Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uliokoka au ulikuja kwenye uislamuKuna sisi ambao tuliondoka RC miaka kadhaa nyuma tukaonekana kana tumefanya kitu gani sijui.... Haya .... Ninyi mliobakigi huko RC mje hapa mtuambie hiki Ni kitu gani??? Mtudadavulie kuwa kiongozi wenu kasema Nini hapa??? Maana hata hatujaelewa....
Mbona sijaona mahali alipo kubali.Kifuatacho RC kinasikitisha
Mkubwa kisha sema,subiri tu uliwe trako,utakua unauza bei gani? au free of charge?. Kweli we ni msen**, kwa hiyo papa akiluhusu, lazima wafumuliwe,
. DADA VIPI WEWE, TOKA ULIVYO TOLEWA MALINDA.. AKILI ZAKO ZIMEKUHAMA KABISA. Holeshit
Nafurahia sana huku nilipo.... Hakika.Uliokoka au ulikuja kwenye uislamu
Sasa unaweza kubariki zambi ? Mshana unajichanganya hapaAliongeza, hata hivyo, kwamba Kanisa bado linachukulia uhusiano wa jinsia moja "kuwa dhambi" na halitatambua ndoa za jinsia moja.
Sent using Jamii Forums mobile app
wanataka wapewe ruhusa ya kuchezea kinyesi na bado waende kanisani.. Dr. Slaa anaita hii, kupakua kinyesi sebuleni na ili hali msosi unakaribia...Nafikiri huu ndio wakati wa wakatoliki kusilimu au kurejea kwenye dini za mababu.
Sisemi kuwa miongoni mwa waislamu hakuwa watu wanao fanya mambo hayo? La haha! Mambo hayo yanafanywa na watu wa dini zote wakristu kwa waislamu. Tatizo ni pale taasisi kama taasisi ya kidini inapo yatambua mapenzi ya namna hiyo.
Poleni sana wakatoliki.
====
"Hatuwezi kuwahukumu ambao wanakanusha tu, kukataa na kuwatenga,"
Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis amependekeza kuwa atakuwa tayari kuona Kanisa Katoliki likibariki wapenzi wa jinsia moja.
Akijibu kundi la makadinali waliomuomba ufafanuzi juu ya suala hilo, alisema ombi lolote la baraka linapaswa kushughulikiwa na "hisani ya kichungaji".
Aliongeza, hata hivyo, Kanisa Katoliki bado linachukulia uhusiano wa jinsia moja "kuwa dhambi" na halitatambua ndoa za jinsia moja.
Ombi hilo lilikuwa mojawapo ya maombi yaliyotumwa kwa Papa kabla ya mkutano wa kimataifa wa wiki nzima kujadili mustakabali wa Kanisa unaotarajiwa kuanza mjini Vatican siku ya Jumatano.
Katika Kanisa Katoliki, baraka ni maombi au ombi, ambalo kwa kawaida hutolewa na kiongozi wa kiroho, akimwomba Mungu amtazame mtu au watu wanaobarikiwa.
BBC Swahili
Tatizo unaliwa na Wachawi Usiku...Mkubwa kisha sema,subiri tu uliwe trako,utakua unauza bei gani? au free of charge?
msijione mko smart sana kwa mapenzi ya jinsia moja, mnakutwa na tayari wako ndani ya dini yenu mnayoiita dini ya mnyaazi mungu. Tayari ndoana mmeimeza hamtikisiki tena chambo mmeibugia, ni suala la muda tu nanyi mtaipata fresh dini yenu haitasalimika na tufani hii ya hayo mapenziNi sawa lakini dini kama dini ya ki islamu haitambui hayo mahusiano
Aliongeza, hata hivyo, Kanisa Katoliki bado linachukulia uhusiano wa jinsia moja "kuwa dhambi" na halitatambua ndoa za jinsia moja.
Wewe utaliwa mchana kweupe coz boss kasema tayari.Tatizo unaliwa na Wachawi Usiku...
Wewe waabudu wapi mkuu??Nafikiri huu ndio wakati wa wakatoliki kusilimu au kurejea kwenye dini za mababu.
kwani RC ndo ukristo??Dini hairuhusu lakini mkuu. Kuna tofauti kati ya watu kufanya dhambi na dini kuhalalisha dhambi hiyo.
Usihangaike nao watu wa hivyo. Hao ndiyo wanaopigania ushoga uruhusiwe hivyo wanahakikisha wanau trendisha kivyovyote na kupotosha taarifaMbona kama conclusion ipo hapa...
Hizo kauli zake tayari ni mtego.Kuna sehemu nimesoma, Papa hajaruhusu hilo jambo.
Ila ikitokea siku wakaamua kubariki huo ushweitwani, haki ya nani nitaachana kabisa na mambo ya kusali. Kubariki huo upuuzi, kutaleta mgawanyiko mkubwa kwenye Kanisa.
Kuwabariki alimaanisha nini? Kuwapa cheti cha kufunga ndoa? Tufafanulie, usichukue mambo kama dodoki linavyofyonza maji.....kwa ushabikiNafikiri huu ndio wakati wa wakatoliki kusilimu au kurejea kwenye dini za mababu.
Sisemi kuwa miongoni mwa waislamu hakuwa watu wanao fanya mambo hayo? La haha! Mambo hayo yanafanywa na watu wa dini zote wakristu kwa waislamu. Tatizo ni pale taasisi kama taasisi ya kidini inapo yatambua mapenzi ya namna hiyo.
Poleni sana wakatoliki.
====
"Hatuwezi kuwahukumu ambao wanakanusha tu, kukataa na kuwatenga,"
Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis amependekeza kuwa atakuwa tayari kuona Kanisa Katoliki likibariki wapenzi wa jinsia moja.
Akijibu kundi la makadinali waliomuomba ufafanuzi juu ya suala hilo, alisema ombi lolote la baraka linapaswa kushughulikiwa na "hisani ya kichungaji".
Aliongeza, hata hivyo, Kanisa Katoliki bado linachukulia uhusiano wa jinsia moja "kuwa dhambi" na halitatambua ndoa za jinsia moja.
Ombi hilo lilikuwa mojawapo ya maombi yaliyotumwa kwa Papa kabla ya mkutano wa kimataifa wa wiki nzima kujadili mustakabali wa Kanisa unaotarajiwa kuanza mjini Vatican siku ya Jumatano.
Katika Kanisa Katoliki, baraka ni maombi au ombi, ambalo kwa kawaida hutolewa na kiongozi wa kiroho, akimwomba Mungu amtazame mtu au watu wanaobarikiwa.
BBC Swahili
Papa hajawahi picha ushoga. The other time alisema who am I to judge?mimi nadhani pope amezeeka vibaya, 2021 alipinga ila saivi amebadilika.
amependekeza lakini, sio kwamba ndo kapitisha rasmi
Sasa hiyo kauli ina mtego gani hapo! Halafu unafikiri mimi ni mtu mwepesi tu wa kunibadilisha mtazamo wangu wa kiimani!! Aisee pole sana.Hizo kauli zake tayari ni mtego.
Toka kwenye dini hiyo ambayo Yesu hakuianzisha.
Baki na Imani katika Yesu Kristo wa Nazareth.
Yesu aliwahubiri INJILI wezi, mashoga, waongo, kamwe hakuwabariki, aliwakemea.