Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
- Thread starter
- #21
Hivi kwani mtu ukimshukuru kwa kukufungulia mlango wa nyumba yako kwa kuwa umebeba mizigo mkononi, ndiyo anaondoa haki yako ya kumuuliza ni kwa nini huwa anaiba mapapai yako??Kama ina katisha tamaa na hakuna wa kumpindua tufanyeje sasa?
Mfano hai ni hizi siasa zinazoendelea sasa hivi unadhani upinzani watashinda 2025. Mama ameshakubalika anafanya maajabu tunampinga ili iweje? Apewe miaka 10 zaidi