Tetesi: Papa Francis akutana na Kiongozi wa Jesuits kujadili masuala ya LBGTQ

Kuwa makini juu ya nafasi yako, fikra na maoni yako Mana ukianza kuishi vyao tarajia kuwa sehemu Yao.
Though formulation zetu zinawindwa kwa Hali na mali
 
Mila na desturi za mwafrika ziheshimiwe; hawa wanaume wanaopelekewa moto huku Afrika sio sehemu zao.
 
Ni sababu hawataki kukutana na mwanamme ila wanapenda wawe na watoto nawarithi wa walichovuna. Wangependa kupata mtoto kamahapa nchini kuna utaratibu wa sperms donation kama nchi zilizoendelea. Hapa hatuna hiyo huduma.
Hakuna mwanamke hapendi tu kuwa na mtoto eti kwa sababu hapendi kukutana na mwanaume, huo ni uongo they are psychologically affected ndio maana hawawezi kuinjoy mapenzi na jinsia nyingine.

Je umeshawahi ona mnyama yeyote be it paka, mbuzi, ng'ombe, njiwa wakipandana jinsia tofauti?
Kama sio basi ekewa hata kwa mwanadamu hilo swala in laaana don't entertain it

Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
 
Ufafanuzi zaidi wa hizo nchi zinazotaka kuvua nguo kombe la dunia?
the Netherlands, England, Belgium, Denmark, France, Germany, Norway, Sweden, Switzerland and Wales – will participate in a season-long “OneLove” campaign promoting inclusion and opposing discrimination.

 
Mila na desturi za mwafrika ziheshimiwe; hawa wanaume wanaopelekewa moto huku Afrika sio sehemu zao.
Cha ajabu, hata viongozi wetu wanapata kigugumizi kusema msimamo wa taifa letu!wanahofia misaada itakosekana
 
Cha ajabu, hata viongozi wetu wanapata kigugumizi kusema msimamo wa taifa letu!wanahofia misaada itakosekana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe ukweli mnaujuaaaa, misaada mnapenda na masharti mnayajua,

Dj waleteeeeeeeeeeeee, leo nacheka km chizi hapa uwiiiiii
 
Muda sio mrefu hii kitu itakuwa sheria kwenye kusaidiwa, huungi mkono kutinduana, hupati hela za maendeleo wala za afya, kama naiona Tanzania tunavyopenda misaada, tuhimize viongozi wetu tuache kuzungusha mabakuli.
 
Kwahili la movement za mashoga hakuna taasisi isiyo salama wala usijidanganye..unadhani hata kanisa katoliki wakati linaanza lilikua hivi..mdogo mdogo utawala wa giza unaendelea kuchukua nafasi hakuna cha kurwani wala nani hapo ni kila mtu kwa nafsi yake kusimama imara.

#MaendeleoHayanaChama
 
Paragraph ya pili ndo umemaliza kila kitu, kumbe sometimes huwa uko timamuuu eeeh? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo oagraph ya pili inayoongelea dini ya kweli umeielewa vp? Unaona mashoga hata kuelewa minor thing tu ni tatizo.

Je nafsi yako unaona inakushuhudia kupandwa na mwanaume mwenzio au kusagana ?

Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
 
Muda sio mrefu hii kitu itakuwa sheria kwenye kusaidiwa, huungi mkono kutinduana, hupati hela za maendeleo wala za afya, kama naiona Tanzania tunavyopenda misaada, tuhimize viongozi wetu tuache kuzungusha mabakuli.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nacheka km mwehuuuuuu hapaaaa.
Mabakuliiii woyeeeeeeeee.
 
Mnahangaika sana na Ukatoliki.Kimsingi misingi mikubwa ya Imani na ustaarabu inasimamiwa na kanisa Katoliki.Nyie mnajaribu kudanganya watu ili mpate kuwin watu wasiojielewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…