Juzi nilikua nasoma, jamaa wana mkakati na issue za cutoon, wanafight sana ziwe na maudhui ya upinde, yaani akina Tony na Jerry viwe kila mmoja kina wenzake wa kupumulia, so utajua upcoming generation inagrow up tayari ishakua distracted mentally kuzoea mambo ya ushoga na kuyaona ni kawaida sanaMkuu watoto wetu, wanakutana na movie zao na mazingira ya kukubali vitendo hivyo. Huwa sielewi inakuwaje shule za chekechea zinatumia rangi za [emoji304] ambazo zinatumiwa pia na Hawa mahasidi.
Mungu akisaidie kizazi chetu
Unajisikiaje kupinga kitu ambacho unajua fika dini yako inakiunga mkono?
Inakatisha tamaa kuona viongozi wenye ushawishi mkubwa wakielekeza wafuasi wao kufuata mambo ya aibu kwa kigezo cha "uhuru " na demokrasia
Hadi unaondoka dunian utakuwa Bado unatawaliwa Kama ilivyo Sasa kikubwa ishi milele yako hiyo nyingine ibakie HistoryOP kbs , hakuna taifa au falme itatawala milele , mbona Ottoman ilianguka au nayo ilisapoti mashoga ?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa ukihama wee nan atastuka au kuguswaaa? Hata saiv uhameee, ndo nimechekaaaa had machoziiiiii.Wakipitishi hii kitu mm naama ukatoriki yani nitakuwa mkristu ambae sina zehebu....
Dj waleteeeeeeeee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni suala la muda makanisa kuhalalisha suala hili. Haya ndiyo majanga kwenye dini kuleta siasa kumridhisha kila mtu na inahitaji unafiki wa hali ya juu.
View attachment 2414235
Wapeeeeeeeeeeee wapeeeeeeeeee tena wapasulie ukweli, wakae wakijuaaaaaa.Serikali zote duniani under USA democracy influence zinatakuwa kutambua na kuwalinda jamaa wa upinde kwa namna yoyote ile, na kinachokuja kutoka hivi karibuni haya madhehebu yatakua yanarenew vile vibali vyao, na sharti mojawapo la kupewa kile kibali ni kuukubali ushoga ndani ya jumuiya zao, sasa je kuna wachungaji/mapdre/mashekhe n.k wenye ujasiri wa kukata hizo mambo ili wakose sadaka na zaka, huku wakipewa back up ya fedha nyingi katika kuwasupport upunga?
Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
Kabisa the whole thing is corrupt !Ndiyo maana huko Anglican wanafungisha ndoa kabisaa.Tatizo Ni kwamba madhehebu mengi ni Waroma waasi... Yani Kama Anglikana Ni Waroma walioruhusu Mambo flani flani.
Na anyeanzisha huwa Kuna Jambo lake limefeli ndani ya Roma so anatokea ubavuni na kuleta kipya chenye uzamani ndani.
Bila kuacha Dini ambayo ni man made tumeisha peupee.
Sala ya baba yetu inaongelea ufalme sisi tuanongelea Dini.
Hawana hata wanalolijuaaa, boraaa muwage mnawaambia km hivi.Mnachoshindwa kujua ni kwamba papa ni binadamu na anaongoza taasis ya binadamu ambao wana tenda dhamb. Wana mastabate wanaangalia porn wana hisia .. ila kanisa litaendelea kuwa holy milele.. na yeye kukubal ushoga haibadili mafundisho ya bible yanayokemea ushoga..
Hiyo kutokana na misingi yenyewe ya uislamu ukifatilia historia hakuna nabii hata mmoja alitelemshwa ulaya wote Asia mashariki Sasa wazungu watajuaeje Mambo ya manabii ikiwa hawajaishi nao, la pili dini ya uislam haina madaraja hata wewe leo ukiamua kusoma utakuwa sawa na shekh aliesoma miaka ya nyuma maana yake akifata matamanio yeke au kununuliwa ataumbuliwa na mtoto mdogo kabisa hata wa miaka 7 au 10 na akakosa hoja ya kujitetea na mwisho kudharaulika na jamii na kujulikana kua mtu mwenye laana hamna msikitini atakao swalisha au ajenge wa kwake na pia bado utatengwa huo msikitikidogo ndugu zetu waislamu wanajitahidi kupiga vita vitendo hivi waziwazi!
