Panya road katika matukio yao ni lazima wajeruhi kila mtu?

Panya road katika matukio yao ni lazima wajeruhi kila mtu?

Si rahisi kuunda kundi la kihalfu TZ. Jaribu utaamini. Ila huyu wa Panya ameweza. Ni watu wachache wenye uwezo huo na lazima awe anafahamu mtindo wa utawala au na yeye ni sehemu ya utawala.
Hili kundi Polisi wasipoamua kulivunja, litasumbua sana
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Hii ni hatari sana, kuweza ku mobilize kundi kubwa hivi kuwa na akili moja ni hatari sana.

Hii nchi hii imagine walishindwa Chadema kuandamana, ila Panya road wanaweza kuungana kufanya yao.

Waangalie vizuri vijana wetu wa uswahilini wale wenye shule ya chini wanaiga sana mtindo wa maisha ya South Africa wala sio ulaya hawa ma 26 waliofeli life South waangaliwe sana huko vijiweni.

Ulinzi shirikishi ungeundwa kwa kutumia JKT kama wale walioajiriwa kwenye vituo vya mwendo kasi, kila kata kila iangalie kundi idadi ya watu na nyumba then walinzi shirikishi wawe JKT wanaosubiria ajira walipwe na mtaa.

Viongozi waache blahblah za kwenye Camera
 
ile opareshen ya polisi ingeendelea ili kuwamaliza wote
 
Mimi najiuliza kwanini Hawa vijana wamekuwa wakatili kiasi hiki, yaani wakifanya uvamizi lazima wakuchororonge mapanga hata kama utakuwa mtiifu na kuwapa wanachotaka tofauti na majizi mengine.
Bangi,madawa ya kulevya na vilevi vikali vinachangia hili
 
Unataka kudai, 'Hawatumii' akili?
Unaweza kufafanua kijana wa uswazi akakuelewa?

hawana 'Ubunifu ?' Je una suggestions zozote?

Vilevile...

Nani anayeonea hapa? manake, Mada inasimama kuwa kuna wahalifu na wanaoonea watu mitaani, Polisi wamehusika vipi na bandiko lako?
Naomba kuelewa umefikia hapo vipi na Kudai waache kuonea....je wakiacha kuonea uhalifu utapungua?
Asante mku
Punguza jazba afande.
 
Punguza mihemko afande.
Tulia soma kwa taratibu majibu yanakuja soon hapa
 
Panya road Sina namna ya kuwaelezea...

Ila kuhusu kuweka pesa ndani Tena laki sita...wala si pesa nyingi za kushangaa why mtu kaweka ndani.

Hata hivyo umeuliza why watu wanaweka pesa ndani, mkuu jibu ni jepesi Kwa makato haya makubwa na maisha yalivyo magumu ni heri kuweka ndani....hiyo pesa itayotumika kukatwa unavyotoa kihela chako unaweza nunua hata fungu la dagaa watoto wale.

Na pia huenda ni mfanyabiashara ambaye lazima awe na kiasi fulani Cha pesa wakati wote Kwa dharura.
Nimemshangaa jamaa eti kwann unaweka pesa ndani? Hizo tozo anazokwapua Samia eti nikaweke pesa bank thubutu.
 
Ukiweka bank wanakwapua makato yao
Ukibaki nazo ndani wanakwapua watoto wa ibilisi na manundu juu
Chaguo ni lako
 
Kwanza kabisa lazima tukubaliane kimsingi kuwa panya road ni school drop out hasa shule ya msingi na secondary, lakini wengi pia ni wale waliolelewa Kwa style ya single mothers hii nimeongea sio kukejeli lakini ni kutokana na mahojiano waliyofanya wenzao kituo Cha polisi.

Jana Tarehe 11.02.23 siku ambayo Simba ilifungwa huko Ugenini, Panya road walifanya matukio ya uvamizi na uporaji katika maeneo ya Bunju B.

Mimi najiuliza kwanini Hawa vijana wamekuwa wakatili kiasi hiki, yaani wakifanya uvamizi lazima wakuchororonge mapanga hata kama utakuwa mtiifu na kuwapa wanachotaka tofauti na majizi mengine.

Wao wakikufikia wanaanza na panga Halafu ndo wanadai Hela , simu, etc, pia wakishindwa kuchukua kitu wanakiharibu either Kwa kukipiga nyundo au kukikatakata.

Pia katika video hii hapa chini utaona Bado kuna Watanzania wachache wanakaa na hela ndani , mfano mmoja kuna mtu kakutwa na laki sita ndani, sijui ilikuwa ya matumizi ya kawaida sijui.

Pia najiuliza Hawa vijana walitumia mbinu gani kuweza kujikusanya wengi vile na kuunda timu yaani genge la wahalifu, hiyo sio kazi ndogo, huyo Kiongozi wao ana upeo fulani wa kipekee. Tunaita team building skills

Wamemaliza kima cha chini sasa wamepanda ngazi kwenye chama
Dadadeki
Screenshot_20230212_105428_Samsung Internet.jpg
 
Huku Dodoma wanakusanywa kimyakimya na wanapotea mazima. Sijui huko Dar wamefeli wapi
 
Serikali/polisi wakitaka waweze kuwakamata au kuwadhibiti hawa panya road unabidi wawakamate hawa watu wote wanaojiita matembo kwenye vituo vya daladala/mitaani, hawa ndo wanawajua vizuri. Nasema hivi kwa sababu nishakaa nao mtaani vijana hawa, hawa wanaojiita matembo ndo wanajua kila kitu kuhusu panya road
Tembo ndio wanafanya shughuli zipi mkuu
 
Si rahisi kuunda kundi la kihalfu TZ. Jaribu utaamini. Ila huyu wa Panya ameweza. Ni watu wachache wenye uwezo huo na lazima awe anafahamu mtindo wa utawala au na yeye ni sehemu ya utawala.
Kwamba anaweza kuwa Mstaafu wa moja kati ya vyombo vya ulinzi?

Dhumuni lake ni nini mkuu?
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Back
Top Bottom