Kwahiyo Makonda ndiye alitoa pesa za kurepair?? Au alitumia tu ubabe kwa wenye Garage pamoja na kukomba pesa za wafanyabiashara kwa kisingizio anatengeneza magari ya polisi
unaongea kwa hisia kama ulikuwa live kweny matukio tajwa , waswahili tuna kaujinga cha kuishi kwa uvumi
 
ulichoandika ilibid kiwekwe kwenye katiba il asije kiongoz mpuuz akakitoa , waswahili wapo mjini kushangaa mataa ila wameyaacha mashamba kijijini
 
Mpuuzi Makonda angekuwa nchi za watu wenye akili angekuwa jela, sijawahi kuona mtu mpuuzi na mshamba kama Makonda, alikuwa na kila sifa ya madikteta uchwara wengine waliowahi kutokea Africa na alikuwa mwizi pia
ili kuitoa afrika ilipo lazima uonekana mbaya , hata Zao Mau wapo wachina wansema alipingwa sana kipind anaanza kuingiza sera zake China ila leo wanamuenz
 
hujavamiwa ndio maana unasmea ivo , unaambiwa zaid ya panya road 20 wote wana mapanga na hawakukaa sehem moja wapo waliokuwa wanavunja na kuiba hlf wengine wanalinda upepo , jiulize unaeza vunja milango 5 kwa dk 10 na kuwapora wote na kuvunja vunja furniturea kisha kuondoka bila kukamatwa na polisi , hapo kuna mpango mkakati mzito tofauti na mnavyowazungumzia humu
 
Ndio haujawa na hautakua rais sasa kwa sababu una maamuzi ya kichoko, wewe unafikiri kua rais ni kufanyafanya tu vile unavyojisikia wewe?
kwann unatetea mashetani au kwavile hujakutana na kazia ya hawa watoto , ni dharau tuna mawazir mpk wenye degree 2 ila watoto wa std 7 wanawashinda akili
 
...hivi Dar hakuna zile sheria zetu za kiporipori kama huku kwetu Nanjirinji?

Yaani hao sie dawa huwa moja tu (ngoja niwape mbinu za kivita)

1. Inaandaliwa team ya makachero wa kitaa, kimya kimya inaandika list ya vibaka (hata kama wanakaa mbali na eneo)

2. Linaandaliwa jeshi la kitaa (hapa all able bodies mpk wanawake matata wanaingia)

3. Yananunuliwa mataili used ya kutosha plus petrol walau lita 20 (hatujali bei kama imepanda)

4. Siku tukisikia tu tukio ni mji mzima unalipuka, mnawazingira na kuwakamata then hukumu ya kifo cha mafuta ya petrol na matairi juu...no mercy hata ka umeiba kuku.

5. Kazi ya ile list ni kuwakusanya kama kuku hatafu wanatiwa bakora za onyo na mji mzima. Hapo next move ni kiberiti...

Wakati wa tukio la kuchoma hawa vibaka hakuna cha polisi wala sijui nani...wanaruhusiwa kuja kubeba majivu tu..

Jamani eeeeh, wizi unaboa, wizi unaumiza na unarudisha nyuma.

One of my best friend aliuawa kikatili na hawa kenge kwa kuchomwa bisu...anakufa kwa machungu mnooo...Sasa kama haujafanyiwa ukatili huwezi kunielewa. Ni wanakera sana. Binafsi sikua muumini wa kupiga wezi, ila baada ya kutiwa hasara sana asee mwizi labda aniwaki, nikikuwahi ujue kipigo utakachopata utaenda kusimulia kuzimu!

Wanakeraaaaaaa!!! Ukiwafuga sana unaambulia mabua na kujenga Boko haram wajao!

Now mtaa wetu umetulia almost 2 yrs now! Wakiibuka tena tunatoka mafunzoni ka ng'e tunawacharanga haswa!
 
