Huyu naye eti yupo jamii forums. Umeelewa mada lakini?Watoto wa kiislamu, wanaongoza kufumuliwa Jicho...
Unaona kuwa wanalishadadia kupita maelezo.....Hawa viumbe ni dhaifu sana. Na siku zote wanaishi kama fisi. Wakiamini waumini wa Kanisa Katoliki ni wengi, na pia ni rahisi kwao kushawishika, na hivyo kuingia kwenye imani yao kupitia upotoshaji kama huu.
Kwani alichokisema kina ukweli, au anawazushia tu? Maana ukienda maeneo kama ya Zanzibar, hizo kesi ni nyingi kweli!!Huyu naye eti yupo jamii forums. Umeelewa mada lakini?
Hapa hatubishani nani anafanya ama nani hafanyi bali kinachojadiliwa hapa ni kuhusu kauli ya Papa kwamba anapendekeza wapenzi wa jinsia moja waruhusiwe na watambuliwe.
Usichanganye habari; Kuna tabia ya mtu na Dini (vitu viwili tofauti)mimi sio mkatoliki, ila hao jamaa wanafanya zaidi ya hata wengine. angalia tu ukanda wa pwani, zanzibar hadi uarabuni, utapata jibu. afande wa zanzibar aliyepumuliwa kila mtu ameona, ameachiwa hana kosa. wakija huko watakuwa wamepotea zaidi.
Yesi siyo Mungu, ulidanganywa na hayohayo makanisa.Nilishawahi kusema ni hatari sana kuabudu dini badala ya kumuabudu Mungu
Yesu atusaidie sana
" Possibility of blessings" include kuwatambua or recognising the act and recognising some mean being sympathetic or supportive of that act"..........mkuu don't mislead people kubali kanisa yetu tukuvu imeteleza sana............lazima kama wstanzania inatubidi tujitenge na RC ya Roma tuanzishe independent RC church movement zinazo pinga ushoga, otherwise mimi sitakubali padri shoga abatize mwanangu hapanaSoma uelewe possibility of blessing si kuwafungisha ndoa.... ni inclusion, kuwatambua kama wakatoliki pia wasitengwe na kunyimwa sacrament za kikatoliki....... siyo kuwa atawafungisha ndoa maana doctrine ya ndoa kikatoliki inajulikana........man and women for reproduction to propagate of human species
Ww mkristo mpuuzi wwWasabato ni wajinga zaidi
Mm ni muislamu ila wasabato imani zenu ni za kijinga sanaaa
Muislam yupi aliyeruhusu hayo? Tena hao mashoga wenzako waombe mamlaka zisiwashike, hata sheria za Tanzania zinakataza ushoga.mimi sio mkatoliki, ila hao jamaa wanafanya zaidi ya hata wengine. angalia tu ukanda wa pwani, zanzibar hadi uarabuni, utapata jibu. afande wa zanzibar aliyepumuliwa kila mtu ameona, ameachiwa hana kosa. wakija huko watakuwa wamepotea zaidi.
UNAONA USIVYOMUELEWA POPE? Kwamba mapadri wataruhusiwa ushoga? Una lako jambo!mimi sitakubali padri shoga abatize mwanangu hapana
Diamond kajenga msikini sio mmoja, hamonize kajanga msikiti mtwara. kwa muziki ule ule wa kunengua viuno, wadada kuvaa uchi nakadhalika, na mashabiki wakubwa wa muziki huo ni ndugu zako FaizaFoxy. na hakuna shehe wala yeyote aliwahi kukemea. nadhani hapo ninekupiga kwenye mshono.Muislam yupi aliyeruhusu hayo? Tena hao mashoga wenzako waombe mamlaka zisiwashike, hata sheria za Tanzania zinakataza ushoga.
Kwa hiyo unasema yeye anakubali lakini makadinali wanakataa?Wengi mnaongea kishabiki, Papa Kama papa Hana mamlaka yoyote ya kuruhusu au kubatilisha isipokuwa Baraza la makadinali.
Ndoa no miongoni mwa sakrame to za kanisa katoliki hivyo kubadili ndoa za jinsia moja ni kwenda kinyume na mafundisho na taratibu za kanisa katoliki.
Unajipa tu moyo,hizo nchi zenu za kikristo ndio zilizomuwekea vikwazo museveni kwa kupinga huo ujinga,sapoti kubwa ya ushoga ipo ulaya huwezi kusikia huo ujinga nchi za kiarabumimi sio mkatoliki, ila hao jamaa wanafanya zaidi ya hata wengine. angalia tu ukanda wa pwani, zanzibar hadi uarabuni, utapata jibu. afande wa zanzibar aliyepumuliwa kila mtu ameona, ameachiwa hana kosa. wakija huko watakuwa wamepotea zaidi.
sio nchi za kikristo, ni nchi za magaribi. wewe kama unajiinclude huko basi hamia huko kwa mapapai wenzio.Unajipa tu moyo,hizo nchi zenu za kikristo ndio zilizomuwekea vikwazo museveni kwa kupinga huo ujinga,sapoti kubwa ya ushoga ipo ulaya huwezi kusikia huo ujinga nchi za kiarabu
Hana maamuzi SEMA anapoenda kuropokaKwa hiyo unasema yeye anakubali lakini makadinali wanakataa?