Wanaopinga ushoga, wengi wao ni wafinyu wa fikra, na maskini waliokubuhuuuuu. Hawana pa kushika wanatafuta Pa kutua stress zao. Mxieeeeeew.huwa najiuliza hawa mashoga wana kusumbuaj mtu hawajakutongoza wala hawajakuzoea , Mamb ya zinaa yanafanywa ktk privacy zao , unampangiaj mtu nn cha kufanya akiwa faragha ? ni swala la muda ila wote dunian tutakuja jishangaa sana baadae kama hapo awali tulipokuwa tunawapinga watoto albino na kuwaua vilema , ila leo tumestaarabika na tunaish nao ni swala la muda , mtu yoyote ukimuhoj kwann unawapinga mashoga hana point mbali na kuzungumzia mvua sijui majanga ya kidunia vitu ambavyo havina uhusiano wowote , dhana hiz hiz walitumia wazee zaman dhidi ya albino na vilema , ila majanga ni natural disaster hazihusian na mashoga wala albino
Wewe huelewi nn maana ya kanisaRoman catholic haijawahi kuwa kanisa la Yesu Kristo hivyo siwezi kushangaa.
Mbna kuna Mashoga wanazalisha na wana watoto. Vipi uko Dunia hii au?Hivi wazazi wako wangekuwa hivyo ungezaliwa?
Biblia iko wazi kwenye Ufunuo 21:8 lakini husikii viongozi wa dini wakizungumzia, Utasikia wanaandika waraka kuishauri Serikali izingatie demokrasia, lakini hutasikia waraka wa kukemea mapenzi ya jinsia moja!Mungu alikupa manual (biblia) yenye sheria na taratibu za kuishi na akakupa akili ya kujua mema na mabaya na
Sasa wewe unaitumiaje akili zako
Sasa unaamuaje??? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wee msenge nn, yaani unaafiki mwanaume kuinamishwa apumliwe, wee punga kabisa yaani, so privacy gani unayoiongelea hapa, kwamba na akili zetu hizi na sie tukubali upumbavu huo au unafikiri kila cha mzungu ni chema kwetu waafrica?
Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
Hapa kuna swali la msingi, kwanini wameasili(adopt) mtoto ,jibu ni dhahiri hawana uwezo wa kupata mtoto!Mimi naandika kama mama na bibi. Naeleza hili siyo mara ya kwanza kuwa watu kuwa shoga yaweza kuwa maumbile na zile chromosomes zikiwa mchanganyiko au wengine wanakuwa hivyo sababu ya matukio kama kubakwa wakiwa watoto wanaamua kuchukia jinsia yao nyingine. Tumesikia stori humu humu za watu waliokuwa mashoga na kilichowafanya hivyo. Nimesoma shule na wasichana waliokuwa wanapendana sana kiushoga tukadhani ni shule za bweni lakini mpaka sasa wana miaka 60 na zaidi wapo wote na wameasiri watoto wa ndugu zao na wameishi maisha mazuri. Sitaji vyeo na mahali walipopitia kwa kuwasitiri. Ushoga upo ila tutakubali kama walivyofanya ulaya baada ya miaka 200. Hitler aliua mashoga wengi tu. Aliyetengeneza Computer nakuweza ku Crack codes za ma nazi aliwekwa kizuizini baada ya vita ya pili. Alipewa sumu na ukiingia the London Musium of Science utasoma historia yake.
Huu upuuzi hata wanyama hawafanyi, ni binadamu tu waliotindikiwa ubongo!Sasa unaamuaje??? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbna bado kidogo tyuuh ushoga n ruksa, na hakuna kitu mtafanya, tena km Africa ndo kabisa hakuna mtakachofanya, zaidi ya kuinamishana kwa kwenda mbeleee.