My Sons Legacy
JF-Expert Member
- Feb 4, 2019
- 3,592
- 11,810
Umesema tunamuabudu Mungu Mmoja Lakini tunapigana na kuuanaDini zinazomuamini Mungu ni mbili tu, zipi hizo? Na una uhakika gani kuwa ni sahihi na nyingine ni za kupuuzi.
Halafu nikwambie mimi nimezaliwa kwenye misingi ya dini hasa... Roman Catholic ile yenyewe, baba mpiga kinanda kanisani, mseminari classmate wa askofu pengo ila yeye hakuweza kuwa padri yalimshinda. Kanisani lazima kila jumapili. Yaani ukatolliki naujua vizuri
Mungu Mmoja kivipi wakat Kuna wanao abudu Masanamu, nk Mungu ni Jina Au Neno tuu
.
Uislam na Ukristo ndizo zinazoonekan kuwa na the same few features kama Mitume
Unadhan Mimi Sijui umekulia Kwenye Dini hiyo ?? Na Ndio hiyo misingi mibovu nayoisema mimi.
Hata mimi ningekua na mising hiyo tungekua Wote kwnye Atheism Sasa hivi [emoji28]
Lakini Nirudie tu hakuna kitu kwenye Dini yangu UISLAM nimeuliza Nikakosa kueleweshwa nikaelewa, kwa upande wak najua yako mengi tuu
Mfano; Mtu anakaaje kwa kuto oa wala Kuolewa maish yake yote inawezekanaje si adhab hio?[emoji15]
Listen Madame Ni ngumu kumbadirisha mtu kwa Maandishi, Humu Jf ni kama tunapoteza Muda tuu Sometimes blah blah, matusi alimradi umejibu yan hivyo yan
Unahitajika kupewa Darsa na watu wenye Elimu juu ya Maswali yako yote unayo jiulizia, Am sure it will change you.
Japo kwa Sasa it almost impossible kufanya hivyo [emoji28][emoji28][emoji28]