Papa Francis: Hisani ya Kichungaji itumike wapenzi wa jinsia moja wanapowaomba mapadri baraka

Papa Francis: Hisani ya Kichungaji itumike wapenzi wa jinsia moja wanapowaomba mapadri baraka

Status
Not open for further replies.
Watoto wa kiislamu, wanaongoza kufumuliwa Jicho...
Huyu naye eti yupo jamii forums. Umeelewa mada lakini?

Hapa hatubishani nani anafanya ama nani hafanyi bali kinachojadiliwa hapa ni kuhusu kauli ya Papa kwamba anapendekeza wapenzi wa jinsia moja waruhusiwe na watambuliwe.
 
Hawa viumbe ni dhaifu sana. Na siku zote wanaishi kama fisi. Wakiamini waumini wa Kanisa Katoliki ni wengi, na pia ni rahisi kwao kushawishika, na hivyo kuingia kwenye imani yao kupitia upotoshaji kama huu.
Unaona kuwa wanalishadadia kupita maelezo.....
 
Huyu naye eti yupo jamii forums. Umeelewa mada lakini?

Hapa hatubishani nani anafanya ama nani hafanyi bali kinachojadiliwa hapa ni kuhusu kauli ya Papa kwamba anapendekeza wapenzi wa jinsia moja waruhusiwe na watambuliwe.
Kwani alichokisema kina ukweli, au anawazushia tu? Maana ukienda maeneo kama ya Zanzibar, hizo kesi ni nyingi kweli!!
 
Tukiwaambia dini ni ushenzi tu mnatuona sisi ni wadhambi , nchi nyingi za kiarabu nazo zimelegeza mashatri baada ya wazungu wengi kuzivamia hizo tamaduni za kiarabu, africa inabdi irudi mwanzo ilipoachia mila zake.
 
Mkuu kauli tu kuhalalisha , au kufikiria tu kuhalalisha au kupendekeza kuhalalisha USHOGA...Kauli hiyo ikitolewa na POPE ambaye anazunguka duniani kuhubiri amani, mpatanishi...

Hii ni hatua kati ya hatua zinazokuja mbele ya safari...

Tumeshtuka na hii kauli kwa kizazi chetu,... lakini hivi ni step kwa kizazi kinachokuja ...
 
mimi sio mkatoliki, ila hao jamaa wanafanya zaidi ya hata wengine. angalia tu ukanda wa pwani, zanzibar hadi uarabuni, utapata jibu. afande wa zanzibar aliyepumuliwa kila mtu ameona, ameachiwa hana kosa. wakija huko watakuwa wamepotea zaidi.
Usichanganye habari; Kuna tabia ya mtu na Dini (vitu viwili tofauti)
Kinacho ongelewa hapa ni Dini kuruhusu au Kukataza
Uislam umekataza katukatu kufanya hayo machafu, baadhi ya watu kufanya hayo, ni tabia zao binafsi wala sio dini yao. Hii ni sawa umuone mtu ambaye ni Mkatoliki anaiba, useme wakatoliki ni wezi? vitu viwili tofauti; kuiba kwake ni tabia yake binafsi hivyo ni vizuri useme fulani.... ni mwizi na sio dini yake
 
Soma uelewe possibility of blessing si kuwafungisha ndoa.... ni inclusion, kuwatambua kama wakatoliki pia wasitengwe na kunyimwa sacrament za kikatoliki....... siyo kuwa atawafungisha ndoa maana doctrine ya ndoa kikatoliki inajulikana........man and women for reproduction to propagate of human species
" Possibility of blessings" include kuwatambua or recognising the act and recognising some mean being sympathetic or supportive of that act"..........mkuu don't mislead people kubali kanisa yetu tukuvu imeteleza sana............lazima kama wstanzania inatubidi tujitenge na RC ya Roma tuanzishe independent RC church movement zinazo pinga ushoga, otherwise mimi sitakubali padri shoga abatize mwanangu hapana
 
Wengi mnaongea kishabiki, Papa Kama papa Hana mamlaka yoyote ya kuruhusu au kubatilisha isipokuwa Baraza la makadinali.
Ndoa no miongoni mwa sakrame to za kanisa katoliki hivyo kubadili ndoa za jinsia moja ni kwenda kinyume na mafundisho na taratibu za kanisa katoliki.
 
mimi sio mkatoliki, ila hao jamaa wanafanya zaidi ya hata wengine. angalia tu ukanda wa pwani, zanzibar hadi uarabuni, utapata jibu. afande wa zanzibar aliyepumuliwa kila mtu ameona, ameachiwa hana kosa. wakija huko watakuwa wamepotea zaidi.
Muislam yupi aliyeruhusu hayo? Tena hao mashoga wenzako waombe mamlaka zisiwashike, hata sheria za Tanzania zinakataza ushoga.
 
Alaf hapohapo ukioa mke zaidi ya mmoja unatengwa ila ukiwa shoga unapendwa kwel makanisa ya mchongo
 
mimi sitakubali padri shoga abatize mwanangu hapana
UNAONA USIVYOMUELEWA POPE? Kwamba mapadri wataruhusiwa ushoga? Una lako jambo!
By the way, mtu akisema my boby my right ....anautumia mwili wake atakavyo, ana kosa gani? Mimi sioni tatizo mtu akiamua kuwa shoga....mwili wake anautumia anvyotaka (pampja na kuwa siungi mkono ushoga kama nisivyounga mkono ulevi wa pombe, dini etc etc). Lakini anyekunywa pombe mwache anywe.....
 
Muislam yupi aliyeruhusu hayo? Tena hao mashoga wenzako waombe mamlaka zisiwashike, hata sheria za Tanzania zinakataza ushoga.
Diamond kajenga msikini sio mmoja, hamonize kajanga msikiti mtwara. kwa muziki ule ule wa kunengua viuno, wadada kuvaa uchi nakadhalika, na mashabiki wakubwa wa muziki huo ni ndugu zako FaizaFoxy. na hakuna shehe wala yeyote aliwahi kukemea. nadhani hapo ninekupiga kwenye mshono.
 
Wengi mnaongea kishabiki, Papa Kama papa Hana mamlaka yoyote ya kuruhusu au kubatilisha isipokuwa Baraza la makadinali.
Ndoa no miongoni mwa sakrame to za kanisa katoliki hivyo kubadili ndoa za jinsia moja ni kwenda kinyume na mafundisho na taratibu za kanisa katoliki.
Kwa hiyo unasema yeye anakubali lakini makadinali wanakataa?
 
mimi sio mkatoliki, ila hao jamaa wanafanya zaidi ya hata wengine. angalia tu ukanda wa pwani, zanzibar hadi uarabuni, utapata jibu. afande wa zanzibar aliyepumuliwa kila mtu ameona, ameachiwa hana kosa. wakija huko watakuwa wamepotea zaidi.
Unajipa tu moyo,hizo nchi zenu za kikristo ndio zilizomuwekea vikwazo museveni kwa kupinga huo ujinga,sapoti kubwa ya ushoga ipo ulaya huwezi kusikia huo ujinga nchi za kiarabu
 
Unajipa tu moyo,hizo nchi zenu za kikristo ndio zilizomuwekea vikwazo museveni kwa kupinga huo ujinga,sapoti kubwa ya ushoga ipo ulaya huwezi kusikia huo ujinga nchi za kiarabu
sio nchi za kikristo, ni nchi za magaribi. wewe kama unajiinclude huko basi hamia huko kwa mapapai wenzio.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom