T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
Division One wana uwezo wa kufanya kazi popote, hata kuwa bodaboda. Au unamaanisha kupata Div. 1 maana yake hujui kuendesha bodaboda?Hao divisions one wako, baada ya kumaliza chuo kikuu, utawakuta wanaendesha bodaboda kitaa..
Unless wana connections au wazazi wao waliwawekea pesa kwenye account.Hao divisions one wako, baada ya kumaliza chuo kikuu, utawakuta wanaendesha bodaboda kitaa..
Hizo zero za Kitunda ndio zitakuwa mamantilie na kufanikiwa kimaisha kuliko wengine si ndio?LIKUD yupo sahihi. Kuna graduates hata huo umamantilie wana ulilia bila mafanikio..
Ndiye aliyewatengenezea mazingira ya kufeli.Afisa Elimu ndio amewafanyia mitihani?
Serikali ijenge shule za ghorofa na mabweni ya kutosha la sivyo tutaendelea kuimba wimbo huu huu.Shule Ina form 700+. Afu unataka afisa elimu aondolewe, c kusagianan kunguni
Hao divisions one wako kama hawana connections, they're just wasting their time. Watakuja kuendesha bodaboda huku hawa division zero wakiwa wamepiga hatua za mbali kabisa katika maendeleo..Division One wana uwezo wa kufanya kazi popote, hata kuwa bodaboda. Au unamaanisha kupata Div. 1 maana yake hujui kuendesha bodaboda?
Four ya mwisho kuna kazi hawezi, wewe wapi umeenda bank, hospitali, wizarani, telecom, energy au sekta yoyote ukakutana na Miswaki FC kitengo? Labda kufagia na kufunga geti.
Nitajia shule ya EM ambayo mwanafunzi wake kapata daraja la nne ambalo ni la mwishoUna data?
KabisaShule za kina LIKUD hizi
Unauliza jibu??..Hizo zero za Kitunda ndio zitakuwa mamantilie na kufanikiwa kimaisha kuliko wengine si ndio?
Kwamba wale St. Francis wenye Div. 1 kwa wastani watazidiwa maisha na hawa Zero FC baada ya hawa wa pili kutumia ujuzi wao wa kupata miswaki kupika nyanya?
Bodaboda inauzwa kwa ada ya mwaka ya hao waliofaulu vizuri.Hao waliopata division one na wale wa zero baada ya miaka michache mbeleni, wote watakutana kwenye kuendesha bodaboda. Trust me..
Yes mkuu. Siku hizi divisions one kama hauna connections ni takataka tu..Unless wana connections au wazazi wao waliwawekea pesa kwenye account.
Faida atakayokuwa nayo aliyepata zero ni kuijua mitaa mapema na jinsi watu wana hustle. So hata aliyepata one akaenda chuo akamaliza halafu akaiingia mtaani yule aliyepata 0 atakuwa na uhakika wa kusurvive kuliko huyu aliyepata 1 labda kama aajiriwe.Hizo zero za Kitunda ndio zitakuwa mamantilie na kufanikiwa kimaisha kuliko wengine si ndio?
Kwamba wale St. Francis wenye Div. 1 kwa wastani watazidiwa maisha na hawa Zero FC baada ya hawa wa pili kutumia ujuzi wao wa kupata miswaki kupika nyanya?
Matokeo ya NECTA tumeyaona, miswaki tunaiona kwa kayumba.Unauliza jibu??..
Division one bila connections za maana ni sawa na takataka..Bodaboda inauzwa kwa ada ya mwaka ya hao waliofaulu vizuri.
Kwa mlamba zero wa Kitunda sekondari, bodaboda inaweza kuwa ni maisha yake na ndoto yake. Anaweza ifanyia mkataba miezi 14 ili apate used.
Kwa mwanafunzi wa EM bodaboda is a just one year school fees & contribution. Mzazi anayetoa 3M kama ada na michango hakosi hata 10M kama mtaji wa mwanae aliyekosa ajira. Ukizingatia kwanza wazazi wenye hela wana vitega uchumi au wanafahamiana na watu wa maana, maskini hana rafiki.
Zero FC kwa wastani watasugua sana benchi watakaofanikiwa ni wachache.