Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaoneka kama wewe ni mtoto wa line police😅Sijawahi kuwa na ndugu wa hivyo. Lakini hoja hapa ni jamii kuwa na mahusiano mazuri na polisi. Nenda mantoni uone jamii zinavyotoa taarifa polisi
Sema we hutoi ila mi n miongon mwa mdau wa polisi na natoa nying maana naelewa umuhimu wa kushirikiana. Tatizo weng tuko na baadhi ya chuki na askari maana tuko na mishe haramu na tunauhalifu nyumban kwetu. Niliwahi saidika sana so siwezi lau kwakweliSijawahi kuwa na ndugu wa hivyo. Lakini hoja hapa ni jamii kuwa na mahusiano mazuri na polisi. Nenda mantoni uone jamii zinavyotoa taarifa polisi
Wapate na za panyaroad!Walikuwa wanapata taarifa za kiintelijensia.
Una mawazo hasi tu. Kila anayeonesha kutowaamini hao waliokusaidia ni mhalifu? Negativities!Sema we hutoi ila mi n miongon mwa mdau wa polisi na natoa nying maana naelewa umuhimu wa kushirikiana. Tatizo weng tuko na baadhi ya chuki na askari maana tuko na mishe haramu na tunauhalifu nyumban kwetu. Niliwahi saidika sana so siwezi lau kwakweli
Tatizo sio polisi. Tatizo ni wazazi na jamii!Inaonekana wazi kabisa hawapati taarifa za kiintelijensia zilizo sahihi. Maana hawa vijana wanaishi mitaani na ndugu, wazazi na jamaa zao...
No mkuu but niliwahi jifunza elimu flan ya chuki so naelewa nlichokiandikaUna mawazo hasi tu.Kila anayeonesha kutowaamini hao waliokusaidia ni mhalifu? Negativities!
Asilimia tano ya polisi Tanzania ndiyo "wanawezekana" wakawa na maadili mema.Waliobaki ni majanga.No mkuu but niliwahi jifunza elimu flan ya chuki so naelewa nlichokiandika
Wao kazi yao inabakia kuwa nini?Jukumu la ulinzi wa mtaa ni la Jamii husika sio police. Kodini kampuni binafsi za ulinzi ziwalinde kama mnaogopa tupanya
Ni hadi panya wapore au wabake binti zao ndipo wataweza.Polisi wana intelejensi yao, kupitia intelejensia yao wanaweza kujua kila kitu na kudeal nacho....hao unaosema raia miongoni mwao ni Polisi na hata polisi wakitaka kuwa na Panya road wao ndani ya panya road wanaweza pia....
Narudia tena, ni kazi ya week moja tu kwa jeshi la polisi kumaliza huo mtandao na kuua vijana wote hao wakiamua labda kama kuna watu maslahi nao..
Kuzoa maiti za panya. Maana hata wao mnawapa tabu, police sio kituo cha kutelekezea wahalifu, mkishawapeleka mna wa dump amuendi toa ushahidi.Wao kazi yao inabakia kuwa nini?
Waandalie sare mgongoni ziandikwe "red-cross"!Kuchukua maiti za panya
Wanafanya zoteWaandalie sare mgongoni ziandikwe "red-cross"!