Huu nao ni mradi wa polisi wenyewe kwa sababu huu ulinzi shirikishi unavunjwa nguvu na kukatishwa tamaa na polisi pale mlinzi shirikishi anapopeleka mtuhumiwa kituoni akajikuta yeye ndio anawekwa mahabusu na mtuhumiwa kuachiwa au wote kuwekwa mahabusu moja!
Polisi wanadai eti haki ya kukamata mtuhumiwa ni ya kwao peke yao nakwamba hata wakikufanya nyungu wao kazi yako ni wewe ukamate uwaletee wabargain na kumuachia mhalifu akitoa rushwa nawewe wakugawie kajisenti kidogo katika mgao wa rushwa hiyo.

Hawa polisi hawana tiba utendaji wao ni mbovu kuanzia chini hadi sasa hata makao makuu wapo wanaopokea fungu la kumi ili kuwalinda hao askari wa chini.

CCM acheni kuwatumia polisi wakati wa uchaguzi vinginevyo rais utakemea utafoka lakini hawatakusikia kwa sababu wanajua wakati wa uchaguzi utawahitaji!

BILA POLISI HAKUNA UHALIFU NCHINI.
 
yaani majambazi yanaitwa jina zuri Sana la panya road????????

hii nchi ishakufa


setikal ndo inawafuga.

ngoja waje wapate connection na makundi makubwa ya wahalifu wawape mafunzo ya silaha na mapigano muone namna nchi i tavavyogeuzwa chini juu.
 
Ona hili la vijana panya buku kuvamia makazi ya watu mchana kweupe huko Dovya Chamazi Kwa kujeruhi,kuiba na kuuwa

Mambo hayo tulisahau

Mnaona sasa utofauti kati ya mtu aliyeshika dhamana ya watanzania na anayeongoza Kwa kuthamini kodi bila kuwathamini walipa kodi?

Twafaa, Kwa nini tusimkumbuke huyu kiboko ya wajinga wafoji vyeti?
Your browser is not able to display this video.
 
hawa panya buku tunawalea wwnyewe mitaani, kwenye vijiwe vya wavuta bangi, wacheza kamari, naamini Vionhozi wa mitaa/serikali za mitaa katika kona za Jaji la DSM wakishirikiana na Jeshi la Polisi nahakika hawa kunguni watateketezwa, narudia tena dawa Yao ni moto tu.
 
Mara ya Kwanza Panya waliibuka sana wakati Watanzania wengi wakiwa wameguswa na wanaongelea mno Kuwekwa Segerea kwa Mwenyekiti Taifa CHADEMA Mh. Freeman Mbowe.

Panya Road wakaja kuibuka tena pale Watanzania wengi walipoanza Kuguswa na Suala zima la kudai Katiba Mpya.

Panya Road wakaibuka tena pale lilipotokea Sakata la Wabunge Waasi 19 wa CHADEMA huku Fukuto la Watu Kuhoji uhalali wao likizidi na Watu wengi kuonekana kuwa wanapinga Wao kuwepo Bungeni kwakuwa wameshafukuzwa Uanachama ndani ya Chama chao.

Sasa Panya Road wameibuka tena wakati Watanzania ( GENTAMYCINE nikiwemo ) tukiwa na Hasira na Mitozo isiyo na idadi pamoja na mpangilio huku mfumuko wa Bei ukiongezeka na Maisha ya Watanzania ( Mtanzania ) yakiendelea tu kuwa magumu.

Endeleeni kudhani kuwa Watanzania wote ni Hamnazo mkisahau kuwa wapo wengine wamepewa Zawadi ya Akili Kubwa ( Fikra Tukuka ) na Mwenyezi Mungu na wanachokifanya ni Kuwachora tu huku wakiwadharau vile vile kwa kufanya Kwenu Mambo Kitoto, Kishamba na Kipuuzi vile vile.
 
Acheni uzembe wanaume wa Dar. Inawezekanaje wanaume wooote huko mjini mnateswa na panya wa barabarani? Makao makuu ya jeshi yako huko, vikosi vya mizinga viko huko, ikulu ipo huko, inakuwaje mnapigwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…