Tetesi: Papa Francis akutana na Kiongozi wa Jesuits kujadili masuala ya LBGTQ

Hiyo sababu wewe umeitoa wapi ?
 
Tena kuna mwengine yupo hapa hapa kwenye forum na anapinga kweli ushoga ila anakubali akifirwa na Punda au Mbwa ila sio Mtu [emoji15]
Nilistaajabu sana nilipoona ile comment yake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] waswahili ni wanafiki sana , wao kuwaheshimu hao jamaa inamaanisha ni kuwa kama wao , ila kuwaheshimu wanawake sio kuwa kama wanawake
 
Kwanini wewe unawakubali?
nina mifano kama mitano hv inayonifanya nikubali watambulike kwenye jamii wasijifiche , Ndan ya Tz ushoga unakuwa kwa kasi sana hasa kwa sabab ya kuwafanya wafanye mamb yao kwa siri ila kuwatambua ingepunguza maana wangekuwa wanafanya wao kwa wao (wangejuana ) na wachache ambao wangeshawishiwa kufanya ushoga , ila leo hii karibu 5% ya vijana wasio na ajira washatinduliwa tyr ili wapate pesa SABAB mabosi wanaona hii ndo fursa ya kutimiza fantassy zao maana mashoga halisi hawajionesh so inakuwa ngumu kumjua wa fantassy yake , ila kuwatambua ingerahisha wao kujuana ili kupunguza kuwaharibu wasio shirik ushoga kama inavyoendelea ndan ya bara la Afrika , huko mbagala nimeona na kusikia mengi ambayo ukituliza akili unaona ni kwasabab ya kuwafany wafanye mamb kwa siri
 

yah ni kweli ila jamaa wabishi sana wale, they will make a stink out of the situation
 
Kukemea ushoga ni jambo lingine na kuwatambua wanaojihusisha na ushoga kama binadamu wenzetu wenye kuhitaji huduma zote za kibinadamu zikiwepo za kiroho na kutambulika utu wao nalo ni jambo lingine.
 
Kukemea ushoga ni jambo lingine na kuwatambua wanaojihusisha na ushoga kama binadamu wenzetu wenye kuhitaji huduma zote za kibinadamu zikiwepo za kiroho na kutambulika utu wao nalo ni jambo lingine.

Hii ni kama ile jamaa alikuwa anaenda kikao akachelewa zaidi ya masaa tano

kufika wakamuuliza "vipi mbona umechelewa sana kikao kimeshaisha?"

jamaa akajibu "nilivokuwa njiani gari yangu iliharibika tairi, wakati nalibadili kuna lori kubwa semi trela limebeba magogo likanigonga pale barabarani ndo maana nilichelewa!"

watu wakabaki kujiuliza utagongwaje na semi trela ubaki nadhifu hivo na tai juu hakuna hata mchubuko!!

SOMO LA HADITHI HII: maji na mafuta hayachanganywi
 
Sasa unachoshangaa ni nini hapo
 
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]!!! Yaani kabisa unadhani watasema kuanzia leo ushoga ruksa!? Endelea kusubiri Mzee.
Watu wengi Wana feli hapo, wanafkiri wataubiriwa.
Kumbe kitu kisha tiki.
 
Nimekuelewa ndugu, What do you think we can do?
 
Una support mahusiano ya jinsia moja ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…