Na napanda daladala. Na mbususu nakula.
Sema na mbususu unagonga!
Ukisema na mbususu unakula, unamaanisha kuwa huwa unazama chumvini mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…