Atleast wewe mkuu umeandika kitu cha maana.Kama papa akisema YES na wewe utaanza kufanya huo ujinga basi huna akili.
Fanya kile ambacho hata dini zisingekuepi unajua fika kabisa MUNGU hapendi na usingeweza kukifanya.
Kutofanya au kufanya kwasababu umeambiwa na kiongozi wako wa kanisa huo si ukristo bali ni utumwa.
Kuna vitu hata Bila uwepo wa DINI huwezi fanya,leo unaambiwa fanya nawewe unafanya, Huna tofauti na Mmbwa tena Jibwa.
Wasoma vichwa vya habari huwa wana shida sana. Nimeshangaa sana watu wanadandia kumbe hakuna hata mmoja aliyesoma contents.Nukuu ya alichojibu Papa hii hapa. Wapi amependekeza kubariki ushoga?View attachment 2770278
Sasa mbona hata huko kwenye kusilimu, mashoga wamejaa!! Maeneo yenye Waislam wengi, mfano maeneo ya Pwani ndiyo yanaongoza kwa vitendo vya kishoga!!Dawa ni kusilimu au kurudi kwenye dini za asili maana nnavyo wajua wakatoliki hawawezi kuwa walokole hata kidogo
Soma historia uone mapapa wengine walifanywaje walipoenda kinyume na kanisa.Pole sana mkuu,naona umeamua kua mbunifu wa kujifariji na kilichosemwa na Papa,Papa ndio final say,nani wakumpinga?
Relax Boss,Sasa tutakimbilia wapi jamani, kila unapogeuka ni kipigo bora tubaki neutral tu
Tuwekee hapa hiyo historia japo kwa ufupi.Soma historia uone mapapa wengine walifanywaje walipoenda kinyume na kanisa.
Relax Boss,
Kwani wametuambia tufanye sote? I can not imagine myself na mwanamke, oh no! ππ
Hahaha na mamen tuwaachie nani aisee haiwezekani! Naomba mi niwe wa mwisho hadi itangazwe adhabu ya kifo kwa asiyefanya, bila hivyo mi wamenikosa!
Tuwekee hapa hiyo historia japo kwa ufupi.
JF ni zaidi ya google,kama na wewe hujui basi potezea.
. Kweli we ni msen**, kwa hiyo papa akiluhusu, lazima wafumuliwe,Hasira zako zipeleke kwa Papa aliyeruhusu ufumuliwe malinda,mimi siwezi kutengua kauli ya mkubwa wako,sawa choko mtarajiwa?
Issue siyo nani kasema. Issue ni upotoshaji wa makusudi unapotengenezwa huwa lazima uithari jamii. Wanaoeneza upotoshaji huu hao ndiyo Agents wanaotamani hali iwe hivyo.Kama papa akisema YES na wewe utaanza kufanya huo ujinga basi huna akili.
Fanya kile ambacho hata dini zisingekuepi unajua fika kabisa MUNGU hapendi na usingeweza kukifanya.
Kutofanya au kufanya kwasababu umeambiwa na kiongozi wako wa kanisa huo si ukristo bali ni utumwa.
Kuna vitu hata Bila uwepo wa DINI huwezi fanya,leo unaambiwa fanya nawewe unafanya, Huna tofauti na Mmbwa tena Jibwa.
Ndio maanakeKwahyo mkuu unamaanisha kaidhinisha kupumuliana π€£π€£π€£
Kuna sisi ambao tuliondoka RC miaka kadhaa nyuma tukaonekana kana tumefanya kitu gani sijui.... Haya .... Ninyi mliobakigi huko RC mje hapa mtuambie hiki Ni kitu gani??? Mtudadavulie kuwa kiongozi wenu kasema Nini hapa??? Maana hata hatujaelewa....Nafikiri huu ndio wakati wa wakatoliki kusilimu au kurejea kwenye dini za mababu.
Sisemi kuwa miongoni mwa waislamu hakuwa watu wanao fanya mambo hayo? La haha! Mambo hayo yanafanywa na watu wa dini zote wakristu kwa waislamu. Tatizo ni pale taasisi kama taasisi ya kidini inapo yatambua mapenzi ya namna hiyo.
Poleni sana wakatoliki.
====
"Hatuwezi kuwahukumu ambao wanakanusha tu, kukataa na kuwatenga,"
Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis amependekeza kuwa atakuwa tayari kuona Kanisa Katoliki likibariki wapenzi wa jinsia moja.
Akijibu kundi la makadinali waliomuomba ufafanuzi juu ya suala hilo, alisema ombi lolote la baraka linapaswa kushughulikiwa na "hisani ya kichungaji".
Aliongeza, hata hivyo, Kanisa Katoliki bado linachukulia uhusiano wa jinsia moja "kuwa dhambi" na halitatambua ndoa za jinsia moja.
Ombi hilo lilikuwa mojawapo ya maombi yaliyotumwa kwa Papa kabla ya mkutano wa kimataifa wa wiki nzima kujadili mustakabali wa Kanisa unaotarajiwa kuanza mjini Vatican siku ya Jumatano.
Katika Kanisa Katoliki, baraka ni maombi au ombi, ambalo kwa kawaida hutolewa na kiongozi wa kiroho, akimwomba Mungu amtazame mtu au watu wanaobarikiwa.
BBC Swahili