Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Subiri itapofikia time umebeba mtoto wako Abarikiwe.Sasa hiyo kauli ina mtego gani hapo! Halafu unafikiri mimi ni mtu mwepesi tu wa kunibadilisha mtazamo wangu wa kiimani!! Aisee pole sana.
Kwa namna unavyo uongelea huo ushoga, mtu anaweza kufikiri huko kwenye imani yako hakuna. Kumbe ndiyo wamejaa.Subiri itapofikia time umebeba mtoto wako Abarikiwe.
Mbele Yako wapo mashoga na wafirahi wanasubiri wabarikiwe na mikono ya same padre atakayembariki mtoto wako.
soma uelewe, usidakie mambo juu juu! Nenda kwenye andiko lake usome kama unaelewa kiingereza cha ndani...Tunaambiwa kuwa huyu PAPA anachaguliwa kitakatifu, ...
Anaaminika hivyo kwa kuwa eti anaongozwa na roho mtakatifu ..
Tuendeleeni kuamini hivyo ..manake ktk kanisa ni kosa kuhoji mafundisho
habari ya leo mama DHatari sana hii
Mnaambiwa na walimu wenu wa madrasa waliokimbia elimu dunia, au mnaambiwa na wale Masheikh wenu wanaofuga majini?Tunaambiwa kuwa huyu PAPA anachaguliwa kitakatifu, ...
Anaaminika hivyo kwa kuwa eti anaongozwa na roho mtakatifu ..
Tuendeleeni kuamini hivyo ..manake ktk kanisa ni kosa kuhoji mafundisho
Wasabato ni wajinga zaidiSiipendi RC, siipendi Ijumaa
Mimi ni mwamini katika Kristo Yesu.Kwa namna unavyo uongelea huo ushoga, mtu anaweza kufikiri huko kwenye imani yako hakuna. Kumbe ndiyo wamejaa.
uelewa wa watu ni mdogo sanaSasa hiyo kauli ina mtego gani hapo! Halafu unafikiri mimi ni mtu mwepesi tu wa kunibadilisha mtazamo wangu wa kiimani!! Aisee pole sana.
Kumbe na wewe some time mapenzi ya udini yana kutawala kila siku na kutizama kama member ambaye iko objective na kutumia reasoning and logic sio hisia.........kweli hapo unacho pinga ni nini au neno "possibility" ndo lina kuchanganya.......dude usituangushe.Moderators hii thread isipotoshe alichokisema Pope! Anachokikataa ni kuwatenga hata wasiingie kanisani, wasiwe wakatoliki! wasiwe familia moja na wakatoliki. Siyo kuwa anabariki kuoana waume kwa waume au wake kwa wake
Pope Francis opens possibility for blessing same-sex unions
He restated that marriage in the Catholic church is between a man and a woman.
ByKiara Alfonseca and Phoebe Natanson
October 3, 2023, 2:59 AM
Pope Francis opens possibility for blessing same-sex unions
In August, Pope Francis called on the hundreds of thousands gathered before him to yell t...Read More
Pope Francis suggested it may be possible to bless same-sex unions in a newly public response to cardinals who questioned the pope's affirmation of the LGBTQ community in the Catholic Church.
In the July letter, which is written in Spanish, he reaffirmed that "the Church has a very clear understanding of marriage: an exclusive, stable, and indissoluble union between a man and a woman, naturally open to procreation," according to the Vatican News.
However, he advocated for "pastoral charity."
![]()
Pope Francis delivers his blessing to the pilgrims during the Sunday Angelus prayer in St.Peter's Square at the Vatican, Oct. 1, 2023.
"The defense of objective truth is not the only expression of this charity; it also includes kindness, patience, understanding, tenderness and encouragement. Therefore, we cannot be judges who only deny, reject and exclude," he said, according to Vatican News. He added that "pastoral prudence must adequately discern whether there are forms of blessing, requested by one or more persons, that do not convey a mistaken concept of marriage.
