Papa Francis atetea watu wanaojihisisha na Mapenzi ya jinsia moja

Papa Francis atetea watu wanaojihisisha na Mapenzi ya jinsia moja

Dini zinazomuamini Mungu ni mbili tu, zipi hizo? Na una uhakika gani kuwa ni sahihi na nyingine ni za kupuuzi.

Halafu nikwambie mimi nimezaliwa kwenye misingi ya dini hasa... Roman Catholic ile yenyewe, baba mpiga kinanda kanisani, mseminari classmate wa askofu pengo ila yeye hakuweza kuwa padri yalimshinda. Kanisani lazima kila jumapili. Yaani ukatolliki naujua vizuri
Umesema tunamuabudu Mungu Mmoja Lakini tunapigana na kuuana
Mungu Mmoja kivipi wakat Kuna wanao abudu Masanamu, nk Mungu ni Jina Au Neno tuu
.
Uislam na Ukristo ndizo zinazoonekan kuwa na the same few features kama Mitume

Unadhan Mimi Sijui umekulia Kwenye Dini hiyo ?? Na Ndio hiyo misingi mibovu nayoisema mimi.
Hata mimi ningekua na mising hiyo tungekua Wote kwnye Atheism Sasa hivi [emoji28]

Lakini Nirudie tu hakuna kitu kwenye Dini yangu UISLAM nimeuliza Nikakosa kueleweshwa nikaelewa, kwa upande wak najua yako mengi tuu
Mfano; Mtu anakaaje kwa kuto oa wala Kuolewa maish yake yote inawezekanaje si adhab hio?[emoji15]

Listen Madame Ni ngumu kumbadirisha mtu kwa Maandishi, Humu Jf ni kama tunapoteza Muda tuu Sometimes blah blah, matusi alimradi umejibu yan hivyo yan

Unahitajika kupewa Darsa na watu wenye Elimu juu ya Maswali yako yote unayo jiulizia, Am sure it will change you.
Japo kwa Sasa it almost impossible kufanya hivyo [emoji28][emoji28][emoji28]
 
Nadhani hapa ndipo wau wenye akili mchundo hawajamuelewa. Hajabariki ndoa hizo, lkn ikitokea mtu akawa kwenye kundi hilo "asipigwe mawe mpaka kufa", sheria imlinde maana naye ni binadamu!
Kuna ka ukweli fulani!
 
Umesema tunamuabudu Mungu Mmoja Lakini tunapigana na kuuana
Mungu Mmoja kivipi wakat Kuna wanao abudu Masanamu, nk Mungu ni Jina Au Neno tuu
.
Uislam na Ukristo ndizo zinazoonekan kuwa na the same few features kama Mitume

Unadhan Mimi Sijui umekulia Kwenye Dini hiyo ?? Na Ndio hiyo misingi mibovu nayoisema mimi.
Hata mimi ningekua na mising hiyo tungekua Wote kwnye Atheism Sasa hivi [emoji28]

Lakini Nirudie tu hakuna kitu kwenye Dini yangu UISLAM nimeuliza Nikakosa kueleweshwa nikaelewa, kwa upande wak najua yako mengi tuu
Mfano; Mtu anakaaje kwa kuto oa wala Kuolewa maish yake yote inawezekanaje si adhab hio?[emoji15]

Listen Madame Ni ngumu kumbadirisha mtu kwa Maandishi, Humu Jf ni kama tunapoteza Muda tuu Sometimes blah blah, matusi alimradi umejibu yan hivyo yan

Unahitajika kupewa Darsa na watu wenye Elimu juu ya Maswali yako yote unayo jiulizia, Am sure it will change you.
Japo kwa Sasa it almost impossible kufanya hivyo [emoji28][emoji28][emoji28]
Woi
 
Yesu alitufia tungali wenye dhambi,
Mimi siwezi kumbagua mwenye dhambi.

Note:
Mwanadamu kukataa jinsia inayoonekana kwenye maumbile yake ni tatizo (ugonjwa) wa hormone.
 
Huu ni upotoshaji wa yaliyojiri. Papa hajakubaliana na ndoa ya jinsia moja. Ni sawa na Yesu alipoletewa mama aliyefumaniwa akizini wakitaka kumpiga mawe hadi afe. Yesu akawakataza kwa kuwaambia kuwa asiye na dhambi ndiye awe wa kwanza kurusha jiwe. Wote wakatawanyika. Yesu akamwambia mwanamke yule aende asifanye dhambi tena. Tafsiri yako potofu ni kwamba Yesu alikuwa anaafiki uzinzi.

Pia Yesu alikuwa akijumuika na kula na wakosefu wengi tu kama watoza ushuru ambao walikuwa malaghai wakitoza fedha nyingi kwa watu na kufikisha ofisini kiasi sahihi tu. Ile baki inaingia mfukoni. Yesu akasema mwenye afya hahitaji daktari. Mimi sikuja kuwaita wanyoofu bali wakosefu ili wapate kutubu. Kwa mantiki hiyo alimchagua mmoja wa watoza ushuru, Mateo, awe mfuasi wake. Huwezi kusema kwamba Yesu alikuwa anabariki matendo yao.

Vivyo hivyo, Papa hajabariki uonzo wa ndoa za jinsia moja. Anakaririwa out of context.
Kutoka kwenye source .. website ya kanisaa..sasa ukibishaa na hii polee ,mkuu..fungua akili yakoo mambo yapoo wazii ..

Pope calls parents of people with same-sex attraction to paternity and maternity
 
Hizi makanisa za Wazungu nilishaachaga kwenda kitambo Sana,haiingii akilini ushenzi kutambuliwa na kuhalalishwa
 
Back
Top Bottom