Tajiri Kichwa
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 9,021
- 22,016
Polisi hawana intelenjia yoyote ya kujua utendaji wa tukio pasipo kuambiwa na raia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo wanakuwa ni jeshi la wokovu.Si Police Force tenaWanafanya zote
Ila pia ukumbuke jukumu la ulinzi na usalama wa nchi, mali na raia ni la kila raia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ukiwemo wewe.🙏🙏🙏Inaonekana wazi kabisa hawapati taarifa za kiintelijensia zilizo sahihi. Maana hawa vijana wanaishi mitaani na ndugu, wazazi na jamaa zao.
Sasa inakuwa vipi wanashindwa hata kupa taarifa hata kuwa kuna kundi au kijana ni panya road?
Muliro hana uwezo wa kufanya Community policing amefeli kabisa.
Kwa dunia ya leo ni jamii ndio itakupa taarifa kamili juu ya uhalifu au wahalifu.
Takwimu zako nadhan utakuwa na utafiti wake so nikubaliAsilimia tano ya polisi Tanzania ndiyo "wanawezekana" wakawa na maadili mema.Waliobaki ni majanga.
Haihitaji tafiti Hao jamaa,watoto,ndugu na marafiki zetu ni changamoto sana.Takwimu zako nadhan utakuwa na utafiti wake so nikubali
Unajua majukumu ya police.Police ni kiraka anafanya Kazi zote,Kazi ya police ni kushughulika na aina zote za uhalifu.Hapo wanakuwa ni jeshi la wokovu.Si Police Force tena
Nakuunga mkono, kinachoonekana intelijensia yao hufanya kazi zaidi kwenye siasa, sasa tunajeshi gani hili? Au ligeuzwe kuwa jeshi la kisiasa tujue moja, na lilipwe mishahara na wanasiasa kutoka mifukoni mwao na sio kodi zetu. Then liundwe jeshi jipya lenye weledi na lisilojiingiza kwenye siasa. Kwa jeshi linaloifahamu kazi yake vyema hao panya wangeshafutwa mtaani siku nyingi.Polisi wana intelejensi yao, kupitia intelejensia yao wanaweza kujua kila kitu na kudeal nacho....hao unaosema raia miongoni mwao ni Polisi na hata polisi wakitaka kuwa na Panya road wao ndani ya panya road wanaweza pia....
Narudia tena, ni kazi ya week moja tu kwa jeshi la polisi kumaliza huo mtandao na kuua vijana wote hao wakiamua labda kama kuna watu maslahi nao..
Mbona uliwanyang'anya ya ulinzi wa raia na mali zao pale mwanzo!Au umesahau tulianzia wapi mkuu?Unajua majukumu ya police.Police ni kiraka anafanya Kazi zote,Kazi ya police ni kushughulika na aina zote za uhalifu.
Kama jamii inashindwa kutoa taarifa kwa polisi maana yake kwao hilo sio tatizo wanalohitaji litoke... kabla ya kuwarushia polisi lawama kwa nini usianze na waathirika...Inaonekana wazi kabisa hawapati taarifa za kiintelijensia zilizo sahihi. Maana hawa vijana wanaishi mitaani na ndugu, wazazi na jamaa zao.
Sasa inakuwa vipi wanashindwa hata kupa taarifa hata kuwa kuna kundi au kijana ni panya road?
Muliro hana uwezo wa kufanya Community policing amefeli kabisa.
Kwa dunia ya leo ni jamii ndio itakupa taarifa kamili juu ya uhalifu au wahalifu.
Swali lako la kijinga sana..Tukio limeshatokea, sasa unadhani watakamatwa kabla ya hilo tukio..Sikuandika kwa sababu eti naukubali sana utendaji wa Polisi ila najua uwezo wa kuwajua wahalifu hao wanao.Watapata lini? Baada ya wewe kuporwa na kukatwa mapanga?
Anawaamini policcm? Aende akaziulize familia za wachimba madin wa mahenge,hamza,erasto msuya na huyu aliechomwa sindano ya limao huko kusin! Ni mjulishe tu mtoa post kuwa polisi ni wahalifu mara 10 ya panya road! Ogopa mtu akukamate, akupore mali zako halafu akuue! Panya road ye ni nondo moja au salala achukue kinachomhusu apite hiviUna mawazo hasi tu. Kila anayeonesha kutowaamini hao waliokusaidia ni mhalifu? Negativities!
Tell him,broda!Asisahau kupita kwa mama Akwilina!Dawa ni kutiana uchungu ili akili zitusogee.Anawaamini policcm? Aende akaziulize familia za wachimba madin wa mahenge,hamza,erasto msuya na huyu aliechomwa sindano ya limao huko kusin! Ni mjulishe tu mtoa post kuwa polisi ni wahalifu mara 10 ya panya road! Ogopa mtu akukamate, akupore mali zako halafu akuue! Panya road ye ni nondo moja au salala achukue kinachomhusu apite hivi
Umeuma kidogo,umepuliza kidogo.Mungu akubariki sana.Unafiki siku zote unatufundisha nyuma Sana Panya road tokea WAMEANZA oparesheni zao Polisi wametangaza IDADI ya HAO Panya waliokamatwa na Mali zilizoibiwa kuokolewa Pia usiku KUMEFANYIKA misako kabambe bado tu Kuna mtu ameshiba maharage anapromote ujinga!
HAO Manjagu wafanye nini ili kuwafurahisha? Unatoaje takwimu za nchi NZIMA kuhusiana na wananchi kushirikiana na Polisi wakati hata Polisi mwenyewe hujawahi kufika? Unawachukia kwasababu walimkamata NDUGU yako kutokana na kosa lake la jinai alilotenda!
Hata Mimi kunabaadhi ya Polisi siwapendi hasa wanaomba Rushwa wanaoonea Raia wema na wasiotekeleza wajibu wao lakini siyo jeshi zima na katika hili la Panya road tulio karibu tumeshuhudia JITIHADA kubwa zilizofanyika hakuna tunachowadai.