Papa Francis: Hisani ya Kichungaji itumike wapenzi wa jinsia moja wanapowaomba mapadri baraka

Papa Francis: Hisani ya Kichungaji itumike wapenzi wa jinsia moja wanapowaomba mapadri baraka

Status
Not open for further replies.
Kama papa akisema YES na wewe utaanza kufanya huo ujinga basi huna akili.

Fanya kile ambacho hata dini zisingekuepi unajua fika kabisa MUNGU hapendi na usingeweza kukifanya.

Kutofanya au kufanya kwasababu umeambiwa na kiongozi wako wa kanisa huo si ukristo bali ni utumwa.

Kuna vitu hata Bila uwepo wa DINI huwezi fanya,leo unaambiwa fanya nawewe unafanya, Huna tofauti na Mmbwa tena Jibwa.
 
Nukuu ya alichojibu Papa hii hapa. Wapi amependekeza kubariki ushoga?
Screenshot_20231003-122547~3.png
 
Kama papa akisema YES na wewe utaanza kufanya huo ujinga basi huna akili.

Fanya kile ambacho hata dini zisingekuepi unajua fika kabisa MUNGU hapendi na usingeweza kukifanya.

Kutofanya au kufanya kwasababu umeambiwa na kiongozi wako wa kanisa huo si ukristo bali ni utumwa.

Kuna vitu hata Bila uwepo wa DINI huwezi fanya,leo unaambiwa fanya nawewe unafanya, Huna tofauti na Mmbwa tena Jibwa.
Atleast wewe mkuu umeandika kitu cha maana.
 
Dawa ni kusilimu au kurudi kwenye dini za asili maana nnavyo wajua wakatoliki hawawezi kuwa walokole hata kidogo
Sasa mbona hata huko kwenye kusilimu, mashoga wamejaa!! Maeneo yenye Waislam wengi, mfano maeneo ya Pwani ndiyo yanaongoza kwa vitendo vya kishoga!!

Hivyo unatakiwa kutambua ya kwamba tatizo la ushoga, ni tatizo la dunia nzima. Na siyo tatizo ndani ya Kanisa Katoliki pekee.
 
Sasa tutakimbilia wapi jamani, kila unapogeuka ni kipigo bora tubaki neutral tu
Relax Boss,

Kwani wametuambia tufanye sote? I can not imagine myself na mwanamke, oh no! 😂😂

Hahaha na mamen tuwaachie nani aisee haiwezekani! Naomba mi niwe wa mwisho hadi itangazwe adhabu ya kifo kwa asiyefanya, bila hivyo mi wamenikosa!
 
Hii taarifa ikipatikana kwenye website ya Vatican niamshe niko pale nimelala
 
Relax Boss,

Kwani wametuambia tufanye sote? I can not imagine myself na mwanamke, oh no! 😂😂

Hahaha na mamen tuwaachie nani aisee haiwezekani! Naomba mi niwe wa mwisho hadi itangazwe adhabu ya kifo kwa asiyefanya, bila hivyo mi wamenikosa!

Ndio maana mnaambiwa rudisheni watoto wenu Kayumba. Huko English Mediums mnajistress tu cause dunia inaingia kwenye uelekeo mpya. Miaka kumi ijayo elimu ya sasa haitakuwa valid tena kwenye maisha halisi
 
Nafikiri huu ndio wakati wa wakatoliki kusilimu au kurejea kwenye dini za mababu.
 
Hasira zako zipeleke kwa Papa aliyeruhusu ufumuliwe malinda,mimi siwezi kutengua kauli ya mkubwa wako,sawa choko mtarajiwa?
. Kweli we ni msen**, kwa hiyo papa akiluhusu, lazima wafumuliwe,

. DADA VIPI WEWE, TOKA ULIVYO TOLEWA MALINDA.. AKILI ZAKO ZIMEKUHAMA KABISA. Holeshit
 
Kama papa akisema YES na wewe utaanza kufanya huo ujinga basi huna akili.

Fanya kile ambacho hata dini zisingekuepi unajua fika kabisa MUNGU hapendi na usingeweza kukifanya.

Kutofanya au kufanya kwasababu umeambiwa na kiongozi wako wa kanisa huo si ukristo bali ni utumwa.

Kuna vitu hata Bila uwepo wa DINI huwezi fanya,leo unaambiwa fanya nawewe unafanya, Huna tofauti na Mmbwa tena Jibwa.
Issue siyo nani kasema. Issue ni upotoshaji wa makusudi unapotengenezwa huwa lazima uithari jamii. Wanaoeneza upotoshaji huu hao ndiyo Agents wanaotamani hali iwe hivyo.
Kwa makusudi kabisa, BBC Swahili wameandika kichwa cha habari kinachopotosha, anayesambaza naye hakusoma kilichoandikwa ndani na yeye akaanza kusambaza. Hapo BBC ni dhahiri inawatumia hawa maajenti wao wa ku promote ushoga kusambaza agenda yao.
 
Nafikiri huu ndio wakati wa wakatoliki kusilimu au kurejea kwenye dini za mababu.

Sisemi kuwa miongoni mwa waislamu hakuwa watu wanao fanya mambo hayo? La haha! Mambo hayo yanafanywa na watu wa dini zote wakristu kwa waislamu. Tatizo ni pale taasisi kama taasisi ya kidini inapo yatambua mapenzi ya namna hiyo.

Poleni sana wakatoliki.

====

"Hatuwezi kuwahukumu ambao wanakanusha tu, kukataa na kuwatenga,"

Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis amependekeza kuwa atakuwa tayari kuona Kanisa Katoliki likibariki wapenzi wa jinsia moja.

Akijibu kundi la makadinali waliomuomba ufafanuzi juu ya suala hilo, alisema ombi lolote la baraka linapaswa kushughulikiwa na "hisani ya kichungaji".

Aliongeza, hata hivyo, Kanisa Katoliki bado linachukulia uhusiano wa jinsia moja "kuwa dhambi" na halitatambua ndoa za jinsia moja.

Ombi hilo lilikuwa mojawapo ya maombi yaliyotumwa kwa Papa kabla ya mkutano wa kimataifa wa wiki nzima kujadili mustakabali wa Kanisa unaotarajiwa kuanza mjini Vatican siku ya Jumatano.

Katika Kanisa Katoliki, baraka ni maombi au ombi, ambalo kwa kawaida hutolewa na kiongozi wa kiroho, akimwomba Mungu amtazame mtu au watu wanaobarikiwa.

BBC Swahili
Kuna sisi ambao tuliondoka RC miaka kadhaa nyuma tukaonekana kana tumefanya kitu gani sijui.... Haya .... Ninyi mliobakigi huko RC mje hapa mtuambie hiki Ni kitu gani??? Mtudadavulie kuwa kiongozi wenu kasema Nini hapa??? Maana hata hatujaelewa....
 
Alafu unakutana na wapumbavu wamekaza shingo kabisa wanakaita hako kashezi eti "baba mtakatifu" washenzi wakubwa kabisa 😡😡😡 huyu itakua na yeye ndio wale wale na ndio maana anawatetea hao wenzie mshenzi mmoja huyo 😡😡😡
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom