Pamoja na ufaulu kupanda, shule za kata Dar hali ni mbaya, Division Zero ni nyingi sana, Afisa Elimu aondolewe

Hao wanaoenda chuo kikuu wakitoka wanakuja kuuza ukwaju wa bakhresa na hao wa kitunda,kusajili laini na hao wa kitunda, kukimbiza boda boda na hao wa kitunda, kuwa wachekeshaji mitandaoni na hao wa kitunda au nakosea ?
Tofauti ni kwamba matokeo tumeyaona na wamelamba miswaki na zero.

Hao wauza ubuyu hatuwaoni hapa na hatujui wamesoma shule gani.
Isiwe kesi, peleka mwanao Kitunda uwe na uhakika wa kumpatia zero ili auze ubuyu wa Azam vizuri.
 
Pia sheria iwekwe ya kuwa mtu akitaka kusomea uwalimu lazima aondoke na 1 au 2 kidato cha nne kwa kuwa watu wengi wanasomea uwalimu wakishapata 3 au 4 na si kwakuwa wanapenda uwalimu.
 
Kwani afisa elimu ndo kafanya mitihani kumbuka wingi wa shule za shule za serikali kuchangia kuleta matokeo mabovu watoto mchelemchele wakiguswa wazazi na walezi midomo juu walimu wafanye nn zaidi ya kukaa kimya mambo yajiendee
 
Yaani watu wanasikitika kuona machangu, wacheza singeli, maafisa ubashiri, wavuta bangi, walevi, n.k n.k wamekata sufuri.
Great Thinkers wa JF ya zama hizi bhana.
Walimu pokeeni matusi wiki hii.
 
Reactions: K11
Hao waliopata division one na wale wa zero baada ya miaka michache mbeleni, wote watakutana kwenye kuendesha bodaboda. Trust me..
 
Kwani afisa elimu ndo kafanya mitihani kumbuka wingi wa shule za shule za serikali kuchangia kuleta matokeo mabovu watoto mchelemchele wakiguswa wazazi na walezi midomo juu walimu wafanye nn zaidi ya kukaa kimya mambo yajiendee
Kwani mtoto anafaulu kwa kuadhibiwa?
Walimu wenyewe siku hizi wanaanzisha michango isiyo na mbele wala nyuma halafu unategemea waelewane na wazazi.
 
Shule imerundikiwa watoto 634 na unataka wafaulu wote!, tafuta private school au hata government school iliyofanya vizuri ikiwa na idadi kubwa ya wahitimu kama hao
 
Kwani nani anajukumu la kuwaadabisha hao wacheza singeli na wavuta bangi?
Na ukiona mtoto kaingia kwenye hayo makundi ujue ya kuwa shuleni walimu walikuwa wanazembea kwakuwa watoto muda mwingi wanautumia shuleni na wanaanza kuharibika wakiwa shuleni.
 
LIKUD yupo sahihi. Kuna graduates hata huo umamantilie wana ulilia bila mafanikio..
 
KAYUMBA schools za Likudi ndiyo chanzo Cha zero Kwa wanafunzi.Hakuna hata EMs Moja ambayo mwanafunzi wake hata mmoja ambaye amepata daraja la sifuri.
Una data?
 
Zero 249 Alafu niendelee kuhangaisha kichwa waangalie na ujuzi wa watu wasikae kuhangaisha vichwa zaidi for nothing
 
Wakati wengine wanalia na zero, St francis wanafunzi wote 92 Wana division one point 7,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…