Papa Francis aruhusu Makasisi kuwabariki wanandoa wa jinsia moja

Haya maelezo yana tofauti gani na maelezo ya Kiharage aliyekuwa MD wa TANESCO kwamba hakuna mgao wa umeme isipokuwa kuna upungufu wa umeme?
 
Hukuisoma taarifa ya Papa vizuri, ndiyo maana umeamua kupotosha bila sababu
 
Hukuisoma taarifa ya Papa vizuri, ndiyo maana umeamua kupotosha bila sababu
Mbona amekazania sana sasa baada ya Machanjo mbalimbali?

Kauli za papa usizichukulie kiwepesi

Yesu aliposema Naona Kiu Wayahudi wakatafsiri kama wewe!
 
uongo gani huo urushwe mpaka kwenye chombo cha habari kikubwa duniani cha BBC?
Hujui kitu we zwazwa tu
Jiulize kanisa la anglican linaunga mkono ndoa za jinsia moja(same sex marriage)
Uliwahi kuona BBC wanaripoti kwa ukakasi habari kuhusu anglican?
Muwe mnafanya utafiti kabla ya kukurupuka.
 
Huyu mtu sijui walimpata wapi. Wafanye hima wamtengue na nafasi yake aichukue ama Cardinal Arinze au yule mfilipino Luis Antonio Tagle .Kanisa linahitaji kuongozwa na kiongozi kutoka Afrika au Asia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…