Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
- Thread starter
-
- #41
Kwa mtazamo wangu CCM kimepoteza kitambo sana sifa ya kuiongoza Tanzania. Na CCM ni chama ambacho ubora wake upo chini kwa asilimia 20 (20%) na kinachoifanya ibakie madarakani ni kwa kuwa inaiongoza serikali inayokusanya kodi.Watanzania wanataka chama mbadala Bora Mara mbili ya chama tawala je hicho chama kipo? Na Kama kipo nitajie ubora wake uko wapi?
Hiyo kulambishwa asali ni jambo haramu ama halali??Wasirambe asali
Kutokuwa na madaraka haifanyi watu kutokukujadili watu wanapima mwenenendo wako kiujumla Wapinzani wamekuwa mapingwa wakukosoa lakini hawaji na hoja mbadala unaposema CCM imewaletea Watanzania umasikini alafu uoneshi sera zako ni zipi zitakazowezesha kuondoa umasikini wawatanzania hapo unakuwa uleti utofauti wako na CCMYaani CCM inayowasababishia madhila ni bora kuliko wapinzani ambao hawahusiki kuwaletea shida walizonazo?? Ukigeugeu wa upinzani upo kwenye nini hasa!!??
Hakuna mtu anayejielewa anayesema CCM ni chama Bora ila ukicompare na Upinzani wetu wasasa anaona CCM ina uwafadhari wa ubovu kuliko vyama vya UpinzaniKwa mtazamo wangu CCM kimepoteza kitambo sana sifa ya kuiongoza Tanzania. Na CCM ni chama ambacho ubora wake upo chini kwa asilimia 20 (20%) na kinachoifanya ibakie madarakani ni kwa kuwa inaiongoza serikali inayokusanya kodi.
Kwanza kama unauona ubora kwenye CCM jua kiurahisi tu huwezi kuuona ubora kwenye vyama vingine!!
Kwa mfano CHADEMA wanaamini kwamba sehemu ya umaskini wa watanzania umeletwa na mfumo wa kiutawala (Central Goverment system) ambao inabidi kila kitu cha nchi lazima kiamuliwe toka makao makuu ya serikali.Kutokuwa na madaraka haifanyi watu kutokukujadili watu wanapima mwenenendo wako kiujumla Wapinzani wamekuwa mapingwa wakukosoa lakini hawaji na hoja mbadala unaposema CCM imewaletea Watanzania umasikini alafu uoneshi sera zako ni zipi zitakazowezesha kuondoa umasikini wawatanzania hapo unakuwa uleti utofauti wako na CCM
kusema itatawala milele ni kufuru ila inaweza kuishi milele kama itataka na wengine watawale, kinyume cha hapo siku moja itakufa mazimaHicho chama kinahusika kwenye kila madudu yanayotokea kwenye nchi yetu, Hakuna jambo baya kwa Watanzania ambalo halijatokana na CCM kuwa madarakani. Lakini CCM wenyewe kwa kujiamini kabisa wanasema kwamba watatawala Tanzania milele?
Haya ni maneno yanayoonesha CCM ina kiburi cha uzima kiasi kwamba inaamini mpaka kyama yenyewe itakuwa inaitawala Tanzania.
Au CCM inawaona watanzania ni mazezeta wasioweza kuwatoa madarakani?
Tatizo hakuna wapinzaniHicho chama kinahusika kwenye kila madudu yanayotokea kwenye nchi yetu, Hakuna jambo baya kwa Watanzania ambalo halijatokana na CCM kuwa madarakani. Lakini CCM wenyewe kwa kujiamini kabisa wanasema kwamba watatawala Tanzania milele?
Haya ni maneno yanayoonesha CCM ina kiburi cha uzima kiasi kwamba inaamini mpaka kyama yenyewe itakuwa inaitawala Tanzania.
Au CCM inawaona watanzania ni mazezeta wasioweza kuwatoa madarakani?
Kwa nini unaona hakuna wapinzani wa CCM wakati kuna vyama zaidi ya 18 vina usajili wa kudumu!!Tatizo hakuna wapinzani
Tumekupa majibu lakini inaonesha wewe una majibu yako binafsiKwa nini unaona hakuna wapinzani wa CCM wakati kuna vyama zaidi ya 18 vina usajili wa kudumu!!
ni kiburi cha madaraka tu labda kama ni malaika waliotumwa na Mungu.Mimi siamini ila nashangaa ni kwa nini CCM iamini ivo!!
Majibu ndiyo lakini siyo nyumbulifu. Unaposema wapinzani hawana sera ama ni vigeugeu ni lazima uweke na ufafanuzi kidogo. Kinyume cha hapo ni kwamba unasema kitu bila ya kuwa na uwezo wa kukifanya kisimame chenyewe!!Tumekupa majibu lakini inaonesha wewe una majibu yako binafsi
mapumngufu ni katika sera si katika maguvu. wana kisu na wanakula nyamaJishangaeni wenyewe watanzania sasa,kama wana mapungufu yote hayo tena ya wazi kabisa wamefanya nn kukomesha hilo duduwasha
Wapinzani walimwita Lowassa fisadi na wakamweka kwenye list yao ya list of shame na wakasema Wana ushahidi wa ufisadi wake lakini wakaja kumteua kuwa mgombea wao wa UraisiMajibu ndiyo lakini siyo nyumbulifu. Unaposema wapinzani hawana sera ama ni vigeugeu ni lazima uweke na ufafanuzi kidogo. Kinyume cha hapo ni kwamba unasema kitu bila ya kuwa na uwezo wa kukifanya kisimame chenyewe!!
kwa katiba hii na kwa sheria hizi za Uchaguzi ni sawa kabisa wawe na kiburi hiki.Hicho chama kinahusika kwenye kila madudu yanayotokea kwenye nchi yetu, Hakuna jambo baya kwa Watanzania ambalo halijatokana na CCM kuwa madarakani. Lakini CCM wenyewe kwa kujiamini kabisa wanasema kwamba watatawala Tanzania milele?
Haya ni maneno yanayoonesha CCM ina kiburi cha uzima kiasi kwamba inaamini mpaka kyama yenyewe itakuwa inaitawala Tanzania.
Au CCM inawaona watanzania ni mazezeta wasioweza kuwatoa madarakani?
Ni kweli, na baadae akarudi CCM. Lakini CHADEMA ndiyo mwaka 2008 walimwita Lowassa Fisadi na kuweka hadharani ni kwa nini Lowassa ni fisadi.. Nakumbuka Mzee Nimrod Mkono alikuja na kuelezea kwa undani kimetokea nini baada ya Lowassa kuitwa Fisadi.Wapinzani walimwita Lowassa fisadi na wakamweka kwenye list yao ya list of shame na wakasema Wana ushahidi wa ufisadi wake lakini wakaja kumteua kuwa mgombea wao wa Uraisi