Papa Francis atetea watu wanaojihisisha na Mapenzi ya jinsia moja

Lazima atetee ye mwenyewe kitoweo
 
Umeona sasa

Chuki ya kidin iko wapi??

Hamtaki kuambiwa ukweli??
Katika watu wavivu kusoma na kuijua Imani yao ni Hawa wakristo...

Mambo yote wanawaachia viongozi wao...kuwauliza uliza maswali kwao mwiko...Yani wapowapo tuu

Yaani wameridhika kabisa kuwa kondoo,wanalisho pumba,vinyesi,manyasi na mauchafu mengne wala hawastuki
 
"They say everyone's life is precious, but nobody cares about mine" ni mstari toka nyimbo ya LOGIC kuhusu suicide..

Kila mtu ana haki sawa hapa duniani, either awe gay or lesbian. Mambo ya kuhukumu tumuachie Mungu kwa wale believers.
 
Sasa jamaa wamemtafsiri Papa Francis vibaya sana.Lkn yote tumwachie aliyetuumba na kutuweka duniani.

Sent from my TECNO WX3 using JamiiForums mobile app
Nyie watu subconscious mind zetu hazipo sawa kabsa hasa Kwenye maswala ya Imani yenu...

Kuna rafiki yangu mmoja alitakaga kubakwa na kiongozi wake mkubwa wa kanisa....na Bado adi Sasa anaimani nae,anasema huenda Mungu alimtuma au shetani alimpitia...huwa nabaki kucheka tuu
 
Logic ni very simple!Sasa wewe unataka kuwatenga binadamu kama nani?Wewe ni nani hata uwatenge binadamu?Kama kuwa shoga ni kosa kwani Mungu anashindwa kuwafuta humu duniani?Yaani Mungu mwenye uwezo wote anashindwa kuwafuta mashoga kama anachukizwa nao?

Kama mtu kuwa shoga ni kosa kubwa sana basi Mungu afe nao kiume kwa sababu ana nguvu hadi ya kuwaua wote tena kwa wakati mmoja!Kama mtu kuwa shoga ni dhambi kubwa sana kwa nini Mungu anawalea badala ya kuwafuta?Ina maana Mungu amewashindwa?Kama binadamu anaweza kuua mtoto wake ambae ni shoga Mungu anashindwa nini kuwaua wote?Hata mimi ningekuwa Papa hawa mashoga ningewakabidhi kwa Mungu adili nao
 
Logic ni very simple!Sasa wewe unataka kuwatenga binadamu kama nani?Wewe ni nani hata uwatenge binadamu?Kama kuwa shoga ni kosa kwani Mungu anashindwa kuwafuta humu duniani?Yaani Mungu mwenye uwezo wote anashindwa kuwafuta mashoga kama anachukizwa nao?

Kama mtu kuwa shoga ni kosa kubwa sana basi Mungu afe nao kiume kwa sababu ana nguvu hadi ya kuwaua wote tena kwa wakati mmoja!Kama mtu kuwa shoga ni dhambi kubwa sana kwa nini Mungu anawalea badala ya kuwafuta?Ina maana Mungu amewashindwa?Kama binadamu anaweza kuua mtoto wake ambae ni shoga Mungu anashindwa nini kuwaua Mashoga wote?Hata mimi ningekuwa Papa hawa mashoga ningewakabidhi kwa Mungu adili nao
 
Hiki ni chumba cha mtihani mwanafunzi ataazibiwa badala ya Kufanya mtihani kusahishiwa na kufeli, ww unataka mwalimu amuazibu mwanafunzi akiwa katika chumba cha mtihani?
 
Hatimaye Papa Francis akubali kubariki ndoa za jinsia moja, kwa kudai mashoga nawo ni watoto wa Mungu na hakuna sababu ya kuwabagua.

Soma vizuri,kama subconscious yako ipo active utaelewa..

Mpango wa Mungu si mpango wa John au Juma....unasafari ndefu ya kujifunza
 
Hiki ni chumba cha mtihani mwanafunzi ataazibiwa badala ya Kufanya mtihani kusahishiwa na kufeli, ww unataka mwalimu amuazibu mwanafunzi akiwa katika chumba cha mtihani?
Sasa mbona binadamu wanang'ang'ania kuadhibu mwanafunzi ambae yupo kwenye chumba cha mtihani?!

Na pia Mungu mwenye upendo wote na uwezo wote hawezi kukupa mtihani tena Mungu huyo anajua kabisa majibu ya mtihani wako kabla hata hujafanya mtihani huo.Yaani najua kabisa kuwa mtihani huu utafeli na bado nikupe mtihani huo?
 
Nimeuliza maswali lukuki hapo juu ila hujanijibu swali hata moja.Naomba nijibu maswali yangu please!
 
Hiyo ndiyo haki na Uhuru wanaopigania watu wa ufipa [emoji3][emoji3][emoji3]
Kwenye nchi hii na Afrika kwa ujumla hakuna chama ambacho kinapigania ushoga na kuunga mkono juhudi za mashoga kuliko CCM.Mheshimiwa Paul Makonda alipoanza kupambana na ushoga kupitia chama chake cha CCM, serekali ya CCM iliibuka mara moja na kusema kuwa ushoga ni jambo jema sana na vita aliyoianzisha Mheshimiwa Paul Makonda ni vita yake binafsi na wala siyo vita ya Serekali(Wote tunajua yalipotokea haya).Serekali kupitia waziri wake wa mambo ya ndani ilienda mbali zaidi na kudai kuwa Mashoga wapo salama Tanzania na ni sehemu sahihi ya Mashoga kuishi.Tena bila aibu serekali ya CCM iliyasema haya kwa maandishi!(Nimeambatanisha barua hiyo)

CCM hakiwezi kuwa chama cha Mungu kwa sababu kinaunga mkono juhudi za mashoga na mbaya zaidi CCM ilipinga kwa maandishi vita dhidi ya ushoga.Ni aibu na fedhea kwa chama cha CCM kuunga mkono ushoga na kupinga vita dhidi ya ushoga Tanzania.
 
Ukimfuatilia vizuri bashite utagundua hata yeye hana marinda.

Mara nyingi watu wanaopinga ushoga huwa ni mashoga pia.

Binafsi sioni tatizo lolote mtu akiwa shoga. Haniathiri kwa kitu chochote.

Kila mtu ana mamlaka ya kutumia mwili wake atakavyo madhali hadhuru mtu mwingine.

Sio wajibu wa jamii au serikali au dini kumuelekeza mtu alale na nani kitandani kwake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…