New Ways Ministry, an LGBTQ Catholic outreach group, said in a statement that though his statement are not "a full-fledged, ringing endorsement of blessing their unions," it is a significant advancement in the inclusion of LGBTQ Catholics in the Church.
Kuna ujinga mkubwa kama kujengewa visima vya kuoshea mavi!Wasabato ni wajinga zaidi
Mm ni muislamu ila wasabato imani zenu ni za kijinga sanaaa
Unapoteza tu muda wako pale unapojaribu kumhubiria mtu kama mimi.Mimi ni mwamini katika Kristo Yesu.
Kiongozi lazima aongoze njia Kondoo wafuate.
Akitoka kwenye mstari kimbia haraka. Hizo dini za duniani hazitamvuliki Mbinguni.
Kusanyika na watu wenye Nia moja, mashoga wanahubiriwa na kuambiwa hiyo ni DHAMBI tubu muache,
Si kuwabariki. Hapo mmebanwa kwenye Kona.
Leta hata ushahidi basi iwe website link, picha au screenshot kusudi utuamshe hisia kali za kuchangia vitu heavy....
Futa kichwa cha habari, wengi wanakurupuka kujibu bila kuangalia contents ndio maana wabongo wengi hufeli mitihani kwa jinsi hii, umeaambiwa hii ni dhambi na itaendelea kuwa dhambi usichoelewa ni nini hapo?Nafikiri huu ndio wakati wa wakatoliki kusilimu au kurejea kwenye dini za mababu.
Sisemi kuwa miongoni mwa waislamu hakuwa watu wanao fanya mambo hayo? La haha! Mambo hayo yanafanywa na watu wa dini zote wakristu kwa waislamu. Tatizo ni pale taasisi kama taasisi ya kidini inapo yatambua mapenzi ya namna hiyo.
Poleni sana wakatoliki.
====
"Hatuwezi kuwahukumu ambao wanakanusha tu, kukataa na kuwatenga,"
Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis amependekeza kuwa atakuwa tayari kuona Kanisa Katoliki likibariki wapenzi wa jinsia moja.
Akijibu kundi la makadinali waliomuomba ufafanuzi juu ya suala hilo, alisema ombi lolote la baraka linapaswa kushughulikiwa na "hisani ya kichungaji".
Aliongeza, hata hivyo, Kanisa Katoliki bado linachukulia uhusiano wa jinsia moja "kuwa dhambi" na halitatambua ndoa za jinsia moja.
Ombi hilo lilikuwa mojawapo ya maombi yaliyotumwa kwa Papa kabla ya mkutano wa kimataifa wa wiki nzima kujadili mustakabali wa Kanisa unaotarajiwa kuanza mjini Vatican siku ya Jumatano.
Katika Kanisa Katoliki, baraka ni maombi au ombi, ambalo kwa kawaida hutolewa na kiongozi wa kiroho, akimwomba Mungu amtazame mtu au watu wanaobarikiwa.
BBC Swahili
Soma uelewe possibility of blessing si kuwafungisha ndoa.... ni inclusion, kuwatambua kama wakatoliki pia wasitengwe na kunyimwa sacrament za kikatoliki....... siyo kuwa atawafungisha ndoa maana doctrine ya ndoa kikatoliki inajulikana........man and women for reproduction to propagate of human speciesKumbe na wewe some time mapwnzi ya udini yanakutawala kila siku nakutizama kama member ambaye iko objective na kutumia reasoning and logic sio hisia.........kweli hapo unacho pinga ni nini au neno "possibility" ndo lina kuchanganya.......dude usituangushe.
Hawa viumbe ni dhaifu sana. Na siku zote wanaishi kama fisi. Wakiamini waumini wa Kanisa Katoliki ni wengi, na pia ni rahisi kwao kushawishika, na hivyo kuingia kwenye imani yao kupitia upotoshaji kama huu.uelewa wa watu ni mdogo sana
mwambie asome document yote na si kuchukua analolitaka nusu nusu. Anasema tusiwatenge na kuwafukuza say kanisani..lkn hasemi tuwafungishe ndoa maana doctrine ya ndoa kikanisa inafahamikka..man and women for reproduction.