Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Ugumu wa maisha?! Wamezuiliwa wasifanye kazi?! Fursa za kilimo ni nyingi mikoani wao wamerundikana Dar bila kazi halafu useme maisha ni magumuUgumu wa maisha ndo chanzo Cha uharifu
Ugumu wa maisha ndo chanzo Cha uharifu
Mtamkumbuka tu kwa mazuri sio mabaya! Tanzania haihitaji kiongozi legelegeStaili ya Magufuli ilisaidia sana
Hakika. Miaka 5 ya Magufuli panya wote walikuwa mashimoni; sasa wamerudi barabarani kwa kishindo.Mtamkumbuka tu kwa mazuri sio mabaya! Tanzania haihitaji kiongozi legelege
Kwa hiyo wote tulio na ugumu wa maisha tuwe waharifu?Ugumu wa maisha ndo chanzo Cha uharifu
Hiyo sheria ya kuwapiga risasi vibaka haipo Tanzania. Pia kuua kwa risasi bila kufuata sheria ni mob justice. Binafsi ninaamini watanzania kuna mahali tumekosea kwa ujumla wetu, kuanzia kwa viongozi wa juu wa kisiasa mpaka kwenye ngazi ya familia.Style hiyo ni nzuri. Ila shida ya mfumo wetu wa Africa wanaweza kuuliwa watu wasio na hatia kisa tu una beef na mtu fulani akakuchomea kwa Police au whatever itakavyo kuwa.
Nashauri wale risasi baada ya mahakama kutoa hukumu kuwa wanahatia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wao kupiga watu mapanga ya kichwa ni sheria??Hiyo sheria ya kuwapiga risasi vibaka haipo Tanzania. Pia kuua kwa risasi bila kufuata sheria ni mob justice. Binafsi ninaamini watanzania kuna mahali tumekosea kwa ujumla wetu, kuanzia kwa viongozi wa juu wa kisiasa mpaka kwenye ngazi ya familia.
Hao panya road ni watoto waliozaliwa na wazazi watanzania au tuamini kuwa ni wavamizi kutoka nje ya nchi? Hawa ni watanzania wenzetu wanaolindwa na sheria hizi hizi tulizotunga kwa ajili yetu. Tusiwahukumu kabla ya kuangalia tulipokosea.
Baada ya kukosea katika malezi na kupuuza uwepo wao kati yetu, tukiwashuhudia wakikua wakirandaranda mitaani bila uelekeo huku tukipita bila kuchukua hatua. Sasa wamekua wamefikia pale tulipokuwa tunajua watafika. Tusikimbilie kuwakatia hukumu za haraka, bali tuwawajibishe kulingana na sheria.
Vyombo vya usalama viwajibike ipasavyo bila kuvunja haki kuishi ya mtu yeyote. Binafsi jisingependa hukumu za barabarani (mob justice) ziruhusiwe miongoni mwetu. Ninaamini hukumu hizi zinaweza kusababisha taifa kuangukia pua. Kila mtu akishika akiamini ndiyo njia pekee ya kuhakikisha haki inakuwepo.
Tusiposimama kwa haki tutaangamia.
Ilisaidia nini!?? Mbona wakuu wa wilaya na mikoa walikuwa majambazi na sasa wanatumikia vifungo!?au mnajitoa ufahamu!??Staili ya Magufuli ilisaidia sana
Hujakutana nao wewe na hivyo viinereza vyako. Ipo siku utakutana nao (nakuombea) Utakuja kufuta hiki ulichoandika. Amini hayaHiyo sheria ya kuwapiga risasi vibaka haipo Tanzania. Pia kuua kwa risasi bila kufuata sheria ni mob justice. Binafsi ninaamini watanzania kuna mahali tumekosea kwa ujumla wetu, kuanzia kwa viongozi wa juu wa kisiasa mpaka kwenye ngazi ya familia.
Hao panya road ni watoto waliozaliwa na wazazi watanzania au tuamini kuwa ni wavamizi kutoka nje ya nchi? Hawa ni watanzania wenzetu wanaolindwa na sheria hizi hizi tulizotunga kwa ajili yetu. Tusiwahukumu kabla ya kuangalia tulipokosea.
Baada ya kukosea katika malezi na kupuuza uwepo wao kati yetu, tukiwashuhudia wakikua wakirandaranda mitaani bila uelekeo huku tukipita bila kuchukua hatua. Sasa wamekua wamefikia pale tulipokuwa tunajua watafika. Tusikimbilie kuwakatia hukumu za haraka, bali tuwawajibishe kulingana na sheria.
Vyombo vya usalama viwajibike ipasavyo bila kuvunja haki kuishi ya mtu yeyote. Binafsi jisingependa hukumu za barabarani (mob justice) ziruhusiwe miongoni mwetu. Ninaamini hukumu hizi zinaweza kusababisha taifa kuangukia pua. Kila mtu akishika akiamini ndiyo njia pekee ya kuhakikisha haki inakuwepo.
Tusiposimama kwa haki tutaangamia.
Usipofunzwa na wazazi wako dunia itakufunza!Hiyo sheria ya kuwapiga risasi vibaka haipo Tanzania. Pia kuua kwa risasi bila kufuata sheria ni mob justice. Binafsi ninaamini watanzania kuna mahali tumekosea kwa ujumla wetu, kuanzia kwa viongozi wa juu wa kisiasa mpaka kwenye ngazi ya familia.
Hao panya road ni watoto waliozaliwa na wazazi watanzania au tuamini kuwa ni wavamizi kutoka nje ya nchi? Hawa ni watanzania wenzetu wanaolindwa na sheria hizi hizi tulizotunga kwa ajili yetu. Tusiwahukumu kabla ya kuangalia tulipokosea.
Baada ya kukosea katika malezi na kupuuza uwepo wao kati yetu, tukiwashuhudia wakikua wakirandaranda mitaani bila uelekeo huku tukipita bila kuchukua hatua. Sasa wamekua wamefikia pale tulipokuwa tunajua watafika. Tusikimbilie kuwakatia hukumu za haraka, bali tuwawajibishe kulingana na sheria.
Vyombo vya usalama viwajibike ipasavyo bila kuvunja haki ya kuishi ya mtu yeyote. Binafsi sizipendi hukumu za barabarani (mob justice) ziruhusiwe miongoni mwetu. Hukumu za aina hii zitatusababishia madhara zaidi ya faida. Ninaamini hukumu hizi zinaweza kusababisha taifa kuangukia kwenye civil conflicts na kuibuka kukua kwa makundi ya kihalifu. Kila mtu/kundi wakiamini ndiyo njia pekee ya kuhakikisha haki inakuwepo au kulinda maslahi yao na uwepo wao.
Tusiposimama kwa haki tutaangamia.