Papa Francis atetea watu wanaojihisisha na Mapenzi ya jinsia moja

He added that he 'stood up for that' in an apparent reference to his time as archbishop of Buenos Aires when he opposed legislation to approve same sex marriages but supported some kind of legal protection for the rights of gay couples.
Nadhani hapa ndipo wau wenye akili mchundo hawajamuelewa. Hajabariki ndoa hizo, lkn ikitokea mtu akawa kwenye kundi hilo "asipigwe mawe mpaka kufa", sheria imlinde maana naye ni binadamu!
 
Sijakuelewa!Mimi siamini katika uwepo wa Mungu lakini mimi kutokuamini katika uwepo wa Mungu hainizuii mimi kukuuliza wewe unaeamini katika uwepo wa Mungu maswali yanayomuhusu Mungu.
Ndomana hunielewi....

Huamini ktk Mungu but unaniuliza maswali yanayomuhusu Mungu...upo serious aisee??

Ni Mungu yupi huyoo?
 
"They say everyone's life is precious, but nobody cares about mine" ni mstari toka nyimbo ya LOGIC kuhusu suicide..

Kila mtu ana haki sawa hapa duniani, either awe gay or lesbian. Mambo ya kuhukumu tumuachie Mungu kwa wale believers.
Hapana...

Mwanamke hana haki sawa na mwanaume....na mtoto hana haki sawa na wazazi wake...

Au unazungumzia haki ipi?
 
Isn't that elaboration enough?
 
Hakuna mtu atarudi kuabudu mizimu ya babu,hizo zama za giza zilishapitwa na wakati.
 
Kwa hiyo watu waf---ln tu
Huyu papa mbona anazingua
Wao Vatican wangeweka sheria iruhusu mapadre na maskofu waoe waweze kujamiana na wanawake
Maana kukaa Bila kufanya tendo la ndoa mtu unadata

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Kwahiyo mnataka mashoga wapelekwe wapi?

Nilichomuelewa papa ni kwamba mashoga wasitengwe wapewe huduma na haki kama watu wengine, tusiwatenge ila sidhani Kama kanisa katoliki litakuja kubariki/kufungusha ndoa za mashoga.

Mashoga
Wazinzi
Wauaji
Majambazi
Wasengenyaji
Walawiti
Walevi
Na wengine wengi wote ni wadhambi. Kama wazinzi hawatengwi kwanini mashoga watengwe? Muhubirie neno akuelewe aache dhambi na sio kumtenga.
 
 
Ndomana hunielewi....

Huamini ktk Mungu but unaniuliza maswali yanayomuhusu Mungu...upo serious aisee??

Ni Mungu yupi huyoo?
Kwani wapagani na wasiomuamini Mungu wanapohubiriwa ili wamwamini Mungu hawaruhusiwi kuuliza maswali yanayomuhusu Mungu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…