Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
- Thread starter
- #41
Kwa mtazamo wangu CCM kimepoteza kitambo sana sifa ya kuiongoza Tanzania. Na CCM ni chama ambacho ubora wake upo chini kwa asilimia 20 (20%) na kinachoifanya ibakie madarakani ni kwa kuwa inaiongoza serikali inayokusanya kodi.Watanzania wanataka chama mbadala Bora Mara mbili ya chama tawala je hicho chama kipo? Na Kama kipo nitajie ubora wake uko wapi?
Kwanza kama unauona ubora kwenye CCM jua kiurahisi tu huwezi kuuona ubora kwenye vyama vingine!!