KERO Panel za usahihishaji mitihani ya kitaifa form two na form 4 - Waziri wa Elimu ziangaliwe upya, kuna ukabila uliokithiri

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Mkuu ulichoongea upo sahihi kuhusu Ukabila Ila usiandike mambo ya kwenda kuruka nyoka kama wewe sio mtu wa kuruka nyoka unataka hiyo migongo nani ainyooshe..
 
Kabla hata sijasoma nikajua mchagga kashaharibu huku..hawa hawana aibu kwenye ukabila..hiyo CRDB ni ukabila...wana ukabila wa kishamba na laana
Wachaga nbawaonea sana .. CRDB alikuwa kimei na ilikua inaenda sanaaa mzee wa watu kastafu kamuachia mzanzibar na mswahilina mwenzenu benki inaporomoka mnasingizia mchaga . Hii nchi sijui kwa nini wachaga wanachukiwa sana
 
Geography ni somo gumu sana,ni vile mnalichukulia poa poa!!

Chemistry au biology ikiingia kwenye mfumo wako unaweza toboa vizuri TU,lakin geog ikija vibaya unaweza zungusha kabisa!
 
NECTA wao kama wao wapo vizuri sana na wako very fair tatizo ni hao wenyeviti wa panels.

1. Pia watu kwenda marking sijui wanatumia kigezo Gani Kuna watu wapo wanafundisha miaka 10 HAWAJAWAHI KWENDA MARKING LAKINI KUNA WENGINE KILA MWAKA WANAENDA TU. HAPA KUNA TATIZO..

2. Vile vile Kuna watu wakienda mara moja wanasubirishwa miaka miwili mpaka mitatu ila wengine ni special hakuna kupitishwa hata mwaka mmoja.

3. ukabila upo Tena sana tu wenyeviti wa panel wasipotoka Kilimanjaro basi atatoka mara.
 
Geography ni somo gumu sana,ni vile mnalichukulia poa poa!!

Chemistry au biology ikiingia kwenye mfumo wako unaweza toboa vizuri TU,lakin geog ikija vibaya unaweza zungusha kabisa!
Mkuu uko sawa kabisa, bora hata siku hizi kwa kipindi kirefu somo lililokua linaongoza kutotoa A la kwanza Civics la pili ni Geography.
 
BI kidawa kajaza watoto na wakwe ikulu "who are you?" Kuzuia watu wasijaze ndugu zao?
Ila nyie vijana kwa kutohoa vimajina mmebobea eti "Bi kidawa". Kuna jamaa mwingine tik tok anamwita "Bi msumi"....... Hv haya majina mnayatoaga wapi? πŸ˜…πŸ€£πŸ˜‚
 
haya ndio mambo nayazungumzia inahitajika reforms na wakusimamia hili ni baraza la mitihani la mitihani wenyewe
utaratibu unaotumika ni wa kikanjaaa ingiza watu kabila lako wengi wape vyeo
kuna watu necta wameshaifanya kama baraza lao hasa hao watu wa mara na wachaga
 
Hiyo kazi ya kitumwa tu huruhusiwi kuhoji, Huna uhuru na simu yako, huaminiki na kila muda vitisho na kufungiwa ndani. Kibaya zaidi unalazimishwa kutoa maksi kwa vitu usivyokubaliana navyo. Kila wakati ni vitisho. Δ°lΙ™ siyo kazi acha wanaoipenda wafanye. Niliifanya kwa muda mfupi nikaona usenge.
 
maandamano hayawezi kuwa solution ya matatizo , matatizo yetu yatatuliwa kwa kujenga taasisi imara
Bila kuwaondoa watawala hutojenga taasisi imara, hawataki mabadiriko na hawataki kutoka kupisha mabadiriko kwa miaka 60 sasa.

Maandamano tena siyo ya amani ndiyo lugha wanayoielewa na kuisikia.

Hizo taasisi imara utaenda kuzijengea wapi bila kuwatoa kwanza?
 
Unaonekana una majungu sana sasa umalaya wao baada ya kumaliza kazi we unakuhusu nini? Umekua mwalimu wa nidhamu wa hadi kwenye maisha binafsi?
 
Hahaha hili somo advance nakumbuka lilikuja lakawaida yaan geo 2 ilikuwa maji kabisaaa hata mtaani ilikuwepo.


Matokeo SASA hahahah mwendo wakaraiiii tuuu.
 
We ulisoma shule ya jinsia gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…