Papa Francis: Hisani ya Kichungaji itumike wapenzi wa jinsia moja wanapowaomba mapadri baraka

Status
Not open for further replies.
Nchi yetu katiba hairuhusu papa tafadhali kiongozi wetu
 
Imebidi nisome ya kiingereza na kiswahili. Ni wazi RC ni target ya propaganda na pope asipokuwa makini, jina lake litakuwa sehemu ya hizi controversies hadi mwisho maana huwa havumishwi kwa kitu kingine chochote isipokuwa homosexuality
 
umetumia mkurupuko wa 5G kuleta bandiko la upotoshaji kutoka kwenye chanzo na mwandishi potoshi.

nimesoma mara 13 kuona nukuu ya kuruhusu jambo hilo.

Naona msukumo wa kipepo ndani yako ama unatamani kua miongoni mwa wanajamii wa jinsia moja?

na sasa unatafuta uungwaji mkono?
 
Leta hata ushahidi basi iwe website link, picha au screenshot kusudi utuamshe hisia kali za kuchangia vitu heavy....
barua hii hapa aliyotumiwa na ma cardinal watano akiulizwa maswali mbali mbali ikiwemo hilo la ndoa za jinsia moja, pamoja na majibu yake

nimeweka na ya kiswahili ila sijui kama itaeleweka vizuri nimetumia google translate
 

Attachments

mimi nadhani pope amezeeka vibaya, 2021 alipinga ila saivi amebadilika.

amependekeza lakini, sio kwamba ndo kapitisha rasmi
Wala hajapendekeza. Fuatilieni habari kwa undani na upana wake. Kasema, tena karudia kauli yake ya awali kuwa tusiwatenge wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja. Tena ikiwezekana tuwape baraka maana ni wakosaji.

Maana yake ni kuwa mwenye dhambi asitengwe na apewe ushirikiano ktk harakati za kuondoka dhambini.
 
BBC na wao picha waliyoweka ikiwa na heading "Kabisa katoliki kubariki ndoa za jibsia moja " nao wamekurupuka ?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ RC Kanisa la wasengerema 😁😁😁😁😁
 
Haviendani hata kidogo na nilichosema. Kanisa limeweka bayana kuwa mapenzi ya jinsia moja ni dhambi na halitambui ndoa za jinsia moja. Wanaihitaji baraka koz uenda wakabadili mienendo yao na kurudi ktk njia iliyonyooka.
Mkuu Acha zako bhna ubadili mwenendo kwa kupewa Baraka Ya kuozeshwa?...

Mkuu hiyo ni psychology ya aina gani.? Kupromote uovu kwamba unaweza ukaisha...

Kama ndiyo mawazo ya Papa hayo nasema kuwa washauri wake wa psychology wmemdanganya...
Huwezi kuruhusu Utumiaji wa mdawa eti ukiamini kwakuwa nimeruhusu watu wataacha kutumia watarudi kwenye njia nzuri Iz this even make Fu**# sense...
Hata yesu alipomkuta Mariam magdalena anadanya umalaya/Ukahaba hakumwambia kwamba nenda kafanye ili ukiwiwa ubadilike alimwambia nenda zako na usifanye dhambi tena na akakemea dhambi yake...kupongeza na kubariki dhambi hakuwezi kufanya dhambi hiyo ikaondoka
 
BBC na wao picha waliyoweka ikiwa na heading "Kabisa katoliki kubariki ndoa za jibsia moja " nao wamekurupuka ?
BBC waache kushabikia wanachokipenda kweli?
s nii lazima warembe sana kwamba jambo hili lina ladha tamu sana ili uvutike jomba,
si ndivyo wanavyotaka dunia iwe siku zote
au wamebadika?

Na RT wanasemaje kuhusu jambo hilo?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…