Pamoja na uteuzi wa Dotto Biteko na Paul Makonda. Rais Samia bado hakubaliki kanda ya ziwa

Bahati mbaya sana watu mnaitizama Kanda ya Ziwa kwa jiografia yake. Bwashee Hali ni mbaya sana, takwimu zinaonesha 80% ya population ya Kanda ya Ziwa imetapakaa mikoa yote Tanzania Bara!!

Inahitajika kazi ya ziada kuwaweka sawa hawa watu!! Msoga na vijana wake kina Makamba waliteleza sana kuwachukulia watu hao kama wahalifu
 
SIO KANDA YA ZIWA TU DUNIA NZIMA TUMECHOKA NA AWAMU YA 6 HAJUI NCHI INAENDAJE KILA MMOJA NI RAIS
 
Labda mama Yako ndio hakubaliki huko Kanda ya Ziwa.

Mkoa wa kumsumbua mama huko Kanda ya Ziwa labda Mara tuu kwingine kote ni mtelemko.

Machadema yanampenda sana kujifariji.Kama mama hakubaliki Kanda ya Ziwa kumbe anakubalika nani? 😁😁

Mwisho Serikali za mitaa sio mbali endeleeni kujitekenya na kujichekesha
 
Achana na kanda ya ziwa, sasa hivi nchi nzima imeuchoka na kukinahi uongozi huu wa awamu ya sita.
Achana na hao unaoona wanapewa hela ya mboga ya siku moja kisha wanagalagala kusifia.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Ukifanyika uchaguzi huru na wa haki akapata hata 30% ya kura utakuwa muujiza.
 
Tokalini kinyesi kikakubalika mezani hata kama kitawekwa kwenye siniha la dhahabu
 
Mtu anaonekana wazi kabisa kuwa alikuwa haivi na mtangulizi wake. Hakuna hadaa atafanya akubalike
 
Eti Kanda ya Ziwa? Mbona mnaipa umuhimu isiokuwa nao? Nashngaa sana watu wanaosema Kanda ya ziwa ndiyo inaamua Rais wa Tanzania.

Kama ni hivyo basi mwaka 2005 alipogombea John Cheyo basi wangempa kura zote.

Yaani kakikundi kakipumbavu kalikokuwa kana faidi upendeleo wa Magufuli ndiyo unaita Kanda ya Ziwa?
 
Kanda ya ziwa hipi fafanua labda pale chato
 
Kanda ya ziwa ipi hiyo,ziwa Tanganyika au ziwa Rukwa,eleweka usaidiwe?,kama unaongelea mikoa ya Mwanza,Kagera,Shinyanga,Geita na simiyu,rudia kufanya utafiti wako,umekosea mkuu.

Kanda ya ziwa huwambii kitu kuhusu mama
Kwanza kutawaliwa tu na mugaka, kanda ya ziwa ni basi tu wale hawapend hicho kitu
 
Amchukue na Dotto Magari
 
Ni story za kujifariji,iwe Zanzibar au Bara Samia atapiga hivyo hivyo.

Hata wewe hapo unajua kabisa kwamba hakuna mpinzani wa kumshinda Samia.
 
Kwa ufupi mama hakubaliki nchi nzima. Alianza vibaya sana kwa kuwaudhi wananchi kwa kuandama fikra za kimagufuli kisha kuwatema wana jpm na kumtupa lupango sabaya. Hii ilimletea chuki kubwa kws wanamchi wengi wakimpenda sana magufuli. Wanamchi wa kawaida hawamwsmini tena. La kufanya ili japo akumbukwe kwa heshima ahakikishe anatumia uwezo wake ndani chama na serikali kuhakikisha nchi inampata kiongozi sampuli ya magufuli. Hapo atakua amejiwekea kumbukumbu nzuri.
 
Kanda ya ziwa ipi hiyo,ziwa Tanganyika au ziwa Rukwa,eleweka usaidiwe?,kama unaongelea mikoa ya Mwanza,Kagera,Shinyanga,Geita na simiyu,rudia kufanya utafiti wako,umekosea mkuu.

Kanda ya ziwa huwambii kitu kuhusu mama
Kanda ya Ziwa si wapumbavu hawawezi kukubali kutawaliwa na Raia wa nchi ya Zanzibar.

Kwa ujinga wako unafikiri Wasukuma ni wajinga ?.
 
Kwanza kutawaliwa tu na mugaka, kanda ya ziwa ni basi tu wale hawapend hicho

Kanda ya Ziwa si wapumbavu hawawezi kukubali kutawaliwa na Raia wa nchi ya Zanzibar.

Kwa ujinga wako unafikiri Wasukuma ni wajinga ?.
Rudi darasani kwanza mkuu,jifunze makabila ya kanda ya ziwa ndo uje tubishane,nani kakwambia kuwa kanda ya ziwa inakaliwa na wasukuma!?,pia acha ukabila
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…