Hiyo elimu tutaitoa vipi kwa hao viongozi, wakati mikutano yote ya vyama vya upinzani mmeipiga marufuku hadi mwaka 2020??Na hii akili ya kitoto nilionayo sasa nimeanza kuamini kwanini CCM huwaambia wapiga kura kua "mkiwachagua wapinzani wataleta vita.."Hamkufanya maandalizi...hamkutoa semina za ujazaji wa form kwa wagombea wenu na Ruzuku yote mmeiweka makao makuu halafu mnategemea muwe perfect..mbona ACT hawalalamiki...?
Maagizo aliyatoa Rais Magufuli kwa watendaji huko chini alipokutana nao Ikulu. hakuna cha waziri Jafo wala nani awezaye kwenda kinyume na maagizo HARAMU ya Magufuli. ndio maana hao jamaa wanaendelea kukaza buti licha ya kelele za Jafo, ambaye naye anajua kwamba anatakiwa ku-act tu kwamba anatenda haki, wakati hakuna cha haki wala niniHivi Jafo anajua kuwa ni yeye ndiye anataka kuivuruga amani na anataka kuleta umwagaji damu nchini??
Hivi kukitokea machafuko hapa nchini kutokana na huu "uchafuzi" wanaoufanya, ni nani atalaumiwa??
Sasa kama ni maagizo toka juu kabisa....Maagizo aliyatoa Rais Magufuli kwa watendaji huko chini alipokutana nao Ikulu. hakuna cha waziri Jafo wala nani awezaye kwenda kinyume na maagizo HARAMU ya Magufuli. ndio maana hao jamaa wanaendelea kukaza buti licha ya kelele za Jafo, ambaye naye anajua kwamba anatakiwa ku-act tu kwamba anatenda haki, wakati hakuna cha haki wala nini
Nchi inaendeshwa kwa kufuata maradhi ya JPM. JPM ana phobia kubwa sana ya uchaguzi. amezuia wengine wasiseme wala wasisikike. siku zote anatangazwa yeye tu. lakini bado anapora kwenye uchaguziSasa kama ni maagizo toka juu kabisa....
Ninachojiuliza ni kwanini zitumike "resources" zote hizi, ambapo ni pesa yetu sisi walipa kodi, wakati wao wenyewe CCM weshaamua "kupora" asilimia yote 100 ya viongozi nchi nzima??
Jafo hana uumini wowote mkuu..Najua kuwa Jiwe ndiye aliyetoa maagizo yote hayo, lakini kwa muumini wa dini kama Jafo, ni kwanini akubali hili jumba bovu limwangukie??
Yeye atakuwa wakwanza kutafutwa huku section nyingine ikiwa na mission nyingine ya kumsaka kubwa lao [emoji23]Hivi Jafo anajua kuwa ni yeye ndiye anataka kuivuruga amani na anataka kuleta umwagaji damu nchini??
Hivi kukitokea machafuko hapa nchini kutokana na huu "uchafuzi" wanaoufanya, ni nani atalaumiwa??
Naunga mkono maoni yako Mkuu GuDumeNENO KUVURUGA NI PANA.SWALI NI KAVURUGA KWA MWONO WA NANI?INAWEZEKANA KWA MAONI YAKO UKAONA AMEVURUGA LAKINI KWA YEYE AKAWA AMEFANYA ILIVYOTAKIWA.
Unasomaga vitu unavyoandika au unasukumwa na mihemko?Jafo anajua kuwa ni yeye ndiye anataka kuivuruga amani na anataka kuleta umwagaji damu nchini??
Punguzeni unafki, Jafo hausiki kwa lolote katika hili, labda kama mnamuogopa muhusika na mnamjuwa wote.Hivi Jafo anajua kuwa ni yeye ndiye anataka kuivuruga amani na anataka kuleta umwagaji damu nchini??
Hivi kukitokea machafuko hapa nchini kutokana na huu "uchafuzi" wanaoufanya, ni nani atalaumiwa??
Je mnajua kuwa mwananchi kumchagua kwa Uhuru mwakilishi wake kwa njia ya "ballot boxes" ndiyo njia pekee ya kistaarabuKwenye jamii ya kistaarabu angewajibika,lakini kwa uhuni unaoendelea hakuna wakuwajibika
Apandishwe cheo awe nani? Labda awe mama janeti au awe BashiteUmenichekesha sana labda ungeuliza kwa nini JPM hampandishi cheo Jaffo?