Pamoja na mapungufu yao yote, ninachowapendea TISS wanajua kila kitu kinachofanywa ndani ya Tanzania

 

wao ndio wanaongoza matukio ya kihuni mengi ndani ya nchi.
 
Mkuu
niwapongeze na kuwapa hawa jamaa pole kwa kazi ngumu wanayofanya.
Tatizo kubwa ni decision make ambao wanawapelekea taarifa

Only taarifa zinazowanufaisha wao ndio zinafanyiwa kazi
Je
Mkuu ukiwa mwajiliwa wa jeshi lolote lile kuna kiapo halafu pia unafuata amri hutakiwi kuhoji wala kukosoa kwa hiyo hata tukiwachukia hawa jamaa tunawaonea bure mfano hata askari Polisi anapoenda kuzuia na kupiga wanachama au viongozi wa Chadema haimaanishi kwamba ni maamuzi yake hapana yeye anafuata amri ya wakubwa zake ambao pia wanapokea amri ya mkubwa wao!
Hivyo tatizo sio Polisi wala TISS tatizo ni utawala
 
Nguvu ya kuifadhi unakuwa nayo kama na wewe unanufaika. Siyo kwamba hawajui JD zao ila tu…..
 
Maajabu mengine, pale bandari Kuna muwezekaji muhindi, kaajiri wahindi kutoka India kuja kufanya za ukarani, wakati huo vijana wanalalamika hawana ajira.
Hii nchi ya ajabu sana.
Nina uhakika dili la Adani kupewa Bandari, Mama, Mtoto wake, Mkwe wake wamekula parefu sana bila kumsahau Msaidizi wake.
 
niwapongeze na kuwapa hawa jamaa pole kwa kazi ngumu wanayofanya.
Tatizo kubwa ni decision make ambao wanawapelekea taarifa

Only taarifa zinazowanufaisha wao ndio zinafanyiwa kazi
Katiba tuliyo nayo haiwapi meno, wangefunga watu big time. Nawahurumia sana jamaa, wanaumia sana. Ni wazalendo sana, ndo maana wanatumia opposition iseme. Jamaa awa ni wa kuombea sana.
 
Waweke basi taarifa za Gwajima na biashara ya ngada. Najuwa siku hizi hafanyi lakini enzi za 2005-15 huko ndiyo chanzo cha ukwasi wake wala siyo hilo kanisa la ifufuo
 
Mw
Nawashukuru wenye akili kwa kuelewa.

Kuna point moja tu hawa wazalendo wanaimiss. Wanapaswa kujifunza sana kwa vyombo vya Magharibi.

Kamwe mwanasiasa hapaswi kuwa juu ya vyombo.
WAnasiasa ni chupi tuu ktk vyombo,ila hapa kwetu vyombo kwa mwanasiasa ni takataka,wanavitumia km kondomu
 
Sasa wakamate wauza unga na wanaoingiza unga nchini awe ponjoro au muhindi au mdigo.
 
Bahati mbaya nguvu hawana kisheria wanatakiwa wawasilishe taarifa kwa viongo ili zifanyiwe kazi..
 
Ndio kazi yao ilipoishia kisheria, Tatizo wenye madaraka kisheria kutumia hizo information and act on it kama bunge wamebadilika kuwa chawa wa executive branch (Serikali), ndio maana upinzani ni muhimu sana maana bunge linaweza kuomba hizo info kutoka TISS moja kwa moja, katiba mpya ni muhimu sana ili tuchekiane, sio kumwachia mshenzi mmoja afanye anachotaka
 
Muundo wa Tiss ulivyoundwa kuanzia juu uwa unategemea na kiongozi aliyopo juu ndo maana kipindi cha Magu uliona kama Tiss ilikua Active sana kwenye masuala mbali mbali akija mwingine akalala nao wanatulia japokua taaharifa wanakua nazo hata wakikupa wanaona Hufanyii kazi ina kua kazi bure
Aisee! Sasa kama wanajua kwanini hawachukui hatua kudhibiti huu uhuni..
 
Hujaweka na yale yanayohusu kutumiwa kwa wanasiasa wa vyama pinzani kuharibu nchi
 
Nawashukuru wenye akili kwa kuelewa.

Kuna point moja tu hawa wazalendo wanaimiss. Wanapaswa kujifunza sana kwa vyombo vya Magharibi.

Kamwe mwanasiasa hapaswi kuwa juu ya
Tiss inatakiwa

Tiss inatakiwa itoke offce ya Rais kabisa Rais inatakiwa abaki na PSU huko juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…