Papa Francis atetea watu wanaojihisisha na Mapenzi ya jinsia moja

Kwani wapagani na wasiomuamini Mungu wanapohubiriwa ili wamwamini Mungu hawaruhusiwi kuuliza maswali yanayomuhusu Mungu?
Rafiki hawa watu wa dini hawataki maswali kwasababu hawana majibu. Lkn kutwa kuhubiri tumfate yesu
 
Kuwa padre ni mtu binafsi anachagua hayo maisha. Kabla hujaingia tayari unaelewa kuwa sitaruhusiwa kuoa ..hakuna anayelazimishwa kuwa padre na hakuna anae katazwa kuacha upadri endapo atashindwa
Ukitaka kuoa unaacha upadre wa kanisa katoliki unaenda uchungaji KKKT, Mungu si ni yule yule?
 
'Homosexual people are children of God and that they have the right to be in a family..
Shida ipo kwenye tafsiri ya iyo sentensi hapo juu,Inawezekana alichokimaanisha wala sio hicho mlichomaanisha nyie.
Any way ngoja nitafute video niskilize hotuba yake yote...
 
Kwahiyo mnataka mashoga wapelekwe wapi?
Hahahahhaaaa

Wanataka papa aseme mashoga wauwawe.

Kama kweli wanawachukia mashoga tungeona wanawaua hadharani bila hata kusubiri kauli ya papa. (halafu tuone kama watabaki salama).

Ni unafiki tu unatusumbua.

Afterall, kwani mashoga wameletwa na papa?

Mashoga wawafuge wao majumbani mwao, halafu lawama atupiwe papa.

Ironical.
 
Mashoga wameletwa na Mungu. Ni watoto wa Mungu [emoji419][emoji419]
 
Hapana...

Mwanamke hana haki sawa na mwanaume....na mtoto hana haki sawa na wazazi wake...

Au unazungumzia haki ipi?
Tofauti ya haki za mwanamke na mwanaume ni zipi? Tuelimishe
 
Mashoga wameletwa na Mungu. Ni watoto wa Mungu [emoji419][emoji419]
Hahahahahaaaaaaaaa

Kuna jamaa mmoja hapo juu anasema kama Mungu anawachukia mashoga kwanini amewaacha hataki kuwaangamiza!

It makes sense to me as well.

Mungu awaangamize basi hao mashoga kama kweli anawachukia kwa dhati.

Akishindwa kuwaangamiza tuhitimishe kwamba aidha anawapenda au hana uwezo wa kuwaangamiza.

Na kama hana uwezo wa kuwaangamiza, basi biblia nzima imejaa maneno ya ulaghai na udanganyifu.

Tuliaminishwa mungu ni muweza wa yote, lakini kumbe hawezi kitu.

If the latter is not true, then God loves homosexuals.

Tuchagua moja kati ya hayo!

Ama mungu ni dhaifu, ama anawapenda mashoga.
 
Mungu si dhaifu ila watu wanamvika sifa na tabia ambazo ni za uongo.
Kama aliwaumba watu wote kwa upendo basi hachukii mashoga na kama angechukia angetokomeza ushoga usiwepo.
Mashoga ni ndugu zetu kama ambavyo wazinzi mabaharia, makahaba , majambazi walivyo ndugu zetu na hatujawahi kuwatenga.
 
Haya ndio matatizo ya kudandia dini za watu na kutupilia mbali Mila na desturi zetu.
 
Ni kweli, japo sikubaliani na wewe hapo kwenye majambazi.

Sikubaliani na wewe si katika muktadha wa kibiblia, lakini katika muktadha wa maadili ya kawaida kabisa.

Ujambazi una athari za kumpoka na kumdhuru mtu wa pili. Ujambazi hauna ridhaa dhidi ya mtu wa pili.

Ushoga haumdhuru mtu wa pili wala kupoka haki yake. Ni tendo lenye ridhaa.

Mengine uko sawa. Hasa hapo kwenye wazinzi.
 
Inawezekana upo sahihi lkn madhara yanayoletwa na uzinzi yapo mengi pia.
Naelewa ujambazi ulivyo nimeorodhesha hapo ili kuonyesha kuwa kama ushoga ni dhambi basi ujambazi pia ni dhambi. Hakuna tofauti
 
Antichrist huyoo
 
Inawezekana upo sahihi lkn madhara yanayoletwa na uzinzi yapo mengi pia.
Naelewa ujambazi ulivyo nimeorodhesha hapo ili kuonyesha kuwa kama ushoga ni dhambi basi ujambazi pia ni dhambi. Hakuna tofauti
Halafu kwanini linapokuja swala la ushoga, kila mtu anakumbuka mistari yote ya biblia?

Hivi uzinzi haujakatazwa kwenye biblia? Naamini umekatazwa, na adhabu yake ni kifo.

Tuna jamii ya watu wanafiki ambao wana uwezo wa kutumia biblia kueneza chuki na kujikweza kuliko wengine.

Ninachokiona hapa ni ubinafsi tu.

Nani leo anaweza kukuelewa ukimwambia kwamba wazinzi wanastahili adhabu ya kifo kwa mujibu wa biblia?

Lakini kwenye ushoga aaaaahhh...kila mtu anageuka kuwa mwanateolojia!

Watakupa stori zote za sodoma na gomora huku wakinukuu vifungu uchwara kana kwamba walishawahi kufika kwenye hiyo nchi ya kusadikika!
 
[emoji3][emoji3][emoji3] ni kwasababu wengi ni wazinzi, tena hakuna watu wanaopendana na kupeana support kama wazinzi.
Halafu hao hao wanaojifanya kukemea ushoga wengi wao wanaona ni sawa kuwafukua mtaro wanawake.
Pambav zao...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…