Pamoja na udhaifu wake wote ilionao, ni kwanini CCM inaamini itatawala Tanzania milele?

Si uulize wewe sasa kile unachoona hakijaulizwa
Sina cha kuuliza thats why hujaona nikilalamika. Na hata nikilalamika haitasaidia maana hakuna mbadala wa CCM hadi sasa.
 
Ni kama manyumbu wanaoamini mbowe atakua mwenyekiti milele
 
CCM haitatawala milele, nyakati zinakuja ambapo chama mojawapo ya Upinzani itashika dola.
CCM itatupwa, save hii nyuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…