Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Milele maana yake unaielewa. Yaani hata kama dunia itadumu kwa miaka 2000 ijayo, CCM itakuwa madarakani?Ni ukweli mchungu
Mimi siamini ila nashangaa ni kwa nini CCM iamini ivo!!Ushauri wako sasa mtoa mada
Ili wawe wapinzani wanatakiwa wawe na sifa zipi. Maana ni ajabu kama wanaosema hakuna wapinzani ni CCM wenyewe. Jee CCM kwa muktadha huu wanayo sifa ya kusema kuwa hakuna wapinzani dhidi ya CCM?Hakuna wapinzani......
Watakapotokea CCM watabadilisha msimamo wao.
Jishangaeni wenyewe watanzania sasa,kama wana mapungufu yote hayo tena ya wazi kabisa wamefanya nn kukomesha hilo duduwashaMimi siamini ila nashangaa ni kwa nini CCM iamini ivo!!
Sijui kwa miaka 2000 ijayo. Lakini mimi na wewe tutakufa tutaiacha CCM madarakani, isipokuwa hivyo niite mbwa. Tunza hii comment siku upinzani wakishinda nikumbusheMilele maana yake unaielewa. Yaani hata kama dunia itadumu kwa miaka 2000 ijayo, CCM itakuwa madarakani??
Umekata tamaa ama wewe ndiye unayekatisha wengine tamaa? Yaani ni kama unasema ni sawa tu nchi kuendeshwa hivi inavyoendeshwa kwa kuwa hakuna mawazo mbadala.Sijui kwa miaka 2000 ijayo. Lakini mimi na wewe tutakufa tutaiacha CCM madarakani, isipokuwa hivyo niite mbwa. Tunza hii comment siku upinzani wakishinda nikumbushe
Sikatishi mtu tamaa, wanaoweza kupambana kuitoa ccm madarakani wafanye hivyo.Umekata tamaa ama wewe ndiye unayekatisha wengine tamaa? Yaani ni kama unasema ni sawa tu nchi kuendeshwa hivi inavyoendeshwa kwa kuwa hakuna mawazo mbadala.
Wapinzani wanakatisha tamaa, CCM jee haikatishi tamaa!!??Sikatishi mtu tamaa, wanaoweza kupambana kuitoa ccm madarakani wafanye hivyo.
Mimi siamini kama wapinzani watakuwa na jipya, siasa hizi kila mtu anaangalia tumbo lake hakutakuwa na jipya lolote. Sichukulii siasa seriously kivile maana nitaishia kuvunjika moyo.
Kama ina katisha tamaa na hakuna wa kumpindua tufanyeje sasa?Wapinzani wanakatisha tamaa, CCM jee haikatishi tamaa!!??
Umefanya jambo la maana kuwa mshabiki wa chama ni kupoteza muda wakoKwasababu mentality ya watu hata ya kwako ni Kutawaliwa na sio kutumikiwa au kufanyiwa kile mnachotaka...
Hence hakuna mabadiliko hata akija mtawala mwingine ni yaleyale..., So long as kilichopo kwenye Menu ni Kutawaliwa huku chini nothing will change, bali ni watu kubadilishana zamu ya kunyonya jasho la majority...
Thus I have decided since way back kuacha kutumika kama ngazi ya wengine kupanda.... (at-least not voluntarily)
Ishu sio chama, bali uongozi tena uongozi steady wakuleta change.sheiza basi kianzishwe chama kingine cha siasa mtakachokiamini kama hivi vilivyopo hamviamini!!