Bufa
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 12,599
- 26,263
Umeshinwa kutofautisha Kati ya umaskini na Pesa.
Umaskini Ni dhana
Utajiri Ni dhana
Pesa Ni material thing (artificial)
Unaweza kuwa na Pesa na bado ukawa maskini (au ukaishi maisha ya kimaskini).
Utajiri na umaskini sio dhana nyie motivational speakers acheni kuwajaza watu ujinga. Kawaambie wajobless huko umaskini wao ni dhana tu.
Ni bora kulia ukiwa in a Lamborghini kuliko kwenye baiskeli.