Pamoja na mapungufu yao yote, ninachowapendea TISS wanajua kila kitu kinachofanywa ndani ya Tanzania

Kama wanajua kwann wasikipoteze kimya kimya hicho kikundi cha wabakaji na wauaji nini kazi yao sasa kama sio sehemu ya kulamba asali
 
Uko sahihi 100%. Ukiwa TZ usije ukajidanganya hakuna anayekujua. Kuna watu wanajua hadi unapolala ila siku ukivuka mstari ndo utaona moto wao. Ila changamoto iliyopo ni taarifa kutumika saa nyingine wakubwa kulipizana visasi au kuoneana.
 
Shida sio wao, Kazi yao ni kukusanya intelligence, na kushauri Mamlaka husika kuchukua hatua

Sasa hapo kwenye mamlaka ndo panashida kubwa, Labda huko mbeleni waongezewe meno.
Hadi wanakuwa na license to kill ina maana wanapewa mamlaka wasiyoyatumia kikamilifu.
 
upo sahihi sana…wanakusanya taarifa…wanazipeleka na kushauri pia…Watanzania Kuna watu hawalali ili sisi tulale…sio jambo dogo unalala..unaamka…unafanya shughuli zako …unaenda utakako…kwa muda wowote..sio jambo dogo…hya yanayotokea sizan kama hawajui…wanajua kabisa na pia wanabashiri mpaka matokeo kwa mamlaka..
 
Wangekuwa wanaijua kila kitu, wangekuwa wanauwezo wa kuzuia, kukamata maana Sheria imewaruhusu na kutokomeza.

Tunawapa sifa nyingi wasizo kuwa nazo.

Nchi inapoteza kiasi Cha 4.7billion USD kwa mwaka kwa mtindo wa profit repatriation, wako wapi?

Failed op za ndani mfano Tundu Antipas Lisdu kudungwa risasi, halafu hizo sifa unazitoa wapi?

Failed Covert op ya Ally Kibao mpaka jamii kujua jinsi alivyo uwawa kwa waziwazi badala iwe Siri

Tekateka
Kamata kamata
Ua ya ua
Surubu surubu

Tuache kudanganyana aisee
 
Mapungufu yao makubwa ni kutotumia uwezo wao kuzuia na kuyashughulikia hayo vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…