Pamoja na udhaifu wake wote ilionao, ni kwanini CCM inaamini itatawala Tanzania milele?

Pamoja na udhaifu wake wote ilionao, ni kwanini CCM inaamini itatawala Tanzania milele?

Si uulize wewe sasa kile unachoona hakijaulizwa
Sina cha kuuliza thats why hujaona nikilalamika. Na hata nikilalamika haitasaidia maana hakuna mbadala wa CCM hadi sasa.
 
Hicho chama kinahusika kwenye kila madudu yanayotokea kwenye nchi yetu. Hakuna jambo baya kwa Watanzania ambalo halijatokana na CCM kuwa madarakani. Lakini CCM wenyewe kwa kujiamini kabisa wanasema kwamba watatawala Tanzania milele?

Haya ni maneno yanayoonesha CCM ina kiburi cha uzima kiasi kwamba inaamini mpaka kyama yenyewe itakuwa inaitawala Tanzania.

Au CCM inawaona watanzania ni mazezeta wasioweza kuwatoa madarakani?
CCM haitatawala milele, nyakati zinakuja ambapo chama mojawapo ya Upinzani itashika dola.
CCM itatupwa, save hii nyuzi.
 
FB_IMG_1575390792397.jpg
 
Back
Top Bottom